magnificent
Senior Member
- Jun 25, 2011
- 110
- 16
Islamic fundamentalism km hii duh, hatari sana. nadhani ww ni mmoja wa member wa kikundi cha al shabab hapa bongo.Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
Islamic fundamentalism km hii duh, hatari sana. nadhani ww ni mmoja wa member wa kikundi cha al shabab hapa bongo.
Sasa hapo udini uko wapi..??kwani sio doktari wa canon law
Kinachokusumbua ni udini tu,. ukweli mmepungukiwa sana katika kufikiri. bahati mbaya hauwezi kushaurika kwa njia yoyote. kwa sababu unafikilia sunna tuKanoni = Kanuni za kanisani.
Ambazo hata yeye mwenyewe kashindwa kuzifata, sasa hapo ndipo kwenye kazi.
Kanoni = Kanuni za kanisani.
Ambazo hata yeye mwenyewe kashindwa kuzifata, sasa hapo ndipo kwenye kazi.
kwanin awe yeye??na rais gani atamshauri?
Kanoni = Kanuni za kanisani.
Ambazo hata yeye mwenyewe kashindwa kuzifata, sasa hapo ndipo kwenye kazi.
Kama Zitto ni msomi kwa nini msimpe cheo cha umufti badala ya kuongozwa na mufti ambaye ameishia darasa la saba? hamuoni huyu mufti Shabaani bin Simba akikaa na Cardinal Pengo inabidi akae kama bubu maana hawezi kuchangia mada yoyote?
Huyu Mufti anawatia aibu sana waislamu.
Kanoni = Kanuni za kanisani.
Ambazo hata yeye mwenyewe kashindwa kuzifata, sasa hapo ndipo kwenye kazi.
Tuanze na Jakaya Kikwete ni Dr wa nini?
Ni bora Dr. wa canon wa kusoma mwenyewe kuliko u Dr wa kupewa bila kujua ni wa nn. Nashauri urudi darasani kijana.
Sasa naamini Wtz wengi tumekuwa ma-mbumbumbu au Mazezeta, hivi tunashindwa kujadili majanga makubwa yaliyopo nchini kwa sasa, tunajadili na kulumbana juu ya imani za dini? ndiyo maana tunaendelea kutawaliwa ki-imla kwani tunawalaumu hao viongozi wakati na sisi tunaonesha matatizo ndiyo yaleyale, hapa tatizo ni Sisi wananchi kuacha ushabiki ili itakapofika fulsa nyingine ya kuwapata viongozi wapya wenye muonekano wa kutujali basi tuwachague. Na swala hapa sio usomi bali Busara, Hekima na kuwajali watu unaowaongoza. Mungu wabariki watanzania wote na uwaondolee roho za chuki uwape amani. Amina
Sasa naamini Wtz wengi tumekuwa ma-mbumbumbu au Mazezeta, hivi tunashindwa kujadili majanga makubwa yaliyopo nchini kwa sasa, tunajadili na kulumbana juu ya imani za dini? ndiyo maana tunaendelea kutawaliwa ki-imla kwani tunawalaumu hao viongozi wakati na sisi tunaonesha matatizo ndiyo yaleyale, hapa tatizo ni Sisi wananchi kuacha ushabiki ili itakapofika fulsa nyingine ya kuwapata viongozi wapya wenye muonekano wa kutujali basi tuwachague. Na swala hapa sio usomi bali Busara, Hekima na kuwajali watu unaowaongoza. Mungu wabariki watanzania wote na uwaondolee roho za chuki uwape amani. Amina
Kanoni = Kanuni za kanisani.
Ambazo hata yeye mwenyewe kashindwa kuzifata, sasa hapo ndipo kwenye kazi.
Tuanze na Jakaya Kikwete ni Dr wa nini?
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana