assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania