chambulilo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 217
- 38
Sikufanya sensa! maana mji wa kahama una watu zaidi ya 100000, hivyo ili useme watu watu walikuwa wengi ni lazima wawe zaid ya nusu ya 100000 na ili useme walikuwa wachache lazima wawe chini ya 100000!
hakukamatwaa kwakua ni Rais ajaye wa nchi hiiSheria inayohusu mikutano inasemaje wadau/ navyofahamu mimi mwisho ni saa12:15 jioni, zaidi ya hapo ni kukamatwa na kufunguliwa mashtaka: vp mbona Dr. Slaa hajakamatwa wakati alihutubia mpaka saa12:45 jion pale katika uwanja wa CDT Kahama!
MUNGU IBARIKI AFRIKA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Chadema wanapenda sana kukamatwa, kupigwa marungu na mabomu ya machozi.
Yaani ni sawa na wanawake wa kikurya, usipowapiga wanaona huwapendi...

Chris,
Una uhakika na unayoyasema kuhusu wanawake wa Kikurya? Baada ya kurudi kwa b**nako CCM umekuwa wa kuongelea single zenu za ukabila. Unabahati unabeba mabox Uingereza ningekusubiri utembelee Nyamwaga au Muriba nikuonyeshe wanaume wakikasirika wanafanya nini.