hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Atakuwa mtu wa ajabu kusema eti "ataongea" akipewa ulinzi while tayari ana tweet !
Atakuwa mtu wa ajabu kusema eti "ataongea" akipewa ulinzi while tayari ana tweet !
Dr.Slaa hana akaunti Twitter na hiyo akaunti ni Fake
Dr.Slaa hana akaunti Twitter na hiyo akaunti ni Fake
Inashangaza! Kwa nimjuavyo Dr Slaa, hawezi kuwa na akaunti iliyokosewa jina kwa kujiita Dr Willibrord Slaa, badala ya Dr Wilbrod Slaa! Ni kweli hiyo ni fake account...
Hilo jina ni lake na hiyo account ni yake, nachofurahi mwenyewe katuonya tuwapuuze nyie mnaosema account hiyo sio yake
Ukawa mnatakiwa kumuomba radhi Slaa, kila akifikiri ile top ten, anaona bora abaki ndani tu...
Mtachemka tuu
..mmemkaribisha bundi ndani ya nyumba?mtarogeka mpaka vizazi vyenu nyie msio na fadhira wenye kuthamini mali na siyo utu...mnathubutu kumkejeli Dr.na kusahau mema yake yotee? Leo mnataka nchi hii?Loooo
mbona OBAMA kachangiwa sana. ulimuuliza anarudishaje. Afadhaki kuchangiwa kuliko kuchota benki kuu.Ile ya Yerico mbona alikuja kuikanusha mwenyewe?? Acha kumsemea mtu ambaye anaweza kuja mwenyewe na kujisemea...nyie endeleeni ni FISADI PAPA wenu namjue hizo hela anazodai anapata kwa marafiki zake akichukua nchi atazirudishaje
siasa hizi leo hii dr.slaa kipenzi cha makamanda amekuwa kama yatima.
Wapi mwita maranya, mohamedi mtoi, molemo mzito kabwela, mungi, na makamanda wengine.
Hawa wote wamemtosa dr.slaa.