Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
Asipo tii Amri ya Hakim atakuwa amevunja Sheria za nchi kwa hiyo atawezwa kukamatwa kwa amri ya Hakim mkuu Jmushi1 upo na mimi?Hawatathubutu kumkamata...
I can bet on that.
Asipo tii Amri ya Hakim atakuwa amevunja Sheria za nchi kwa hiyo atawezwa kukamatwa kwa amri ya Hakim mkuu Jmushi1 upo na mimi?Hawatathubutu kumkamata...
I can bet on that.
Wenzako huota ndoto zao usiku wanapolala, wewe unaota mchana kweupeeee! Duuuuh!Mandela walimfunga jela miaka 27 akaukwaa urais, Nyerere alifunguliwa kesi ya Uchochezi hawakumzuia ikulu, sembuse vijikesi mbuzi vya kumbambikia Dr Slaa visivyo na kichwa wala Mkia?
Mandela walimfunga jela miaka 27 akaukwaa urais, Nyerere alifunguliwa kesi ya Uchochezi hawakumzuia ikulu, sembuse vijikesi mbuzi vya kumbambikia Dr Slaa visivyo na kichwa wala Mkia?
Bado naamini hawatathubutu kumkamata.Asipo tii Amri ya Hakim atakuwa amevunja Sheria za nchi kwa hiyo atawezwa kukamatwa kwa amri ya Hakim mkuu Jmushi1 upo na mimi?