Dr. Slaa: Natishwa

Dr. Slaa: Natishwa

Nani amtishie huyo babu!!!! labda hilo sugar mammy lake (josphine) lililompa kilema cha mkono
 
Hivi kweli Dr Slaa aondoke aliko ingia anaetuhumiwa ufisadi ahamie aliko fisadi mwenyewe !!???
sasa tofauti hapo iko wapi?agenda ya ufisadi illishazikwa huko haipo tena we bdo unaikumbuka? lol akishatubu tu anasameheewa ni silah hiyo ya kungoa mfumo
 
Huyu mzee kweli Msaliti.

Umekwenda mbali mno ndg. Dr Slaa kama mtz mwingine yeyote, anayo haki ya kuwa na maamuzi na msimamo wake. Lakini kama katibu wa CDM anatakiwa aweke wazi. Kama hawezi basi uongozi wa CDM utoe tamko rasmi kuhusu kinachoendelea. Kama kabwaga manyanga, tufahamu lakini tuheshimu maamuzi yake na kumtakia heri kwa amani.
 
Nathan kuna kukurupuka ktk hili, swala la msingi ni mageuzi, ufisadi ni concept pana sanaaa na unapokuwa haujathibitika complication haziepukuki, labda aache siasa, Never trust a politician to grant you a favour he will always try to control you forever
 
Dr.Slaa lazima ajue umuhimu wa kuigawa CCM.Na ujio wa Lowassa ni faida zaidi kwa chama na mageuzi.....Lowassa ameshajiandaa wakati naona Dr alikuwa bado.

Sikujua kama Dr. Slaa ana akili za namna hii.... Kweli 2010 tungempa urais tungepoteza sana kura zetu
 
CONFIRMED: Dkt. Slaa bado yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida,kwani muda wa kuchukua fomu hadi unaisha na kuongezwa hakuwahi kwenda kuchukua fomu na wala hakuwahi kuzuiwa kuchukua fomu kwani zinatolewa ofisini kwake.
 
Dk amesema anatishwa yeye na familia yake. Akielezea amezidi kusema kama ni mapenzi ya mungu yatimizwe mimi sitang"ang'ania.

Chanzo: Rfa magazeti/RAIA TANZANIA.
Wewe na akili yako gazeti la rostam na bashe unaamini litasema kweli kuhusu Dr Slaa?
 
Chama kikuu cha upinzani Tanzania hakina access na katibu wake mkuu na wala hakionyeshi jitihada za kujua aliko kiko busy na Yule kiliemuita fisadi for years!

Unaweza kuthibitisha kuwa Chama hakina Access na Katibu Mkuu wake?
 
Huyu jamaa swala lake lisipofanyiwa kazi haraka atakuwa mwiba kwa ukawa. Kinachoshangaza hata kama kweli source ni hayo magzt ya mrengo fulani mbona asijitokeze kupinga hadharani. Ni bora ukawa iamue either kumwondoa kabisa na kubadili mindset kuwa tunaweza hata bila slaa. Au kama bado ni mwanachama basi akubaliane na maoni ya wengi ndani ya chama. Lengo kubwa ni ushindi kwanza tofauti zingine ndogondogo kati ya mtu na mtu ni kuzitatua pembeni.
ni kweli akubaliane na maoni ya weng ila huo msemo w maoni ya wengi pia bado una utata. wengi wa aina gani wangapi wanaweza kua sawa na wachche wa aina nyingine wangapi? hawa wengi/ wa kugawiwa nguo/ zidumu fikira za mwenykiti ndo wawe sawa na thinker km slaa?
 
Siamini kama gazeti la jenerali ulimwengu leo linaandika mavi kiasi hiki!!
 
Umekwenda mbali mno ndg. Dr Slaa kama mtz mwingine yeyote, anayo haki ya kuwa na maamuzi na msimamo wake. Lakini kama katibu wa CDM anatakiwa aweke wazi. Kama hawezi basi uongozi wa CDM utoe tamko rasmi kuhusu kinachoendelea. Kama kabwaga manyanga, tufahamu lakini tuheshimu maamuzi yake na kumtakia heri kwa amani.
ni
nilisikia wamesema yuko lkizo mkuu
 
Leo hii Dr Slaa anaogopa vitisho? Kama ni kweli huu ni unafiki uliopitiliza!
 
Inaooekana hili jarida limejipanga kulipa fidia ya uzushi,au kuuthibitishia uma juu ya habari inalo andika juu ya dr.
 
Sikujua kama Dr. Slaa ana akili za namna hii.... Kweli 2010 tungempa urais tungepoteza sana kura zetu

Ndiyo viongozi wa Tanzania walivyo, wnang'ang'ania mambo hata ambayo hawayawezi.
Kiuhalisia Dr.Slaa uwezo wa kuiondoa ccm madarakani hana ila anataka bado tuendelee na yaleyale kuwa CCM mafisadi huku tukishindwa kuwatoa.
 
Back
Top Bottom