CHADEMA kwa Arusha wana majimbo mawili, Karatu na Arusha Mjini; kwa Manyara wana jimbo moja, Mbulu. Hivyo wana majimbo matatu Arusha na ManyaraKwani Dar kuna uchaguzi wapi? List of shame ilifukuliwa wapi vile; Mwembeyanga na si Dar! MaJimbo ya Kawe na Ubungo yako Arusha siku hizi, lakini cha kushangaza Arusha na Manyara, CDM wana majimbo mawili tu!
<br />Dar wasomi wengi na wanajitambua!<br />
Huwezi kukuta kijana wa dar anafanya upuuzi wanaofanya vijana wa cdm wa mikoani.<br />
Vijana wa dar wanafahamu njia muafaka za kudai haki zao!
Dar wasomi wengi na wanajitambua!
Huwezi kukuta kijana wa dar anafanya upuuzi wanaofanya vijana wa cdm wa mikoani.
Vijana wa dar wanafahamu njia muafaka za kudai haki zao!
Wakuu, eti huyu ndio kiongozi wa Saccos mpimeni tu kwa maneno yake! si atakuwa anawaongoza wahuni wenzake.kilaza la JF halijui English , nenda shule ya watu wazima wewe , huelewi kitu <br />
bahasha wako Estomiah malla amepigwa chini jumla , lete porojo kj ritz
Wakuu, eti huyu ndio kiongozi wa Saccos mpimeni tu kwa maneno yake! si atakuwa anawaongoza wahuni wenzake.
Acha utumwa wa kiakili English ni lugha tu kama Kichagga kijana, wewe ulivyokuwa pumba ukimuona mtu anaongea English unajua ni msomi kaenda shule. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!. Sasa siku ukifika England, Scotland au Wales, si utasema nchi nzima ni wasomi mpaka watoto wadogo ukiwasikia wanaongea English.
Ulivyokuwa mtumwa wa lugha za watu mpaka kichagga ukitaki tena
hakuna kilaza kule kama wewe , .., upuuzi na chuki mwiko kule. kabila lako la chuki, wivu, dhiki na ujinga litakutesa mpaka uamue kwenda elimu ya watu wazima
teh teh teh
CHADEMA kwa Arusha wana majimbo mawili, Karatu na Arusha Mjini; kwa Manyara wana jimbo moja, Mbulu. Hivyo wana majimbo matatu Arusha na Manyara
Hivi nachingwea ipo tanzania??? Huko pia vilaza wapo wa kumwaga, ila watapata akili siku chadema itakapoikomboa nchi kutoka mikononi mwa mafisadi... Na siku hiyo haipo mbali..
Ole sambu (east Arumeru).
G. Lema (Arusha town).
I. Natse (Mbulu).
M. Akonaay (Karatu).
Others to come soon including after seize of west Arumeru mp who is in serious condition with ugonjwa wa brain yake.
Kumbe haya ndio huwa unayaongea kwenye Saccos yako mara mkutanapo pale Hongera Bar?
Nashangaa ni meeting gan inakaa mpaka usiku wa manane! Kumbe mnapanga mbinu za kutumbua hela za wana JF wasichojua nini kinaendelea?
Allaa Dar ya nini wakati imeshatekwa ????????????Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Owk..nitadeal na hiyo Saccoskuna kitu kinakuuma sana, .... complete ignorance. ... sorry you are not of my caliber
U ar a Great thinkerKichwa cha habari kinanikatisha tamaa. Kila wanakoenda viongozi wetu wa CHADEMA wanafunika? Wana tofauti gani na wasanii wa kawaida akina Juma Nature, 20%, Prof Jay, AY, LadyJD?
Duuh sijui 2mwamini nani!asbh lema alikuwa mahakaman dhidi ya madiwan waliofukuzwa,tukaambiawa anahamishia majeshi Igunga now yupo Monduli?
ngoja nipite naanza kukata tamaa
Stig,Ritz, Wachagga wamekukosea nini? Mbona ni watu wazuri tu kama Watanzania wengine.