Dr. Slaa na Septemba Mosi: ‘Siasa ni sayansi’

Dr. Slaa na Septemba Mosi: ‘Siasa ni sayansi’

Na tutahakikisha uchafu wowote tutakao uona tunauweka kwenye gari la taka, na hakika tutauchoma moto.
Kuna haja ukuta wamsome Kipanya.

14063731_10154471553309339_5595812698222202422_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Slaa sio mwanasiasa ni mtu baki na hana sauti ndani ya CHADEMA ishajipoteza mwacheni afungwe sanda nyeusi afie hukooo
 
JKN anaendelea kukumbukwa kwa sababu ya nia yake njema. Inawezekana operesheni za vijiji vya Ujamaa hazikuweza kuwa na mafanikio yaliyotarajiwa. Inawezekana mambo mengine mengi yalijaa makosa ya kiutekelezaji, lakini alichokuwa nacho ni ule uwezo wa kuonyesha kuwa yupo na wengi na anazitambua shida za kila mtu kwa asilimia mia moja, na kama angekuwa na uwezo basi zote zingetatuliwa.
Upinzani kwa sasa wanayo kazi ya kujenga hoja kwamba wao ni sehemu ya shida za wengi. Naamini hapo ndipo sayansi inapohitajika kwa mapana yake. Mwenyekiti wa sasa wa CDM ameshashindwa kuwa na mashiko ya kiuongozi.
Unasema udikteta wakati chama unachokiongoza kina wabunge wengi waliochaguliwa na wananchi. Unadai kuwepo kwa ubabe wakati haujaziwa kuwaletea maendeleo wananchi wako.
CDM inahitaji sana kichwa kipya kabisa kwenye ngazi ya uenyekiti wa Taifa, vinginevyo wanaendelea kujiweka mbali na upendo wa wananchi wengi, ambao wanajua kutathmini kila wanachokifanya.
 
sayansi haimaanishi kemikali na vyuma tu.....sayansi ni uchambuzi wa hoja,saikolojia...nk
Sayansi ni pamoja na kupeleka kitu sahihi kwa audience, andiko hili linaanza na headline inayowapotosha wasomi kwa kuwaonyesha kana kwamba makala/ujumbe umeandikwa na Dk Slaa!
 
Sayansi ni pamoja na kupeleka kitu sahihi kwa audience, andiko hili linaanza na headline inayowapotosha wasomi kwa kuwaonyesha kana kwamba makala/ujumbe umeandikwa na Dk Slaa!
Sio kila jambo la kisayansi ni rahisi kwa kila mtu kuelewa,inahitaji uwe na akili za ziada.Jisomee vitabu!
 
Kama nilivyowahi kueleza huko nyuma siasa ni sayansi, wapo wanaofikiri siasa ni upotoshaji na siasa ni udanganyifu lakini siasa ni sayansi, na siasa kama ni sayansi ina misingi yake inayohitaji kusimamiwa, na misingi yake ni nini kilikuwa ni tatizo na tatizo hilo linatatuliwa kwa misingi ipi?

By dokta..

Mliosoma art mumeelewa.?.
 
Kweli njaa hainaga adabu haki.....
Maana kutoka kwenye kula muhogo hadi kuwa balozi sio kitu ya mchezo
 
Siasa ni sayansi. Inayo misingi yake. Siasa ina utamaduni wake.
 
Siasa ni sayansi siasa syo uwongo uwongo ulaghai na utapeli,ndyo mana tangia mbowe auze chama kwa luwasa chama imekufa.dr slaa bdo atakubukwa nawapenda mabadiliko.
 
Siasa ni sayansi ni pamoja na kuwa na kiongozi ambaye hata akijumuika na viongozi wa vyama vingine/hasimu haitaharibu taswira ya ajenda yetu kwani wafuasi hawatahoji au kuwepo kwake..na sio kuwa na kinara ambaye akipiga tu picha na viongozi wa vyama vingine inabadilisha mtazamo na dhamira ya chama na wanachama.
Naikumbuka M4C ya RUCO 2013/14 kweli
SIASA NI SAYANSI
 
Back
Top Bottom