Siyo mikataba yote ni lazima iwekwe wazi. Kibiashara baadhi ya makampuni hayataki kuweka mikataba yao public ....kuna mikataba ya kijeshi kati ya serikali (hao IMF na WB wanashupalia hili) na serikal au na mashirika binafsi, na haiwekwi public.
Hata hivyo, linalojengwa ni pipeline, sasa wewe unatyaka mkataba gani? Wakujenga pipeline?? AU WA MATUMIZI YA GESI?? Mimi bado sijaelewa tatizo ni nini hasa.
By Mikael P Aweda
Kwani wanamtwara siyo watanzania? Malalamiko ya wanamtwara ni ya watanzania wote. Na mikataba tunayotaka yawekwe hadharani kama nilivyosema siyo ya mtwara tu bali nchi nzima. Kwa hiyo, swali langu liko pale pale, kwa nini ccm hawataki kuonesha mikataba ya uchimbaji wa gesi kwa wanamtwara na watz wote wakati yanachimbwa katika ardhi yao/yetu (sisi watz +wanamtwara pamoja na wewe kobello)
Hivi kwa maoni yako, kwa nini JK na serikali yake hawataki kuonesha mikataba ya uchimbaji gesi kwa watu wa mtwara na wabunge? Hili ndilo linalosababisha vurugu. Je, ni sawa?
naongea ukweli halisi ... hali ilivyo CDM ni kaskazini tu !
Tatizo lako wewe unaongea sana hebu tupo mchanganuo wa michango ya M4C toka muanze kuwachangisha wananchi mmekusanya kiasi gani ni matumizi yake.
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Huu ndiyo wakati wa kuonesha uwepo wa serikali jk usilegeze kamba.
Kwa nini slaa hajawahi kusema kuwa karatu na kilimanjaro kuwa patachimbika hata mandamano hayapanwi mokoa na maeneo hayo.
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
ndo mnaprotest kwa kulipua madaraja?,majumba na ofisi,hiyo ni protest au hujuma?Watu wana protest mpaka wanakufa kudai haki zao wewe unasema hawajui haki zao, wapewe elimu.
Viongozi wetu wanapokosea ni kutudhania Wanachi ni majuha wa kutupwa, Kikwete anasema vurugu ni za kuchochewa, yani sisi wenyewe wananchi anaamini hatuwezi kupinga mambo fyongo mpaka tuamshwe, tuchochewe.
Slaa nae, ungedhani angekuwa na falsafa tofauti kuhusu uelewa wa Wananchi, lakini nae anasema Wananchi hatujui haki zetu tupewe elimu!
Huyu mzee kauli zake huwa ni kuongeza tatizo badala ya kutatua, kweli laana ya kuiba wake za watu ni mbaya sana
Hiyo ya kusimama dakika moja ni mbwembwe ya kisiasa tu, wizi mtupu....unatoa kauli tata na za kichochezi halafu unawahadaa watu eti wasimame dakika moja, mbona umeliasi kanisa???
Weka mbali na wake za watu
Huyu naye apunguze unafki kidogo,lakini ndiko kwenye siasa panamfaa, maana dini ilimshinda pinda alikwenda mtwara akaa nao na kufikia muafaka na rais ali adress issue hii kwa public through speech yake ya mwezi,sasa tunataka wafanye nini zaidi? Jk alisema kama kunakuwapuuza watu wa mtwara basi yeye atakuwa mtz wa mwisho kufanya hvyo. Huyu slaa aangalie sana kauli zake maana ikitokea bahati mbaya wakaingia ikulu watu wanataraji mabomba ya maziwa
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
JF imeingiliwa na wehu....wewe una fikra mfu...
jenga hoja kijana sio unakuja na mipasho hapa