Nitaendelea kuwaona Wanafki au mna yenu kwa lowassa!!!Kama mtashindwa kunijibu maswali hayo juu.Kama Chadema iliweza kuungana na Cuf mpaka leo wanaitwa UKAWA!Maanake wamesameana kwa yote!!!!Kilichowaunganisha Ukawa ndicho kilichoweza kumkaribisha Lowassa ,Chadema hata kama Mwanzo walishawai kumkashifu kwa lolote!!
Hiyo ndio Siasa ilivyo,Ndio maana ninamuona Slaa kama hajakomaa kisiasa Kwani huyo huyo Slaa aliyemkashifu Lowasa ndiye alikuwa akiwaponda CUF na vyama vingine vya upinzani wakati wa kampeni zake 2010!
Kwanini hamuhoji hayo alafu mnaliona la ajabu Kwa Lowassa wakati yaliyofanyika ni yale yale!
Swali la kumuuliza DR Slaa,amekubalije kuwa UKAWA yaani kuungana na vyama alivyowai kuvipinga alafu ajidai anamkataa Lowassa? N a hata kwako wewe unayeshabikia,unatakiwa ujiulize hivyo,Kuwa kama unamkataa Lowassa kupokelewa Chadema basi ungekataa na kuhoji kwanini waungane hao waliokuwa wanaonana maadui?
Tafakari,Chukua hatua!!!!!! Acha Siasa za kufuata Upepo hasa za Wanasiasa wa Kitanzania ambao hata HawajuiSiasa ikoje hasa kwa mataifa mengine makubwa yaliyotutangulia!!!!!!Duniani, Je ni Ajabu Mtu Kuhama chama chake na kuingia chama Kingine ambacho mwanzo alikuwa anakashifiwa nacho na akaja kushinda?FUATILIA MAMBO ACHA KUPELEKWA NA MANENO YA WATU