Chadema wana mpango gani au wamejiandaa vipi kusimamia wizi wa kura? manake wajue wamepoteza kichwa kikubwa sana bungeni na bila kufanya mpango makini wa kusimamia wizi wa kura kitachotokea ni kama miaka ya nyuma ni kulalamika tumeibiwa kura na hakuna hatua zozote zinafanyika.
nilikuwa nafuraha sana na chadema kuweka nguvu kwenye nafasi za ubunge sasa leo wanaenda kutoa kichwa chao kikubwa bungeni.
safari ndefu sana kwa wapinzani.
Naona sasa macho yote yatakuwa kwenye hio nafasi ya uraisi kuliko kwenye wabunge.
Bwa ha ha ha ha
Umepiga simu vijiji gani hivyo?
Hizi propaganda za sisiemu bana ..... zinawezekana mtaani sio JF
Chadema wana mpango gani au wamejiandaa vipi kusimamia wizi wa kura? manake wajue wamepoteza kichwa kikubwa sana bungeni na bila kufanya mpango makini wa kusimamia wizi wa kura kitachotokea ni kama miaka ya nyuma ni kulalamika tumeibiwa kura na hakuna hatua zozote zinafanyika.
nilikuwa nafuraha sana na chadema kuweka nguvu kwenye nafasi za ubunge sasa leo wanaenda kutoa kichwa chao kikubwa bungeni.
safari ndefu sana kwa wapinzani.
Naona sasa macho yote yatakuwa kwenye hio nafasi ya uraisi kuliko kwenye wabunge.
kamalaikaKweli Dr. Slaa ni kiboko, kamtoa hadi nyoka pangoni. Karibu kamalaika 🙂Junior Member
Join Date Fri Mar 2007
Posts 8 Thanks : 6
Thanked 6 Times in 3 Posts
Rep Power 0
Hivi wewe ulishaona wapi hakimu akamuuliza mwizi amfunge miaka mingapi, ulitarajia huyo mwanaCCM asemaje.Baada ya hii habari nilimpigia mmoja wa wana CCM, yeye anasema Slaa sio tishio kwa sababu Chadema haina network vijijini, tujadili hili pia
umeniwahi mkuu
kwa hiyo wewe umeamua kufeli mtihani hata bila ya kuiona huo mtihani, wanaopiga kura ni siri yakila moja wetu, wanacho ongea watu hata ndani ya ccm sio wote wana mtaka huyo anaye gombea, siasa za ccm nyingi ni za kinafiki. hivyo usione watu wanakuchekea ukafikiri ni marafiki, ni mslahi binafsi ndio yanayo leteleza hayo.Nani aliyekwambia mwaka huu kutakuwa na idadi kubwa ya wabunge wa Chadema ku-warrant kuteuliwa wengi? Wabunge wa kuteuliwa hawaiingii tu bungeni kwa miguu au kwa ku-drive. Kuna mchakato wake. Let us be realistic kwa level ya JF.
Sijapiga kijijini, nimempigia kada nguli wa CCM kujua mtazamo wake.
Ukiweka ushabiki wa JF bila kuwa realistic na hali halisi haitusaidii kuleta mabadiliko ya kweli. Katika post yangu moja nimetoa angalizo kuhusu kuwa na Mawakala waaminifu, Nalijua hili na ndio mtaji mkubwa wa ushindi wa CCM, eneo lingine ni Vijijini ambako elimu ya mageuzi bado iko chini na vyama vyetu vingi havina network huko, sasa haya ndiyo tuyafanyie kazi kama tunataka ushindi, vinginevyo tutaishia kushabikia humu JF huku mkulima kule mwanarumango hajui kinachoendelea wala maana ya mageuzi
Msisahau kutuma neno CHADEMA kwenda 15710. Ndo hongera zetu zitaimarika.
CHADEMA makao makuu, mnaweza kubandika account maalumu ya kuchangia chama?
Waulize nini kilitokea Kenya. Unadhani Kenya walipenda iwe hivyo?Tungekuwa na tume halali basi Slaa angekuwa preseident kwa sababu tume ni mamluki hata akishunda hawatamtangaza mshindi
Hivi wewe ulishaona wapi hakimu akamuuliza mwizi amfunge miaka mingapi, ulitarajia huyo mwanaCCM asemaje.
kwa hiyo wewe umeamua kufeli mtihani hata bila ya kuiona huo mtihani, wanaopiga kura ni siri yakila moja wetu, wanacho ongea watu hata ndani ya ccm sio wote wana mtaka huyo anaye gombea, siasa za ccm nyingi ni za kinafiki. hivyo usione watu wanakuchekea ukafikiri ni marafiki, ni mslahi binafsi ndio yanayo leteleza hayo.
That's right, yaani yeye anampigia mwanaccm simu kumuuliza nafasi ya chadema vijijini, badala ya ya kupiga simu vijijini na kuuliza watu mbali mbali kuhusu chadema?!
Wakati mwingine ni faraja kuishi kwa matumani yasiyowezekana. wenyewe wanasema.. Stretch goals. However, backcasting is very important...
we ndugu wewe. Huwezi ukaomba kufanya UE wa physics wakati wewe ni ngwine per se. Hiki ndiyo kimetokea hapa. Kumbuka kuwa hata wanaomchekea Slaa usije ukadhani wote wanamfurahia. In fact wengi wanamcheka.
mkuu ndoto zingine sio muhimu sana kuziweka kichwani.Kama wewe una uchungu na nchi, unaweza kutoa ushauri wa namna ya kulinda kura na sio kuwaachia "wengine" wafanye kazi hiyo?
Mtu mmoja tu kuacha kugombea ubunge inakufanya useme kuwa chadema wameaacha kuweka nguvu kwenye ubunge? analysis yako bomba sana mkuu
Kwani kuna makosa kuweka nguvu kwenye vyote - uraisi + ubunge?
You never got my point