Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Wilbroad Slaa leo amelihutubia Bunge katika kikao chake cha kwanza cha Ufunguzi na kuelezea mikakati yake ndani ya siku 100.
Mheshimiwa Rais Slaa alisema kwamba moja kati ya mambo atakayoyafanyia kazi katika siku zake 20 za Mwanzo ni kuhakikisha kwamba anarudisha Raslimali zote zilizoporwa Mikononi mwa Wananchi, Vile vile ameagiza kuanza kutumika mara moja kwa Sheria ya Uhujumu Uchumi na kwamba wale wote waliohusika katika kuiletea hasara Nchi hii watahukumiwa kwa Mujibu wa Sheria ya Uhujumu Uchumi, vile vile ameahidi kuufanyia mabadiliko makubwa Mfumo Mzima wa Kiserikali wa Tanzania, kwa kuanzia ameahidi Katiba Mpya itakayoendana na hali halisi na kuachana na katika ya 1997 iliyosheheni viraka mpaka kufikia kiwango cha Kujicontradict
Asante Dr.Slaa kwa jibu zuri sana.Wenger,
Nadhani si vema kuikataa kura ya Malaria Sugu. Malaria Sugu kwenye Jamvi hili tunamjua wote kama mchokozi. Na wakati mwingine uchokozi wa aina hiyo ni mzuri. Hatuhitaji kutukanana. Kama yeye hatatoa kura yake hiyo ni haki yake wala tusimlazimishe. Na mimi nadhani hata kura yake tunaihitaji, hakuna kura ya mtanzania tunayoikataa, kura ni kura, kura haina sifa ya ubaya au uzuri bora ni kura halali. Thanksa wote, Thanks Malaria Sugu.
kaishi somali mkuu utapata uongozi unaokufaa na unao upenda.Wapenzi wengi wa chama chako wana sifa ya kutuweza kuvumilia mawazo mbadala hasa yanakuhusu wewe na background zako za KIKANISA na UDINI (kielimu na kimalezi)....
Naamini hustahili kura hata moja kutoka kwa MUISLAMU mwenye chembe ya IMANI kwakuwa kitakachofuata baada ya hapo ni kufunikwa kwa uislamu Tanzania na kuingiza ukatoliki maana ndiko ulikobobea (PhD) ...
Sorry nenda kanisani kaongoze kwenye urais unataka kuleta maafa na mgawanyiko mkubwa katika..ushauri tu kwa ajili ya Tanzania yetu..
PHD za kichina hizo.[/QUOT
Nimecheka mpaka basi,wenyewe wanasikia raha kuitwa ma DR,lol!
Wenger,
Nadhani si vema kuikataa kura ya Malaria Sugu. Malaria Sugu kwenye Jamvi hili tunamjua wote kama mchokozi. Na wakati mwingine uchokozi wa aina hiyo ni mzuri. Hatuhitaji kutukanana. Kama yeye hatatoa kura yake hiyo ni haki yake wala tusimlazimishe. Na mimi nadhani hata kura yake tunaihitaji, hakuna kura ya mtanzania tunayoikataa, kura ni kura, kura haina sifa ya ubaya au uzuri bora ni kura halali. Thanksa wote, Thanks Malaria Sugu.
Mbona tumekuwa na rais Al haji Tanzania hatujasema kitu? Angalieni ni mbegu mbaya mnajenga na tena ukitaka kusema hivyo kwa idadi sizani kama Tz kura za kidini waislam watashinda ,so it may fire back .Wapenzi wengi wa chama chako wana sifa ya kutuweza kuvumilia mawazo mbadala hasa yanakuhusu wewe na background zako za KIKANISA na UDINI (kielimu na kimalezi)....
Naamini hustahili kura hata moja kutoka kwa MUISLAMU mwenye chembe ya IMANI kwakuwa kitakachofuata baada ya hapo ni kufunikwa kwa uislamu Tanzania na kuingiza ukatoliki maana ndiko ulikobobea (PhD) ...
Sorry nenda kanisani kaongoze kwenye urais unataka kuleta maafa na mgawanyiko mkubwa katika..ushauri tu kwa ajili ya Tanzania yetu..
Nadhani Watanzania wanamhitaji mtu mwenye uzalendo.Katiba ya Tanzania inaeleza nani ana sifa za kuwa rais wa Tanzania. Udaktari wake atautumia kama alivyoutumia akiwa mbunge. Malaria sugu anataka rais wetu awe na udaktari wa nini? Wapo walio wanasheria ktk nchi hii na ni wanasiasa lakini hawajaisaidia nchi hii kwa sababu tu hawana uzalendo. Wanasheria hao hawakusema kitu pale rais Kikweti aliposaini sheria ambayo imeongezewa vipengele tofauti na vilivyopitishwa bungeni achilia mbali hata kujadiliwa. huyo huyo ambaye malaria sugu hajui udaktari wake utamsaidia nini ndiye pekee aliyehoji hicho, je udaktari wake hauonyeshi umakini alionao kwako?kura yangu haipati mpaka anifanulie hasa udokta wake atautumia vipi wakati yeye ni dokta wa maswala ya dini?
Hana jipya zaidi ya "Ukatoliki" at extreme point..Balaa hili Mungu tuepeushe nasi...lipite mbali...
imekaa kichadema dema
imekaa kichadema dema
UKIWEZA JINYONGE, UKICHUKIA CHUKIA , UKILIA LIA. LKN HAMNA AWEZAE KUYAPANGUA YA MUUMBA WETU "JK TU 2010
UKIWEZA JINYONGE, UKICHUKIA CHUKIA , UKILIA LIA. LKN HAMNA AWEZAE KUYAPANGUA YA MUUMBA WETU "JK TU 2010
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Wilbroad Slaa leo amelihutubia Bunge katika kikao chake cha kwanza cha Ufunguzi na kuelezea mikakati yake ndani ya siku 100.
Mheshimiwa Rais Slaa alisema kwamba moja kati ya mambo atakayoyafanyia kazi katika siku zake 20 za Mwanzo ni kuhakikisha kwamba anarudisha Raslimali zote zilizoporwa Mikononi mwa Wananchi, Vile vile ameagiza kuanza kutumika mara moja kwa Sheria ya Uhujumu Uchumi na kwamba wale wote waliohusika katika kuiletea hasara Nchi hii watahukumiwa kwa Mujibu wa Sheria ya Uhujumu Uchumi, vile vile ameahidi kuufanyia mabadiliko makubwa Mfumo Mzima wa Kiserikali wa Tanzania, kwa kuanzia ameahidi Katiba Mpya itakayoendana na hali halisi na kuachana na katika ya 1997 iliyosheheni viraka mpaka kufikia kiwango cha Kuji-contradict