Dr. Slaa kwanini hakukamatwa kahama kwa kuzidisha muda wa mkutano wa hadhara?

chambulilo

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
217
38
Sheria inayohusu mikutano inasemaje wadau/ navyofahamu mimi mwisho ni saa12:15 jioni, zaidi ya hapo ni kukamatwa na kufunguliwa mashtaka: vp mbona Dr. Slaa hajakamatwa wakati alihutubia mpaka saa12:45 jion pale katika uwanja wa CDT Kahama!
MUNGU IBARIKI AFRIKA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!
 
vp mkuu watu walijitokeza wengi? ni hayo tu kwa sasa hayo ya kuzidisha muda anayajua ocd!
 
Sikufanya sensa! maana mji wa kahama una watu zaidi ya 100000, hivyo ili useme watu watu walikuwa wengi ni lazima wawe zaid ya nusu ya 100000 na ili useme walikuwa wachache lazima wawe chini ya 100000!
 
Walikuwa 100000 tu mkuu...
 
Chadema wanapenda sana kukamatwa, kupigwa marungu na mabomu ya machozi.

Yaani ni sawa na wanawake wa kikurya, usipowapiga wanaona huwapendi...
 
Sheria inayohusu mikutano inasemaje wadau/ navyofahamu mimi mwisho ni saa12:15 jioni, zaidi ya hapo ni kukamatwa na kufunguliwa mashtaka: vp mbona Dr. Slaa hajakamatwa wakati alihutubia mpaka saa12:45 jion pale katika uwanja wa CDT Kahama!
MUNGU IBARIKI AFRIKA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!
hakukamatwaa kwakua ni Rais ajaye wa nchi hii
 
Chadema wanapenda sana kukamatwa, kupigwa marungu na mabomu ya machozi.

Yaani ni sawa na wanawake wa kikurya, usipowapiga wanaona huwapendi...

Umekimbia thread yako ya unafiki kwa msigwa umekuja huku...wakurya njooni mumshughulikie.
 
Chadema wanapenda sana kukamatwa, kupigwa marungu na mabomu ya machozi.

Yaani ni sawa na wanawake wa kikurya, usipowapiga wanaona huwapendi...

Umeibuka kivingine. Babu wa Rujewa uliemuibia anakuandama rudisha mali za watu kumbe wizi ulianza zamani ndio mana wakakutimua polisi
 
Au ndiyo maana wale wa magamba wanakabidhiana silaha za jadi kwenye mikutano, hivyo OCD anaogopa kuwa fuataaaa!!! ndiyo janja yenu imekula kwako na kwenu sisi tutaendelea kubaki bila migolole na mikuki na mikutano inasonga mbele huyo mliyemtuma ameshindwa kwa jina lilelile kama kawa tu magamba yatapotea na wale wanachama wa mtu nawamfuate akafe nao pia. Ungekuwa karibu ww ningeku...:frusty::frusty::frusty::frusty: hadi uishie mbali
 
Chadema wanapenda sana kukamatwa, kupigwa marungu na mabomu ya machozi.

Yaani ni sawa na wanawake wa kikurya, usipowapiga wanaona huwapendi...

Mkuu, yaani wewe una matatizo sana. wewe bila kutukana mtu haujapost chochote jf. Wanawake wa kikurya wapi na wapi?. Tafuta kazi nyingine!!!!!
 
Slaa ni sawa na nguchiro.
Hajijui wala hajitambui,
Kwasasa amechanganyikiwa hajui afanye mini kuzima kimbunga hiki.
Hali ni mbaya utadhani Moto wa poli,wakuzima hayupo.

Ameshauriwa atulie auguze mkono wake mbovu lakini ameng'ang'ana tu, mpaka mkono umepalalize.
 
MACCM kwishinei.NIMEYAMIS MATAMKO! nyakarungu,tuntemekena pm7 kwa ujumla tuwekeeni basi hata katamko kamoja ka mwisho wajameni!
 
MACCM kwishinei.NIMEYAMIS MATAMKO! nyakarungu,tuntemekena pm7 kwa ujumla tuwekeeni basi hata katamko kamoja ka mwisho wajameni! au pesa za Germany zimeisha?
 
Chadema wanapenda sana kukamatwa, kupigwa marungu na mabomu ya machozi.

Yaani ni sawa na wanawake wa kikurya, usipowapiga wanaona huwapendi...

MKUU UPOO??? naona ile hali ya kutokujitambua inazidi kukuandama.!!!
 
Chris,
Una uhakika na unayoyasema kuhusu wanawake wa Kikurya? Baada ya kurudi kwa b**nako CCM umekuwa wa kuongelea single zenu za ukabila. Unabahati unabeba mabox Uingereza ningekusubiri utembelee Nyamwaga au Muriba nikuonyeshe wanaume wakikasirika wanafanya nini.
 
Mura ingwe, huyu murisya anafaa aondolewe "mkono wa sweta" bila ganzi ndio atakoma kuropoka-ropoka hovyo.!

cc: Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom