CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Kwa vile akina Kabwe and Co. LTD wamekili makosa yao, wasamehe. Muanze ukurasa mpya. Hata Baba wa Taifa alimsamehe Bibi Titi (RIP) alipotaka kumpindua! Wageuzie na shavu la pili kujenga CHADEMA! Wamejifunza, inatosha.