Dr. Slaa, mbowe, wanachama and the top management

Msaliti ni msaliti tu,CDM ni ya watu wenye uchungu na nchi hii si kwa wala rushwa wala mafisadi sio yeye tu hata na mwingine atakayeleta za kuleta tunamwaga tu fasta,who is ZZK?????
Siamini ninachokisoma hapa. Hii ni dalili ya woga. Jiulizeni kwanini mnapatwa woga sasa hivi? Haya mawazo mbona sikuyaona wakati ule na badala yake mlikuwa mnashabikia kuwa wasaliti wote watolewe ndani ya chama. Ninachokiona hapa ni kuwa mmeanza kuuona ukweli kuhusu tuhuma anazo pewa ZZK, Pamoja na nguvu aliyonayo kukisambaratisha chama hata Kama ni asilimia 15 tu. Msiposimamia NGO Irudi kuwa chama hata nyie mtanyolewa tu. Ombeni MUNGU muendelee kubaki ndani ya kiza, Siku mkaona mwanga tu, you are the next
 
Una ndugu yeyote kijijini?nenda mkasherehekee CDM kuanguka huenda maisha yenu na ndugu zako yakazidi kuwa bora

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kuna uamzi ambao unaweza kweli kuwa mzuri lakini ukawa na gharama lakini pia kuna uamzi mbaya ambao hauna gharama au unagharama.CHADEMA kwa wakati huu tuko kwenye double dought and delima na kwasasa kitu cha kufanya nikuamua vibaya na kuwa tayari kugharamia maamuzi yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom