Dr. Slaa & Mbowe, Right timing but wrong Strategy!!!!

BWANA NYANTELLA ninakushauri uwe unajaribu kuelewa issues objectivelly and in a broader thinking before you put forward you arguments to this forum.I would like to succintly respond to some of your arguments which contain some disturbing logical flow.
(1) Ni lazima uelewe theories za revolution na concept of peoples' power.Katika mabadiliko yote yaliyowahi kujitokeza, Refer France, Italy revolutions etc) kulikuwa kuna leading forces ambayo watu walipata leadership na kuonyeshwa cha kufanya in the entire cause for justice.Hata ukiangalia hivi sasa kule LIBYA freedom fighters especially pale Benghazi yalipoanzia mageuzi wamemteua waziri wa Gadafi aliyejiuzuru Mr Mustapha ili awe kiongozi wa liberation council.So hapa Tanzania mageuzi ya kweli yanaonekana kuongozwa na CHADEMA chama ambacho kina the best brains, pragmatic thinkers, and vibrant strategists.Kwa kifupi ni lazima pawe na leadership to initiate the cause for justice, and that is exactly what Dr Slaa, Mbowe and the entire contigent of CDM leadership is doing right now.
(3) Issue yako ya cooperation among the opposition hapa Tanzania haiwezekani.Vyama vya upinzani vilivyopo hapa vina falsafa tofauti, vision and mission vile vile vinatofautiana.Na ujue kwamba ndani ya vyama hivyo vinavyojiita vya upinzani kuna ambavyo ni mapandikizi au puppets wa ruling CCM, na hilo tunalijua fika, labda kama wewe ndo you are not aware au you simply ignore the facts.

In conclusion, ninapenda kukuhakikishia kwamba CDM is right in its cause, they have very powerful and strong arguments ambazo umma wa Tanzania unazikubali, na vile vile CDM have the alternatives on how to get things done.Lastly ninakushauri usome MWANANCHI YA LEO JUMAPILI front page usome ili uone ushauri ambao waziri mkuu Sumaye amewapa CCM kuhusu namna ya kudeal na eathquake ya CDM.
 
I really doubt if you're independent thinker!Inakuwaje unaamini matatizo ya TZ wanaopaswa kupelekewa ni EU,USA na wazungu wengine?!?Thread yako inaonyesha how much wewe ni mtumwa wa fikra mgando,inawezekanaje watu kwa wingi wao wakaanzisha move bila kiongozi/viongozi?Tafiti kabla ya kurusha hoja otherwise utajikuta unaandika PUMBA na kukaribisha matusi.

Ugweno!
thanks for the comment. to start with just be assured that i am an independent thinker as I said. pili why EU and the rest? ni kwa sababu ndiyo tendency ya all opposition parties in our Africa and TZ in particular, remmember the CUF issue, jamaa alizunguka dunia nzima na video za mauaji ya zanzibar ili kuonyesha wazungu alivyodhulumiwa kilicho fuata we all know.

Tatu kwa chama makini kama CDM, wagetambua kwamba kuuza hiyo video Arusha in particular, si busara kwanza vijana wengi walishiriki katika hilo tukio hivyo hakukuapo ulazima wa kuiuza na kutengeneza pesa ambayo hatujui matumizi yake,na hivyo kuonyesha kwamba CDM in provoke confrontetion na Police huku wakichukua picha ili baadaye watengeneze video yale matukio mabaya kuziuza baadaye.

Mwisho, Police hao hao watakuepo sasa hivi wakati wa serikali ilyopo madarakani na ile ijayo, hivyo video kama hiyo sii busara kuiuza kwani itaendeleza uhasama baina ya police na raia, ukichukulia kuna picha (halisi) ambazo ni rahisi kuzitumia pande zote mbili kwa matumizi mabaya. kumbuka hivi karibuni kuna Police kauawa na watu wanaunganisha kifo chake na tukio la maandamano ya tarehe 5.
So, hayo ndiyo maelezo yangu, ukiamua kuyaita pumba bado, fine, kama utaamua kunitukana it is also fine, afterall its just a forum! bye an I am out!
 
Dr. WSlaa na Mh. F. Mbowe, nimefuatilia kwa karibu mbinu mnazo tumia ili kukipa umaarufu CDM, likiwapo hili mnalofanya kwa wakati huu. Tatizo ninaloona na wale waliosoma theory of games, wanaona udhaifu mkubwa au kutokuwapo ma-strategists wazuri CDM. Sababu za kusema hivyo ni kama zifuatazo:
  1. Mnataka wananchi wawaunge mkono kuandamana nchi nzima kama walivyofanya Tunisia, Egypt, Libya na nchi nyinginezo za kiarabu ili kumng'oa JK na serikali yake madarakani, kwa ajili ya kupinga hali ngumu maisha kwa wananchi, ufisadi na sababu nyingine nyingi. Ni kweli serikali ina mapungufu hayo, na wananchi woote wanajua. Tatizo ni kwamba, ni kwanini Wewe Dr. Slaa na Mbowe ndio muwaambie si wanayajua matatizo yao wenyewe??
  2. Kama ni kufuata mfano wa Tunisia, Egypt, Libya, Hivi huko kwao kuna mtu au watu mithili ya Slaa, Mbowe au for that chama kama CDM kilicho waambia watoke mtaani kuandamana??? si wametoka wenyewe hamna wa kuwaambia fanya hiki wala kile wametoka na lao ni moja serikali itoke na wamefanikiwa!!
  3. Katika mila na desturi zetu za kiafrika huwa tunashirikiana katika shughuli mbali mbali za kijamii ikowemo misiba na sherehe mbali mbali, katika msiba mara nyingi kuna waombolezaji wa aina tatu, wanandugu mara nyingi huwa wanalia kwa huzuni na ni rahisi kuwa gundua, kuna marafiki na majirani, lakini kuna watu wengine tu hulia kwa makelele saana hata kupita ndugu wa marehemu, CDM wanalia kama hilo kundi la tatu!! kwa nini? kwa nini tusilie pamoja kama wana ndugu (CUF,TLP,NCCR,UDP n.k) kwa nini CDM msiba wetu sote Watanzania wanalia kwa makelele? lipo tatizo hapo!
  4. Kuna vurugu zilitokea Arusha watu wakapoteza maisha, story zikawa nyiiiiingi ila watu wa Arusha pamoja na uongozi wa CDM hasa Slaa wanajua sababu ya hizo vurugu, Police kwa upande wao wametoa utetezi wa video ya matukio yote kwenye vyombo vya habari, CDM (Slaa) ikaahidi kujibu mapigo na kweli amejibu cd ziko sokoni!!! zinauzwa tena kwa Mujibu wa Mh. Regia Mtema, zinauzwa sh. 6000/=, kwa nini CDM iuze kanda mtaani badala ya kupeleka ubalozi wa EU, Wingereza, Marekani, au kwingineko kokote kuonyesha jinsi TZ isivyo kuwa democratic state ili CDM ipata hiyo sifa inayotaka? na pesa ya hiyo filamu inaenda kwa nani?
  5. Hivi CDM wanafikiri kama serikali ya CCM itapinduliwa kwa maandamano wakati watu watalifananisha hili na yale ya Tunisia, Egypt, Libya!! , this is being naive!!! maana itaonekana ni CDM na Slaa na wamepindua nchi baada ya kushindwa uchaguzi mwaka jana!! hivyo CDM haiata kuwa imeingia madarakani kihalali wala kidemokrasia!! hili mbona liko wazi??.
So far naona niishie hapo. naomba nieleweke kwamba i am an independet thinker so I hate baadhi wana JF wanaopenda kutukana wenzao ni vyema mtu ukajibu hoja ndio utakisaidia chama chako na sii kukilinda kwa matusi. thanks an I am out.

Kwanza nikupe pole kuwa hujui unalolisema, ila watakuja kukujibu kama umeanziasha thread kwa malengo ya kupata pages tatu au nne hivi. Pili unachoongea wewe si kigeni kabisa, maandamano ni haki ya kikatiba, mwenye kujua motive ya maandamano ni muandamanaji ambaye huto dukuduku kwa njia ya mabango na maongezi so far hakuna sehemu niliyoona inataka JK ang'olewe kwa nguvu. Kusema lengo ni kama la Egypt au Hizi ni hoja mufilisi kwa watu waliofilisika hoja kwa kuwa hawana majibu ya maswali magumu wanayoulizwa.
 
uko sawa kwa upande wa CCM, siku moja nilikwa vijijini nikamkuta mkulima anaishi mahali ambapo mnara wa TIGO uko karibu na nyumba yake yaani mita 7 hivi. Nilimuuliza unajua madhara ya hii kitu, akajibu hajui. Si watanzania wote wanajua haki zao na si viongozi wote wanaitakia mema Tz. Naimani kabisa wataalaam wa sayansi TIGO wanajua madhara ya minra kuwa karibu na jamii, lakini kwa sababu hawaumii wao na ndugu zao bali wanapata kuwanyonya hao waliomo kwenye athari hizo.Na wakijagungua basi watakuwa wavujifu wa amani. Cdm imegundua ufisadi mwingi basi wamekuwa wavunjifu wa amani kama vile huyo mwanakijiji anayeishi yeye na famila yake kwenye mnara wa TIGO. Inabidi usalim amri iwapo wakuu wanapata maslahi hapo na wewe na generation yako mkiteketea duniani isibaki hata chembe yenu moja.

Mkuu!!

Unaweza ukatudhibitishia hapa madhara ya mionzi inayotoka kwenye transceivers zilizopo kwenye minara ya simu kwa afya za binadamu? the last time i checked, Mamlaka ya Mawasiliano walitoa taarifa kwa umma juu ya hilo hapa http://www.tcra.go.tz/headlines/radiationPressReleaseEng.pdf

Tusisikilize sana maneno ya mitaani na kuwatisha wananchi hawa wanaohitaji sana huduma hizi, by the way mionzi inayofika mita 7 kutoka kwenye mnara inaweza kuwa ni midogo zaidi kuliko ile inayofika mita 100 kutoka kwenye mnara, hivyo ata kama kungekuwa na madhara ya mionzi hiyo mtu aliyepo chini ya mnara(mnara uliopo nyumbani kwake) yupo safe zaidi kuliko yule aliyepo mita 100-200 kutoka kwenye mnara.
 
Umenifanya nizipitie sifa za kuwa Senior Member hapa JF. Na kama inawezekana mtu kushushwa juu na kuwa member wa kawaida kama wenzangu na mimi. Bahati mbaya sijaona lolote zaidi ya michango ya pesa.
 
BWANA NYANTELLA ninakushauri uwe unajaribu kuelewa issues objectivelly and in a broader thinking before you put forward you arguments to this forum.I would like to succintly respond to some of your arguments which contain some disturbing logical flow.
(1) Ni lazima uelewe theories za revolution na concept of peoples' power.Katika mabadiliko yote yaliyowahi kujitokeza, Refer France, Italy revolutions etc) kulikuwa kuna leading forces ambayo watu walipata leadership na kuonyeshwa cha kufanya in the entire cause for justice.Hata ukiangalia hivi sasa kule LIBYA freedom fighters especially pale Benghazi yalipoanzia mageuzi wamemteua waziri wa Gadafi aliyejiuzuru Mr Mustapha ili awe kiongozi wa liberation council.So hapa Tanzania mageuzi ya kweli yanaonekana kuongozwa na CHADEMA chama ambacho kina the best brains, pragmatic thinkers, and vibrant strategists.Kwa kifupi ni lazima pawe na leadership to initiate the cause for justice, and that is exactly what Dr Slaa, Mbowe and the entire contigent of CDM leadership is doing right now.
(3) Issue yako ya cooperation among the opposition hapa Tanzania haiwezekani.Vyama vya upinzani vilivyopo hapa vina falsafa tofauti, vision and mission vile vile vinatofautiana.Na ujue kwamba ndani ya vyama hivyo vinavyojiita vya upinzani kuna ambavyo ni mapandikizi au puppets wa ruling CCM, na hilo tunalijua fika, labda kama wewe ndo you are not aware au you simply ignore the facts.

In conclusion, ninapenda kukuhakikishia kwamba CDM is right in its cause, they have very powerful and strong arguments ambazo umma wa Tanzania unazikubali, na vile vile CDM have the alternatives on how to get things done.Lastly ninakushauri usome MWANANCHI YA LEO JUMAPILI front page usome ili uone ushauri ambao waziri mkuu Sumaye amewapa CCM kuhusu namna ya kudeal na eathquake ya CDM.

GAMA LUGENDO!

Thanks for the constructive arguments. I totally agree with you in point, but as you said the move has started and there must be a leader! that is very fine. Lakinni the GIST of my thread is the STRATEGY!!, kwa sababu we all know that Dr. Slaa is public figure and Stetesman, ambaye baada ya hapo wananchi wangeimba SLAAAAAAAA! SLAAAAAAAAA! Dr. Slaa ange kuja sasa hii ya kutembea inaonekana kama kampeni ya uchaguzi tena! hivyo ina water down the whole concept uliyoweka hapo juu.

Hiyo ya pili well you partly right for sasa hivi it is very difficult kujua who is who.

In your conclusion, ume refer issue ya Mstaafu, GAMA LUGENDO ndugu yangu kwenu hakuna kambale nini? the right time ya kuwakamata ni wakati bwawa limechafuka!!!! na sasa hivi bwawa la TZ limechafuka kichizi wavuvi kibao we usije shangaa hata RA anakemea ufisadi! Naenda angalia mechi bana. thanks and good day.

Kitu chochote lazima kiwe na initiator kisha catalyst kabla hakijawa kitu kamili, walovyoanza CDM kuna watu walibeza wakasema waTZ hawana guts hizo ss inaonekana wamegundua ni moto mbaya wa nyikani ulowashwa,Wa-Egypt hawakuingia barabarani wenyewe unajua roles walizo-play kina al baradei (former UN nuclear chief).
Revolution ni sacrificial naelewa ww Chief Nyantela unaweza ukawa independent na una vijimali vyako ngoma ikiwaka u will lose everything! unaogopa! na huo ndo ukweli, do we TZ deserve this?kuna sababu ya kukaa kiza?,kuna sababu yakuuziwa gas 44000 wakati yetu tunayo yakumwaga? sukari je? kumbe na kagera nao wananunua 2000!. NJAA ZINAUMA SAAANA!
 
Kuna muungwana kanena vyema kwamba timing bila mipango mahsusis ni bure kabisa. Na hilo ni kweli, ili kitu chochote kifanikiwe lazima timing iwe nzuri na utayari uwepo,, na hii si kwa CDM tu bali nchi nzima.
Ningekuwa miye CDM (japo si CCM wala CUF) basi nadhani timing nzuri kabisa ambayo wameipoteza,, ilikuwa ni kutumia lile pilika pilika la mabomu ya G/Mboto. Kwanini? Kwa sababu tayari watu walikuwa wameshakusanyika uwanja wa uhuru,, huku wakiwa na jazba na kihoro cha kupotelewa na ndugu na wapenzi wao. Pale palikuwa na mchanganyiko wa watu wa vyama vyote, wakiwa wamewekwa pale na jambo moja la mabomu. Kwa maana hiyo CDM wangetumia mwanya ule kujenga hoja ya watu wote kwamba madhaifu yale ndiyo yanayowakera na si wanachama wa CDM tu. Hilo halitafanikiwa.

Napita fasta
 
Kwanza nikupe pole kuwa hujui unalolisema, ila watakuja kukujibu kama umeanziasha thread kwa malengo ya kupata pages tatu au nne hivi. Pili unachoongea wewe si kigeni kabisa, maandamano ni haki ya kikatiba, mwenye kujua motive ya maandamano ni muandamanaji ambaye huto dukuduku kwa njia ya mabango na maongezi so far hakuna sehemu niliyoona inataka JK ang'olewe kwa nguvu. Kusema lengo ni kama la Egypt au Hizi ni hoja mufilisi kwa watu waliofilisika hoja kwa kuwa hawana majibu ya maswali magumu wanayoulizwa.

Hofstede,nikupe wewe pole kwa woga wako wa kuandika unacho fikiri kuogopata watu watasemaje, mimi nimeandika ninachofikiri and issue ya pages is immaterial to me! this is a firum for great thinkers and kuna wenye hoja wata chambua watakavyo, wewe na people of your calibre mtasema hoja mufilisi!! it is your opinion and your right. Issues nyingine zinahitaji kufikiri kabla ya kukurupuka kujibu, well maandamano as you said ni haki ya kikatiba ya kila mwnanchi na sijakataa, lakini impact iliyotarajiwa siyo hiyo if you ask me, maana wananchi wa kanda ya ziwa tayari wameisha "vent out" duku duku lao kwa kuandamana kama ulivyosema and that is to the advantave of CCM and lost opportunity to CDM, mbali na kupata picha za umati wa watu what else walicho pata?
 
Kitu chochote lazima kiwe na initiator kisha catalyst kabla hakijawa kitu kamili, walovyoanza CDM kuna watu walibeza wakasema waTZ hawana guts hizo ss inaonekana wamegundua ni moto mbaya wa nyikani ulowashwa,Wa-Egypt hawakuingia barabarani wenyewe unajua roles walizo-play kina al baradei (former UN nuclear chief).
Revolution ni sacrificial naelewa ww Chief Nyantela unaweza ukawa independent na una vijimali vyako ngoma ikiwaka u will lose everything! unaogopa! na huo ndo ukweli, do we TZ deserve this?kuna sababu ya kukaa kiza?,kuna sababu yakuuziwa gas 44000 wakati yetu tunayo yakumwaga? sukari je? kumbe na kagera nao wananunua 2000!. NJAA ZINAUMA SAAANA!

Mgeni nani I salute you!

Hapo kwenye bold. Sina vijimali vyovyote mbali ya familia yangu ninayo ipenda, na wala sina cha kupoteza mbali familia yangu ila i always want to be candid to myself and country! all politicians are liars na dont even dream kwamba atakuja mtu kushusha bei ya hizo bidhaa, ni njia tu ya kutumia udhaifu wa wenzao kupata dola baada ya hapo wakisha pata walichotaka "watakuulizeni hao waliokuepo kabla wamefanya nini??".

Kitu chochote lazima kiwe na initiator kisha catalyst kabla hakijawa kitu kamili, walovyoanza CDM kuna watu walibeza wakasema waTZ hawana guts hizo ss inaonekana wamegundua ni moto mbaya wa nyikani ulowashwa,Wa-Egypt hawakuingia barabarani wenyewe unajua roles walizo-play kina al baradei (former UN nuclear chief).
Revolution ni sacrificial naelewa ww Chief Nyantela unaweza ukawa independent na una vijimali vyako ngoma ikiwaka u will lose everything! unaogopa! na huo ndo ukweli,
Code:
do we TZ deserve this?kuna sababu ya kukaa kiza?,kuna sababu yakuuziwa gas 44000 wakati yetu tunayo yakumwaga? sukari je? kumbe na kagera nao wananunua 2000!. NJAA ZINAUMA SAAANA!

Tzhatuna gesi ya kumwaga!
 
Nina maana siku watu wakitoka nje basi iwe ni watanzania woote wametoka na sii CDM na wapenzi wao.

Unataka washirikiane na TLP, CUF, Na Chama cha CHEYO, au Makaidi kweli wewe sio independent thinker kama ulivyosema, nani hajui kama hawa hawako kwenye Payroll ya CCM. Mtu yeyeto mwenye akili asingetegemea kusikia utumbo ulitamkwa na Mrema, Cheyo, Makaidi na wengine wengi. CHADEMA ndio tegemeo la wanyonge kwa sasa, hawa wengine wanafanyia kazi matumbo yao.:mullet:
 
Nina maana siku watu wakitoka nje basi iwe ni watanzania woote wametoka na sii CDM na wapenzi wao.

Nyantella,
Kwa hisia inaoneka wewe unatokea familia ya wenye kujitosheleza. Ungetokea familia masikini usingelilia muungano wa CDM, CUF, TLP etc ili ukombozi wako uje. Haitashangaza kama wapinzani wakishaungana uje na wazo jipya kwamba waungane na CCM. Ule usemi wenu "tusingombee fito", hivi CCM nao wanajenga Tanzania hii hii au wanabomoa????
Kama unawakilisha familia masikini kwa tafasiri yoyote ile basi huna tofauti na mgonjwa anayemcheka mwezake kagongwa na Corolla huku yeye aliyegongwa na Benzi kavunjwa uti wa mgongo.

Hivi unatazamia mabadiliko ya kiutawala yataletwa na watanzania wooote kama nadharia yako inavyo-dictate.
Misri waiitisha maandamano pale Tahrir Square ya up to 1 million people, then scaled up to 2 million people. Sasa wewe unayetaka watanzania 40million waingie barabarani hayo maandamano yatakuwa kinyume na utawala upi sasa maana hata Makamba, Chiligati, JK (ambao ni watanzania) nao wataandamana.

Msiwasukume Chadema kwenda njia hii kwa sababu uwezo wa kuitisha maandamano ya watu million moja mbele ya ikulu au kufunga Nyerere road wanao hata kama watakaoandamana ni wanachama na mashabiki wao tu. Mtawaua lakini hataua watu elfu tano kabla vijana wa Mwamunyange na Mwema hawajawageuka na kuwa upande wa wananchi. Dont push these people they have demonstrated an exemplary peace at their rallies without much help from the police force. Wangekuwa ni wenye vurugu tungekuwa tumeziona tayari. Wamepita mikoa yenye ushawishi mkubwa (kwa idadi) lakini hatujasikia aliyevunjiwa duka au aliyevaa kofia ya CCM au CUF amepigwa. Kama wapo basi polisi wameamua kuwa sehemu ya Chadema.

Tatizo la watawala ambalo wewe unawakilisha mawazo yao ni kule kutojua Chadema's next move ndo maana mnadhani wanakusudia kuchukuwa njia ya Tunisia na Misri. Nasikia viongozi wanazungumzia neno "kuchochea" vurugu, hivi mtu aliyekuwa incited atatoka kwenye maandamano kisha akalale nyumbani kwake???.

Tuko kwenye kizazi (dot com) ambacho kina udadisi wa hali ya juu, hawatishiki kwa nadharia tulizotishwa nazo (mauaji ya Rwanda) vijana wa 1990/95. Vijana wa leo wanataarifa kwenye simu zao, wanajua yanayotokea Tahrir, Benghazi, Sanaa na kwingineko hawahitaji simulizi kwenye ITV au TBC 1.

Jamani chema chajiuza wahenga walituambia. Wakati wengine ili watu waje mkutanoni lazima mkuu wa mkoa atoe waraka wa kufunga ofisi/skuli mapema ili bwana mkubwa asikose watu wa kuwahutubia. Hii hali ya kuchechetuka isingekuwepo kama mngetimiza wajibu wenu kwa watanzania.
Wakati CCM ikiwaona watanzania si mali kitu si lolote, Chadema wao wanasema watanzania ndio nguvu yao. Hivyo vyama vingine ulivyovitaja vimejipambanua kwa msaada wa CCM kuwa vyama vya upinzani kwa Chadema, ni bora wake kando kwanza ili matendo na maneno yao yawakilishe matakwa ya wayonge wa nchii hii ambao wewe sio mmoja wao.
 
Nyantella,

You know what? Indeed you are out of planet earth. Actually you are kind of trying to sing the theme song of all those are threatened by what active citizens are capable of doing - those who would like to see citizens of this country living in darkness without knowing what is happening behind their backs all of the days of their lives. Sikiliza Ndg, what Dr. Slaa and Mbowe are currently championing siyo vugu vugu la kupindua serikali kama wewe na waliokutuma wanavyotaka tuaminini. To be more precise they are actually excercing their constitutional rights and at the same time availing one of the long abused human right - access to information. Tz citizens have been denied this right kwa kisingizio cha usalama wa taifa kwa muda mrefu sasa. Reading your article between the lines I can see the fear that you and your bosses are having - the fear of unknown!!! Our Rulers would like citizens of this country to remain in total darkness all the days of their lives. And I think this is one of their permanent prayer item. Our Rulers knows very well that Information is Power and that Once citizens becomes active and know what is happening behind their backs they'll say NO - enough is enough. But fear not!!! The current move is actually of benefit to CCM and its Government than it is to CDM. Kama wana akili za kawaida tu (they don't have to be genius) they will know how best to shape in and become more accountable to the citizens so that come 2015 CDM will have nothing against them. BUT keep on complaining ooh, wanataka kutupindua; mara ooh uchaguzi umeshapita wasubiri 2015 will kill and bury your party. Yes elections are over BUT life goes on. We cant just sit down and watch our kids dying! No Never! Mbowe, Slaa keep on equipping us with more information so that we can be able to hold our government accountable!! Information is power - no data no right to speak! This is a mere common sense and not rocket science!!
 
RealMan: I greet you!
Thanks for your comments. ila i beg to differ with you or rather call your attention to the issues in blue color.

  1. To start with mimi sijatoka kwenye ukoo unaojiweza. ni mtoto wa peasant yaani wala hata sii mtoto wa mkulima nimesoma enzi za mwalimu. Halafu, kutoka kwenye familia yenye kujiweza sio issue, ni mtu tu jinsi utashi wake unavyo mtuma mfano Mzuri ni Mh. Freeman Aikael Mbowe, soote tunajua hana dhiki kihivyo, lakini yupo front line
  2. Pili muonekano wa kitaifa sii lazima watu waje na label zao, na kama ulivyosema sii rahisi waTZ 40M waje pamoja, no hiyo haiwezekani kwa sababu dhahiri tu. kwa mfano, pale Tahrir square palikuwapo watu wengi hakuna mtu aliyekuwa anajua yupo ni wa chama gani au mrengo gani, suala lao ni kwamba wamechoshwa na serikali so it has to go. If you feel kwamba CDM iko kwenye right track fine.
  3. issue zingine nafikiri niliisaha respond kadri zilivyoulizwa na wana JF na zingine i reserve my comments.
Thanks.
 
Umenifanya nizipitie sifa za kuwa Senior Member hapa JF. Na kama inawezekana mtu kushushwa juu na kuwa member wa kawaida kama wenzangu na mimi. Bahati mbaya sijaona lolote zaidi ya michango ya pesa.

ulitaka iwe michango ya nini?
 
Nyantella,

You know what? Indeed you are out of planet earth. Actually you are kind of trying to sing the theme song of all those are threatened by what active citizens are capable of doing - those who would like to see citizens of this country living in darkness without knowing what is happening behind their backs all of the days of their lives. Sikiliza Ndg, what Dr. Slaa and Mbowe are currently championing siyo vugu vugu la kupindua serikali kama wewe na waliokutuma wanavyotaka tuaminini. To be more precise they are actually excercing their constitutional rights and at the same time availing one of the long abused human right - access to information. Tz citizens have been denied this right kwa kisingizio cha usalama wa taifa kwa muda mrefu sasa. Reading your article between the lines I can see the fear that you and your bosses are having - the fear of unknown!!! Our Rulers would like citizens of this country to remain in total darkness all the days of their lives. And I think this is one of their permanent prayer item. Our Rulers knows very well that Information is Power and that Once citizens becomes active and know what is happening behind their backs they'll say NO - enough is enough. But fear not!!! The current move is actually of benefit to CCM and its Government than it is to CDM. Kama wana akili za kawaida tu (they don't have to be genius) they will know how best to shape in and become more accountable to the citizens so that come 2015 CDM will have nothing against them. BUT keep on complaining ooh, wanataka kutupindua; mara ooh uchaguzi umeshapita wasubiri 2015 will kill and bury your party. Yes elections are over BUT life goes on. We cant just sit down and watch our kids dying! No Never! Mbowe, Slaa keep on equipping us with more information so that we can be able to hold our government accountable!! Information is power - no data no right to speak! This is a mere common sense and not rocket science!!

Kisu changariba I greet you!
Thank for the comments though I differ with you on the group or category you are putting me sipo huko na hii haini zuii kuwa na mtazamo tofauti. and please believe me it is not always that "if somebody is not with you, then he is againist you" and "if something is not white then it must be black", no rangi ziko nyingi!!!!
 
Back
Top Bottom