Dr Slaa na mchumba wake watakiwa kufika mahakamani

Duh, kweli kizazi hiki kimepotoka, mada hasa ni suala la Dr. kwenda mahakamani ambalo limeshatolewa maelezo na wakili wake na kamwe Dr. Slaa hayuko juu ya sheria, sasa mawazo yote humu ndani yamehamia kwenye mapenzi ya Dr. Slaa na Josephine. Tukianza kutafutana kwenye haya mam,bo ya mapenzi nafikiri hata JK tutamuondoa Ikulu haraka sana kwani naonekana naye ana pepo la ngono
 
siyo lazima uwe mwanasheria kujua sheria,unaweza kujisomea vifungu na kuelewa.
Cha ajabu kiko ,wapi?napoamua kuomba Talaka.nani alikwambia kanisha ilikataa!

NILIPOINGIA KWENYE NDOA MAAMUZI YALIKUWA YAKWANGU,SASA NAPOTAKA KUTOKA KWANINI MNATAKA KUSHIRIKISHWA.

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu,mnachotakiwa kufanya ni kushahuri the step ahead.
Step ahead ni kufunga ndoa kama hapo juu waungwana walivyo shauri, lazima ukumbuke kuwa Mzee Slaa ni kioo cha jamii kwa baadhi ya wa Tanzania. Hivyo basi mambo yake lazima yaendane na mila na desturi za kitanzania ili awe mfano kwa vijana wetu.
 
siyo lazima uwe mwanasheria kujua sheria,unaweza kujisomea vifungu na kuelewa.
Cha ajabu kiko ,wapi?napoamua kuomba Talaka.nani alikwambia kanisha ilikataa!

NILIPOINGIA KWENYE NDOA MAAMUZI YALIKUWA YAKWANGU,SASA NAPOTAKA KUTOKA KWANINI MNATAKA KUSHIRIKISHWA.

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu,mnachotakiwa kufanya ni kushahuri the step ahead.

Ulianza vizuri lakini naona umekujakuchanganya habari katikati; mi nianze hivi kama unataka maamuzi yako yaheshimiwa basi ni wajibu wako kuhakikisha unafanya maamuzi ambayo hayata itilafiana na taratibu zingine na za sehemu nyingine;

Hoja imejikita katika swala lako la ama kujifanya hujui au ni labda kweli hujui na kwa kutaka kuchanganya taratibu za Kidini na za Kiserikali utakuwa hutendei pande hizi mbili haki.

Mosi ni vyema utambue kuwa katika sheria ya ndoa, ndoa natambuliwa kama mkataba baina ya pande mbili tofauti (an agreement (contract) entered voluntarily btn two people of opposite sex the breach of which could lead to legal consequences) kwa hiyo ndoa ni Mkataba unaoweza kuvunjwa ama kuvunjika;

Katika dini nitazungumzia Ukristo ndoa inaamnika kuwa ni muunganiko Mtakatifu (a unification btn two people of opposite sex/gender which is declared and believed to be holy {SACRED}) ambao hakuna mtu anaweza kuuvunja isipokuwa Mungu eg katika kifo na ndiyo maana wanandoa huwa wanapewa kukiri yale maneno "kwa shida na raha, ugonjwa na taabu, sijui umasikini na utajiri mpaka kifo kitakapotutenganisha" na humaliziwa kwa maneno haya alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha."

Sasa basi kwa msingi huo kama hutotaka Uhuru wako uingiliwe ni bora akatafuta pale ambapo unadhani fikra na uamuzi wako hautaitilafiana na taratibu za watu wengine ili ukiwa unaenda Kanisani ujue unakwenda kwa kuwa umekubaliana na taratibu za Kikanisa na unapokwenda kwa DC ama kwingineko ni kwamba umekubaliana na taratibu zao ndo maana kunakuwa na option hizo otherwise huwezi tu kulaumu from nowhere.......

Hivyo ndo ya Mzee yeye mwenyewe anajua ugumu uko wapi na ni vyema akaachiwa yeye mwenyewe hapa tutajadili hewa tu ndo maana yeye mwenyewe ama hana mda au anashindwa namna ya kujibu swala hili........
 
I agree with u Josephine,tatizo letu watanzania wengi tu washadadiaji sana wa mambo kuliko kuyafanyia tafakuri,ili ni tatizo letu kubwa sana watanzania wengi,tunatakiwa kuheshimu maisha binafsi na maamuzi ya mtu as long as hayana athari yoyote kwetu au kwa taifa letu!ila ushauri wangu ni kua kama process ya kuvunja ndoa ya awali inaweza chukua muda mrefu sana kikanisa,basi ni bora mngefanya mchakato wa kuharakisha ndoa halali na Dr kiserikali,binafsi naya heshimu sana mawazo yako Josephine,kwa kua wewe ndie wajua ni kipi kilichokukwaza mpaka kuamua kuvunja ndoa ya awali
 
sikuamini niliposikia huyu mama Josephine anaomba talaka kwa mume wa zamani. kwa nini asingetangulia kuomba talaka kabla hajaanza mahusiano ya nje?

kumbe mchumba wa Dr Slaa ni mke wa mtu, Wilbrod anaishi na mke wa mtu, Mgombea Urais anaishi na Mke wa mtu... ni kwamba hajui sheria au yu pu**y whipped?
 
Sijui kuhusu issue hii kiundani, isipokuwa my guts tells me huyo Mahimbo tayari yuko upande wa kina Ritz na maadui wengine wa Dr Slaa.

Kisheria ni kweli anaweza kupinga talaka, lakini wanasheria mwishowe watayamaliza, ni process.
Je Mahimbo anakataa kufinilize divorce?Did he sign the papers?
And if not, then why not?
Ama ni kweli alifungua kesi dhidi ya Dr?
 
Sijui kuhusu issue hii kiundani, isipokuwa my guts tells me huyo Mahimbo tayari yuko upande wa kina Ritz na maadui wengine wa Dr Slaa.

Kisheria ni kweli anaweza kupinga talaka, lakini wanasheria mwishowe watayamaliza, ni process.
Je Mahimbo anakataa kufinilize divorce?Did he signed the papers?

Hivi wewe unajuwa ndoa ngapi zilizoisha bila matatizo? Mzozo lazima utakuwepo na pia kuna maslahi ndani yake. Labda jamaa bado ana mapenzi au ndio ameona pa kuponea kifedha.
Hakuna sababu kutafuta mchawi ni nani wala kusingizia watu.
 
Mapenzi yalirudi baada ya kuona ni Slaa na mwanamama anang'ara? ukichangia na wapambe ambao ni maadui wa kisiasa wa Slaa, basi ndo hapo hata fisi anakufundisha morality.

Una uhakika huyo Mahimbo hakumtelekeza na watoto hapo mwanzoni?Ndiyo maana nilisema sijui issue hii kiundani.
 
hakuna aliye juu ya sheria ingawa wengi hapa tutaijadili kisiasa.

yupo alie juu ya sheria kwa mujibu ya katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nae si mwingine ila ni Rais wa JMT, ana uwezo hata wa kumtoa mtu katika kifungo alichopewa na mahakama kwa kosa lolote. Rais hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote. Nenda kasome katiba.
 
Sijui kuhusu issue hii kiundani, isipokuwa my guts tells me huyo Mahimbo tayari yuko upande wa kina Ritz na maadui wengine wa Dr Slaa.

Kisheria ni kweli anaweza kupinga talaka, lakini wanasheria mwishowe watayamaliza, ni process.
Je Mahimbo anakataa kufinilize divorce?Did he signed the papers?
And if not, then why not?
Ama ni kweli alifungua kesi dhidi ya Dr?

Mkuu, sijui Ritz, ameingiaje apo? Siku zote mnasema mie namchafua Slaa, nimekaa mbali na hii thread, nimebakia msomaji tu naomba usiniingize kama unataka kujibu hoja wewe jibu bila kupitia kwa Ritz.
 
Nimesema hivyo kwasababu kwa uzoefu wangu wewe ni mshirika mkubwa na mtetezi wa huyo Mahimbo?

Ukiwa msahaulifu usipende kuongopa, wewe ni kinara wa kumchafua Slaa, na si tu kumpinga, bali mmojawapo wa "madomo chafu"

Huwa unaongea kama mlevi wa mbege na mimate kibao iponakuja kwenye hii issue, usijidai umesahau bana.
 
Ulianza vizuri lakini naona umekujakuchanganya habari katikati; mi nianze hivi kama unataka maamuzi yako yaheshimiwa basi ni wajibu wako kuhakikisha unafanya maamuzi ambayo hayata itilafiana na taratibu zingine na za sehemu nyingine;

Hoja imejikita katika swala lako la ama kujifanya hujui au ni labda kweli hujui na kwa kutaka kuchanganya taratibu za Kidini na za Kiserikali utakuwa hutendei pande hizi mbili haki.

Mosi ni vyema utambue kuwa katika sheria ya ndoa, ndoa natambuliwa kama mkataba baina ya pande mbili tofauti (an agreement (contract) entered voluntarily btn two people of opposite sex the breach of which could lead to legal consequences) kwa hiyo ndoa ni Mkataba unaoweza kuvunjwa ama kuvunjika;

Katika dini nitazungumzia Ukristo ndoa inaamnika kuwa ni muunganiko Mtakatifu (a unification btn two people of opposite sex/gender which is declared and believed to be holy {SACRED}) ambao hakuna mtu anaweza kuuvunja isipokuwa Mungu eg katika kifo na ndiyo maana wanandoa huwa wanapewa kukiri yale maneno "kwa shida na raha, ugonjwa na taabu, sijui umasikini na utajiri mpaka kifo kitakapotutenganisha" na humaliziwa kwa maneno haya alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha."

Sasa basi kwa msingi huo kama hutotaka Uhuru wako uingiliwe ni bora akatafuta pale ambapo unadhani fikra na uamuzi wako hautaitilafiana na taratibu za watu wengine ili ukiwa unaenda Kanisani ujue unakwenda kwa kuwa umekubaliana na taratibu za Kikanisa na unapokwenda kwa DC ama kwingineko ni kwamba umekubaliana na taratibu zao ndo maana kunakuwa na option hizo otherwise huwezi tu kulaumu from nowhere.......

Hivyo ndo ya Mzee yeye mwenyewe anajua ugumu uko wapi na ni vyema akaachiwa yeye mwenyewe hapa tutajadili hewa tu ndo maana yeye mwenyewe ama hana mda au anashindwa namna ya kujibu swala hili........

Umejieleza vizuri kama vile wewe ndiye kanisa au DC. Hizo taratibu za kwenda kanisani au kwa DC bado ni uhuru wake kwenda. Wala sidhani kwa dhambi au makwazo ( kama ninavyotafsiri mawazo yako) ya Dr. Slaa na Josephine ni kikwazo kwa maisha yako.

Hakuna asiyejua kwamba suala la Dr. Slaa na Josephine ni la kisiasa. Tulisikia kesi ilikuwa mahakamani kuhusu hilo na kama ilikuwa kesi ya maana ingeendelea. Hata hiyo kesi ya kufanya maandamano kule Arusha ni ya kisiasa lakini badala ya watu kupeleka mawazo yao kwenye kesi ya kufanya maandamano naona mawazo yamehamia kwenye vyumba vya watu na ndoa zao. Huu ndio ****** wa mwisho kabisa ambao unapatikana Tanzania tu. Watu wanaoweza kujadili ndoa ya mtu (isiyo na athari kwa maisha yake/athari kidogo) lakini wasio na muda wa kujadili kuhuus ufisadi unaowafanya kuwa maskini.

Wewe KUKUTIA OLE tuambie wewe umeathirika vipi na mahusiano ya Dr. Slaa na Josephine. Hata kama ukisema Dr. Slaa ni 'public figure' lakini mbona nchi hii tunajua kuwa vitu hivyo havijaanza kupewa nafasi katika sifa za viongozi wa nchi?
 
Nimesema hivyo kwasababu kwa uzoefu wangu wewe ni mshirika mkubwa na mtetezi wa huyo Mahimbo?

Ukiwa msahaulifu usipende kuongopa, wewe ni kinara wa kumchafua Slaa, na si tu kumpinga, bali mmojawapo wa "madomo chafu"

Huwa unaongea kama mlevi wa mbege na mimate kibao iponakuja kwenye hii issue, usijidai umesahau bana.
Bwana Mushi, matendo ya Slaa ndio yatamchafua sio watu.
 
huu pia si ufisadi alio ufanya au ufisadi una maana tofauti?
 
Dr. Slaa na Josephine wanatakiwa mahakamani. Hoja ya kuwa wao ni wachumba siyo kilichowapeleka mahakamani. Tukienda kwa mwendo na uelekeo huo tutaweza kufika kama Watanzania.
 
Nimesema hivyo kwasababu kwa uzoefu wangu wewe ni mshirika mkubwa na mtetezi wa huyo Mahimbo?

Ukiwa msahaulifu usipende kuongopa, wewe ni kinara wa kumchafua Slaa, na si tu kumpinga, bali mmojawapo wa "madomo chafu"

Huwa unaongea kama mlevi wa mbege na mimate kibao iponakuja kwenye hii issue, usijidai umesahau bana.

Nashukuru Mkuu, kwa hiyo kusema Slaa, kachukuwa mke wa mtu ni kumchafua? Kwa hiyo Slaa, hajachukuwa mke wa mtu watu wameamua kumchafua?

Na Josephine ni mke halali wa Slaa? Na hajawahi kuolewa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom