Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.