RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,388
RealMan: I greet you!
Thanks for your comments. ila i beg to differ with you or rather call your attention to the issues in blue color.
Thanks.
- To start with mimi sijatoka kwenye ukoo unaojiweza. ni mtoto wa peasant yaani wala hata sii mtoto wa mkulima nimesoma enzi za mwalimu. Halafu, kutoka kwenye familia yenye kujiweza sio issue, ni mtu tu jinsi utashi wake unavyo mtuma mfano Mzuri ni Mh. Freeman Aikael Mbowe, soote tunajua hana dhiki kihivyo, lakini yupo front line
- Pili muonekano wa kitaifa sii lazima watu waje na label zao, na kama ulivyosema sii rahisi waTZ 40M waje pamoja, no hiyo haiwezekani kwa sababu dhahiri tu. kwa mfano, pale Tahrir square palikuwapo watu wengi hakuna mtu aliyekuwa anajua yupo ni wa chama gani au mrengo gani, suala lao ni kwamba wamechoshwa na serikali so it has to go. If you feel kwamba CDM iko kwenye right track fine.
- issue zingine nafikiri niliisaha respond kadri zilivyoulizwa na wana JF na zingine i reserve my comments.
Sasa ndugu yangu kama umesoma enzi za mwalimu: Enzi tunakunywa uji skuli, daftari ikiisha unaenda kwa mwl mkuu, vitabu vya Juma na Roza vya kumwaga, enzi za kukimbia mchakamchaka, vitabu vya kumwaga Library, maabara za ukweli, sekondari tunapanda treni kwa warrant, chakula kipo tele, umiseta ndo usiseme n.k kwa nini unawahurumia hawa watesi wetu??
Wewe unajua ukienda kijijini unakuta watu wako hoi wamepigika yaani wewe uliyeenda na ka-RAV4 kako ndo unaonekana Bill Gates. Hawa tunawasaidiaje?? Watawala hawataki watu wawe positively inspired ndo maana wanalia na kuomba huruma huku wakitaka kutuaminisha Chadema wanavunja amani. Mwenye njaa toka lini akajua amani???
If you ask me; I dont care who is representing the cry of my poor fellows. For now Chadema is enjoying an edge over and above other political parties including CCM and for that reason I support them ingawa sio mwanachama. Wameamua kuonyesha njia na wakiongea tunaweza kuwaamini kuliko akiongea Sophia Simba, Makamba, Chiligati au JK.
Kwenye mafundisho ya dini tuliambiwa Daudi alipigana na giant Goliath kuleta ukombozi kwa watu wake waliokuwa wamegwaya jeshi la wavamizi. Wakati mwingine usisubiri wengine wakuelewe, tuwaache Chadema waendelee bila kuwakatisha tamaa ili hao wengine watakapojua watanzania wanataka nini wataungana nao mbele ya safari.
Ukweli tunahitaji ukombozi sasa kuliko wakati mwingine wowote!