Dr. Slaa kwanini hakukamatwa kahama kwa kuzidisha muda wa mkutano wa hadhara?

Sheria inayohusu mikutano inasemaje wadau/ navyofahamu mimi mwisho ni saa12:15 jioni, zaidi ya hapo ni kukamatwa na kufunguliwa mashtaka: vp mbona Dr. Slaa hajakamatwa wakati alihutubia mpaka saa12:45 jion pale katika uwanja wa CDT Kahama!
MUNGU IBARIKI AFRIKA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!

Hivi Sheria inasemaje kuhusu watoto kusomea chini ya mti!

Hapa Kwetu

Wednesday, December 2, 2009

Darasa Chini ya Mti

Makala hii, inayotokana na picha inayoonekana hapa chini, ilichapishwa katika gazeti la KWANZA JAMII. Ni makala ya pili. Kusoma makala ya kwanza, bofya hapa.

Slaa ni sawa na nguchiro.
Hajijui wala hajitambui,
Kwasasa amechanganyikiwa hajui afanye mini kuzima kimbunga hiki.
Hali ni mbaya utadhani Moto wa poli,wakuzima hayupo.

Ameshauriwa atulie auguze mkono wake mbovu lakini ameng'ang'ana tu, mpaka mkono umepalalize.
afadhali wetu anaumwa mkono kuliko anayesahau kuongoza nchi anassfiri kubadilisha damu kila siku kwa kisingizio cha kuhudhuria mikutano.
 
Slaa ni sawa na nguchiro.
Hajijui wala hajitambui,
Kwasasa amechanganyikiwa hajui afanye mini kuzima kimbunga hiki.
Hali ni mbaya utadhani Moto wa poli,wakuzima hayupo.

Ameshauriwa atulie auguze mkono wake mbovu lakini ameng'ang'ana tu, mpaka mkono umepalalize.

Karibu kwetu!Wajinga ndiyo waliwao

Hapa Kwetu

Wednesday, December 2, 2009

Darasa Chini ya Mti

Makala hii, inayotokana na picha inayoonekana hapa chini, ilichapishwa katika gazeti la KWANZA JAMII. Ni makala ya pili. Kusoma makala ya kwanza, bofya hapa.
 
Tuliaaaa we zao la taasisi ya Mtei,na bado mmevurugwaaaaaaaaaa hata kwa jiki hamsafishiki meen
 
Tuliaaaa we zao la taasisi ya Mtei,na bado mmevurugwaaaaaaaaaa hata kwa jiki hamsafishiki meen

cc mp kalix2
 
Back
Top Bottom