Dr Slaa na CHADEMA walikuwa na agenda ya siri (must read)

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
 
Acha kukurupuka, kukosoa na kutoa maoni ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ni siri nzito?
 
chadema walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa chadema katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je chadema hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je chadema wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. chadema wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki afrika mungu ibariki tanzania

BREEEEEEAAAKING NEWS !!!!! MGONJWA WA Dr ALEX HUYO!!!! KATOROKA HOSPITALI NA KITU CHA KWANZA KUSHIKA IKAWA KEYBOARD. KAZIDIWA NA OBSSESSIVE DELUSION. WEKA MBALI KEY BOARD.. MKOSO HUYO!!!!
 
Chadema hawana uzalendo kwa taifa letu; chama hiki kimeweka mbele maslahi ya viongozi; Dr. Slaa alikurupuka,amejirudi, leo watatoa taarifa ya kuunga mkono RASIMU
 
BREEEEEEAAAKING NEWS !!!!! MGONJWA WA Dr ALEX HUYO!!!! KATOROKA HOSPITALI NA KITU CHA KWANZA KUSHIKA IKAWA KEYBOARD. KAZIDIWA NA OBSSESSIVE DELUSION. WEKA MBALI KEY BOARD.. MKOSO HUYO!!!!
acha matusi ndo style ulofunzwa kwenu kumtukana babayako
 
Chadema hawana uzalendo kwa taifa letu; chama hiki kimeweka mbele maslahi ya viongozi; Dr. Slaa alikurupuka,amejirudi, leo watatoa taarifa ya kuunga mkono RASIMU
keli mkuu hawa jamaa mburula
 
Mh. Mboye uko wapi?? eti wanaunda timu ya kundaa katiba si Weledi, tunaomba uwachague wako wenye uweledi, alafu kuhusu kususia iliishia wapi. baada ya kukuta tume atetereki pamoja na kutaka kumwondoa pr. Beregu kushindakana mkaishia mitini au mlidhani mnatengeneza katiba ya chadema nini???, alafu kunawana jf hapa mlikuwa mnasapoti mbowe eti berugu yuko kimaslahi. JK tutakukumbuka Daimaaaaaaaaaaaaaaaaaa. mungu akupe maisha marefu kwani kwa busara zako tumewe kupata tume makini ya kutupeleka tunapaotaka,
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama.

Una ushahidi na hili?
 
Iko wapi hiyo ajenda ya siri? Usilete ushigongo wako kwenye mambo serious!ungeweka alama ya kuuliza mwisho wa sentensi yako ungeeleweka,sasa wewe unakuja kijumlajumla oo chadema walikuwa na ajenda ya siri!! Ukiulizwa ni ajenda ipi,hata huijui,explosive mind.

povu la nini??? wewe unaijua hiyo agenda ndio mana ameacha hakusema ili wewe na chadema ambao mna hiyo ajenda useme
 
Acha kukurupuka, nyie ndio wale wale mnao pita kwenye vijiwe vya magazeti unasoma headings halafu unaishia hapo. CDM walitaka kujitoa baada ya kugundua hujuma zinazofanywa na CCM kwa kuingialia mchakato wa kidemokrasia wa kuchagua wajumbe wa Mabaraza ya Katiba. Elewa hiyo ni RASIMU tuu na sio katiba, bado itakwenda kujadiliwa na mabaraza ya katiba ambapo yule Dr aliyechemka kule UN alishatoa maelekezo kwa Juniors leaders wa CCM wahakikishe CCM inakuwa majority kwenye mabaraza hayo iliwapitishe kila wanachotaka wao!! Narudi tena, jifunze kusoma na kuelewa sio kukurupuka!!!
 
By Mpendakwao BREEEEEEAAAKING NEWS !!!!! MGONJWA WA Dr ALEX HUYO!!!! KATOROKA HOSPITALI NA KITU CHA KWANZA KUSHIKA IKAWA KEYBOARD. KAZIDIWA NA OBSSESSIVE DELUSION. WEKA MBALI KEY BOARD.. MKOSO HUYO!!!!
acha matusi ndo style ulofunzwa kwenu kumtukana babayako
Mkuu SADAM HUSSEIN usipate shida hao jamaa matusi ndiyo Identity (ID) yao. Wewe unafikiri siku hizi tunapatashida kutambua huyu ni mwanachama wa chama gani? Watukanaji humu JF wanajulikana chama wanachotoka.
 
Back
Top Bottom