Hiyo ni akaunti feki kwaajili ya watu wenye mchecheto kama wewe...
Mheshimiwa anaitwa Wilbroad na sio Willibroad...
Hakuna mtu anayeweza kukosea jina lake
Tena siyo tu "Willibroad" bali hawa hackers wakakosea zaidi jina la Dr Wilbroad Peter Slaa kwa kuiandika surname yake kwa mispelling "Willibrord" tofauti na yeye mwenyewe anavyoiandika!!
Ukiona hivi, ujue wapinzani wa CHADEMA/UKAWA (ambao ofcoz ni CCM na taasisi zote za kiserikali zinazofungamana nao hasa TISS) wanataka ku take advantage kwa kutumia mazingira ya sintofahamu ya kisiasa yaliyopo kati ya Dr Slaa na wenzake ktk chama chake upande mmoja na UKAWA upande mwingine kumdhuru huyu mtu anyway ikiwemo hata kum - assassinate ili kugeuza kibao kuwa "mnaona sasa, wameamua kumwondoa kabisa kwa sbb ndiyo kilichokuwa kikwazo cha Mbowe, Maalim Seif Shariff, Mbatia na hasa Edward Lowassa mwenyewe ktk UKAWA!!"
Lengo ni kumjengea Lowassa na wote waliomkaribisha ktk UKAWA mazingira kuwa tamaa yake ya madaraka (EL) inaambatana na kuondoa kila kikwazo kilicho mbele yake. Kwa wahafidhina wa CCM wanajua kuwa wakifanikiwa kumfanya Dr Slaa kuwa tofauti na wenzake kama ambavyo wamefanya kwa Prof. Lipumba aliyekuwa CUF national chairperson, watakuwa wanefanikiwa kudhoofisha umoja wao na propaganda zao dhidi ya Lowassa na UKAWA kuendelea kupata nguvu!
Kwa kuona haya, binafsi naona kila dalili kwamba dola imeshindwa kutumia gap ya ujio wa EL ndani ya CHADEMA/UKAWA iliyopo kati ya Dr Slaa na wenzake ktk chama chake na umoja huo kumshawishi kuyaasi mageuzi kwa mtindo wa CCM na dola inavyotaka iwe!!
Kwa kushindikana huku, na kwa ujinga huu tunaouona kwa hackers kutengeneza fake account ktk social medias zikionesha kuwa ni za Dr Slaa na kuzitumia kupost upuuzi, maana yake wanaindaa public na kuitengenezea mazingira ya wao kutumia last option baada ya kama ile ya Prof Lipumba kushindikana, kumwondoa huyu mzee km walivyofanya kwa Dr Mvungi!!
Naona dalili zote za Dr Slaa kurudi kundini kuendelea na majukumu yake ktk chama.
Binafsi nasema na nafikiri that's the best option kuliko kupewa bilioni 20 aambazo kesho utakufa na kuziacha watu wanazigombania. Kwa hili nafsi yake itamsuta duniani na mbinguni milele rather kukaa na kusameheana na EL kwa namna yoyote ile walivyokwazana huko nyuma kwa kuitana mafisadi. Hili hata kwa Mungu mwenyewe linakubalika!!