Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.

ivi ile t-shirt yenye picha ya kikwete bado unaendelea kuivaa? Manake ilikuwa imeshachakaa sana vitundu kibao,tangu 2010? Nyinyi magamba wagum sana. Mwezio uliyemchagua kapiga suit ww umepiga t-shirt ya ccm du!
 
Wangeweza wangemtia hatiani. tatizo ni pakuanzia. mzee Mlema alikuwa anasomewa hadi mashitaka 18 wodini. ameishia kulamba miguu ya mafisadi. ee mungu mwepushe na balaa hilo mpendwa DR. Wetu.
 
Hebu wakuu tuwekeni ushabiki wa vyama pembeni kisha tusaidine jibu la swali hili; Hivi ni kwa nini serikali toka uhuru haikujikita katika kuleta maendeleo nchini kwa kuzingatia usawa katika mikoa yote,wilaya zote na kanda zote! kinyume chake baadhi ya mikoa waliiendeleza zaidi ya mingine? Nimejaribu kufanya tathmini ya mitaa iliyo mingi Mtwara mjini; nyumba zake zina hadhi duni kuliko hata nyumba za kijijini kwetu huko pembezoni kabisa mwa mkoa mmoja hivi hapa hapa Tanzania.Kwa nini hii ilikuwa na iko hivi?
hata mimi hujiuliza sana kwanini Newyork kumeendelea kuliko montana au Nevada.
 
Huyu naye apunguze unafki kidogo,lakini ndiko kwenye siasa panamfaa, maana dini ilimshinda pinda alikwenda mtwara akaa nao na kufikia muafaka na rais ali adress issue hii kwa public through speech yake ya mwezi,sasa tunataka wafanye nini zaidi? Jk alisema kama kunakuwapuuza watu wa mtwara basi yeye atakuwa mtz wa mwisho kufanya hvyo. Huyu slaa aangalie sana kauli zake maana ikitokea bahati mbaya wakaingia ikulu watu wanataraji mabomba ya maziwa Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Wewe ni kati ya wale wanaosikia jina la Dr Slaa mapepo yanalipuka eti!!!!!
 
Wangeweza wangemtia hatiani. tatizo ni pakuanzia. mzee Mlema alikuwa anasomewa hadi mashitaka 18 wodini. ameishia kulamba miguu ya mafisadi. ee mungu mwepushe na balaa hilo mpendwa DR. Wetu.
Ngoja amjue mkeo ndio utajua ni mpendwa au mchukiwa
 
KATIBU Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais
Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na
matukio yanayotokea sasa nchini.

Alisema hali inayotokea sasa ni matokeo ya wananchi kupuuzwa na
kutokusikilizwa katika suala zima la uwekezaji unaofanyika sehemu
mbalimbali za nchi. Dk. Slaa alitoa kauli hiyo jana katika kijiji cha
Giroda Babati vijijini, wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika
ziara yake ya siku tisa ya ujenzi wa Chama mkoani Manyara.

Kabla ya kutoa kauli hiyo Dk. Slaa aliwaomba wananchi wasimame kwa muda
wa dakika moja, kuomboleza vifo vilivyotokea mkoani Mtwara.

Aliongeza kuwa kuendelea kuwapuuza wananchi wa Mtwara ni kuendelea
kucheza na jipu linalopaswa kutumbuliwa na kwamba njia sahihi ni kukaa
na kuwasililiza wananchi katika uwekezaji na kufikia muafaka pasipo
kutumia nguvu. Alisema wanachotaka wananchi wa Mtwara ni kujua namna
watakavyonufaika kwa kile alichoeleza kuwa katika uwekezaji wowote
wanufaikaji wa kwanza wanapaswa kuwa wananchi.

Alisisitiza kuwa katika hali ya Mtwara kulihitajika busara za kawaida
za kutatua msingi wa tatizo badala ya wananchi kupigwa mabomu, risasi na
kisha kukamatwa.

“Ni jambo la aibu kuwapiga mabomu wananchi wanaodai kunufaika na
rasilimali za nchi yao hapa kunahitajika elimu ya kuwafahamisha haki zao
ni zipi na siyo mabomu.,alisema Dr Slaa.

Source:Tanzania Daima.

Hana busara huyo Katekesta wenu! ufanye nao mazungumzo wanamtwara mara ngapi? na waelimishwe mara ngapi? na unaposema wasipigwe mabomu kwa nn wao wachome nyumba za watu binafsi? hao watu binafsi ndio waliowanyima gesi? We Silaha jibu kwanza haya ndio uendeleze propoganda zako za siasa zenu za matukio!
 
Kuishabikia serikali ya CCM automatically akili yako inadumaa!!

Comment za magamba zinalitia aibu Taifa!!!!
 
Hana busara huyo Katekesta wenu! ufanye nao mazungumzo wanamtwara mara ngapi? na waelimishwe mara ngapi? na unaposema wasipigwe mabomu kwa nn wao wachome nyumba za watu binafsi? hao watu binafsi ndio waliowanyima gesi? We Silaha jibu kwanza haya ndio uendeleze propoganda zako za siasa zenu za matukio!
watu wametumia milipuko kulipua madaraja bado anataka wafumbiwe macho.?afterall polisi wanatumia mabomu ya machozi kipi cha ajabu hapo,teargas zinapigwa hata wallstreet .
 
mwenzio Ritz na ZeMarcopolo wameamua kurudi CDM baada ya kuona buku 7 haina thamani ya maisha ya watanzania wewe bado unahangaika lumumba?

Tatizo nyie vijana wa Bavicha mnapenda kuropoka sana kama kiongozi wenu Dr Slaa.

Watu wanachoma nyumba za makazi ofisi magari polisi kuwadhibiti Dr Slaa unasema wamepuuzwa lakini watanzania wapenda amani wameishakushtukia toka aseme watahakikisha nchi aitatawalika tena.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???

mtihani kama wa kuwakamata wezi wa epa?
 
Tatizo nyie vijana wa Bavicha mnapenda kuropoka sana kama kiongozi wao Dr Slaa.

Watu wanachoma nyumba za makazi ofisi magari polisi kuwadhibiti Dr Slaa unasema wamepuuzwa lakini watanzania wapenda amani wameishakushtukia toka aseme watahakikisha nchi aitatawalika tena.

Dogo huu ulio andika ni uchochezi kwa wananchi wa Mtwara
 
laana kutoka kwa nani..?

Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko

laana kutoka kwa mungu! Unauliza kitu kilicho wazi! Mungu anaiadhibu hii serikali kutokana na wananchi waliodhulumiwa ushindi waliompatia dr. Slaa
 
Hebu wakuu tuwekeni ushabiki wa vyama pembeni kisha tusaidine jibu la swali hili; Hivi ni kwa nini serikali toka uhuru haikujikita katika kuleta maendeleo nchini kwa kuzingatia usawa katika mikoa yote,wilaya zote na kanda zote! kinyume chake baadhi ya mikoa waliiendeleza zaidi ya mingine? Nimejaribu kufanya tathmini ya mitaa iliyo mingi Mtwara mjini; nyumba zake zina hadhi duni kuliko hata nyumba za kijijini kwetu huko pembezoni kabisa mwa mkoa mmoja hivi hapa hapa Tanzania.Kwa nini hii ilikuwa na iko hivi?

Hatuwezi kufanya kama unavyotaka kauli ya Dr Slaa siyo yakuikalia kimya, wewe unafurahia nchi isitawalike.
 
Hiyo ya kusimama dakika moja ni mbwembwe ya kisiasa tu, wizi mtupu....unatoa kauli tata na za kichochezi halafu unawahadaa watu eti wasimame dakika moja, mbona umeliasi kanisa???

Weka mbali na wake za watu

Unataka Doctor mzima aanze kuzidumisha fikra sahihi (kwa maCCM) za mwenyekiti wakati facts zipo wazi kuwa mabavu hayatakiwi.

Top Down approach kwa maendeleo ya watanzania tena kwa manufaa ya viongozi wa CCM is coming to an end, na mtarudishwa kwenye mstari tu, mlijisahau sana nyie mkadhani hii nchi ni yenu na familia zenu.

Hamjishangai, kila siku mna mgogoro mara na CDM mara na waandishi wa habari, mara madaktari, mara wananchi; lazima mjitathmini haiwezekani makundi yote haya yakawa yanakosea tu na nyie ndio mpo right.
 
bado tunatafuta ushahidi wa kujilidhisha tutamkamata tuta mweka ndani akutane na rwakatale

Ushaupata huo ushahidi au bado unaendelea kupekua pekua masunduku yako kutafauta chochote cha kumtia hatiani Kiboko yenu.Waulize mabosi watakwambia Dr Slaa ni nani,Kama mabosi wako wenyewe wamemshindwa wewe mburumundu tu ndo utaweza?
 
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.

Nyinyi watu mna akili ndogo sana! Watanzania wa leo hawahitaji Dr. Slaa kuona ujinga unaofanywa na Serikali. Wanaangalia wenyewe kwenye TBC na kujua nini cha kufanya na upuuzi unaofanywa na hawa viongozi waliopewa nafasi katika Serikali kwa kigezo cha ku balance dini badala ya uwezo wao wa kufikiri.

Waambie wana CCM wenzio haya: kwamba kuna eneo zaidi ya moja katika Taifa ambako watu wanafikiri kama wana Mtwara. Watu hawa hawatatumwa na DR. Slaa. Watajituma wenyewe, na polisi hawatatosha....
 
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
ndugu embu tumia akili uskurupuke tuu kma una hoja kaa kimya dr slaa akuhasi bali alijiuzulu kutokana na sheria za kanisa katholic
 
Back
Top Bottom