Dr Slaa, Lema wafunika Monduli

Dar wasomi wengi na wanajitambua!
Huwezi kukuta kijana wa dar anafanya upuuzi wanaofanya vijana wa cdm wa mikoani.
Vijana wa dar wanafahamu njia muafaka za kudai haki zao!

wasomi wengi kuliko wapi?
 
Hapo umeongea mkuu. Tatizo watu wengi wanaingia tu kusupport maandamano bila kujua viongozi wao kila wakiandamana wanalipwa per diem ya tsh 600,000

wewe ata upewe m.20 kazi itakuwia ngumu,kwani utakosa umati mwisho utaachia ngazi.
 
Tupo pamoja mkuu, vipi lile gamba RACHEL lilikuwepo kwenye mkutano????
 
Na taarifa zilizopo ni kuwa on the fair ground, tutachukua kata hiyo.
 
wewe ata upewe m.20 kazi itakuwia ngumu,kwani utakosa umati mwisho utaachia ngazi.
Juma nature, 20%, ali kiba, diamond..wote hawa huwa wanajaza umati wa watu! Tena huo umati unalipia kuwaangalia. Wewe unashangaa chadema kujaza umat wa majobless ambao hawalipii chochote
 
Juma nature, 20%, ali kiba, diamond..wote hawa huwa wanajaza umati wa watu! Tena huo umati unalipia kuwaangalia. Wewe unashangaa chadema kujaza umat wa majobless ambao hawalipii chochote
Kama unavyolipwa wewe kujibu hoja za wana JF.
 
Hapo umeongea mkuu. Tatizo watu wengi wanaingia tu kusupport maandamano bila kujua viongozi wao kila wakiandamana wanalipwa per diem ya tsh 600,000
Ulitaka wapewe SUTI?
 
Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?

Umeongopa. Hapo si ndo kwa mfadhili wenu mmoja wa mapacha watatu waliokishika chama?
Ila mwaka huu kazi mnayo, mnapoanza kuponya majeraha ya Igunga, mnaanzishiwa Monduli.
Halafu bado moshi wa udiwani Arusha waja.
Lazima nyani amwache mwanaye kukimbia mishale ya wawindaji.
 
Kama SACCOS yenyewe imejaa wahuni..wanaozungumza lugha za matusi kama wewe..unategemea itakuwaje?
Vikao gani vya saccos vinafanyikia bar tena Usiku?
 
Hivi nachingwea ipo tanzania??? Huko pia vilaza wapo wa kumwaga, ila watapata akili siku chadema itakapoikomboa nchi kutoka mikononi mwa mafisadi... Na siku hiyo haipo mbali..

Nachingwea ------- tutakuja na ssem wataacha njia yao ovu.
 
Mhuni mama yako aliyekuzaa guest....
narudia tena acheni usenge wenu na wewe ni ******!

Nimeona niquote haya matusi kabla huja edit post yako!
Hongera Mwana SACCOS..endeleeni kushinda Hongera Bar mkinywa hela za wana JF wasio na uelewa!
 
hongera katibu kaza uzi ...leo wenje na lisu watakuwa geita kwa taarifa ya gari la matangazo jioni ya jana ,taarifa baadae baada ya mkutano jioni hii ,mgombea wetu aitwae rojas hana mpinzani si mlisikia madiwani magamba walimtosa mwenyekiti wa halimashauri ya geita
 
Jamani we ucejua ckia,Monduli kwa taarifa yako ni ngome ya ccm,kumbuka el ndie kinara huko.Nakujua huko vema ukabila umetawala sana na wala co kwamba eti wanamaendeleo!jamaa kaeneza ukabila sana mpaka mikutano lugha kuu kimasai.CHADEMA 2nawashukuru kuleta ukombozi Monduli waambien hao wanamonduli mambo yote ya jamaa.MULIKA MWIIIIIZI.
 
Rejao

Kuna M2 mwanzoni alikwambia ..................Akili yako nin kama AVATAR yako.

Ni kweli Kabisa................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…