Dr Slaa kutikisa Same Jumanne

Yule mama yake wa kambo wa LEMUTUZ atakuwa keshatia timu kutengeneza mambo,mama mchawi sana yule

Mchawi wake yupo sehemu inaitwa MSARANGA kule Kihurio. Unavuka ziwa Karamba, halafu unakwenda ndani kidogo kama unaelekea Mkundi ya Mnazi. Watu walisha wahi muona akigagula mtupu. Uongozi kaaaazi kweli kweli.
 
Mkuu Kanundu acha kuvua watu nguo.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Wangu
PHP:
Molemo

Huyu tunamjua na hatupi shida.historia ya post zake za nyuma ukiijua hata thread yake utajua muelekeo na malengo yake
 
Mkuu Molemo!

Kazi iliyoko mbele ya CHADEMA ni kukoboa na kusaga. Hii habari ya hao walio zoea mipasho ya TOT kama Mwenyekiti wao tuachane nao Mkuu. Kwanza kuchangia mada zao ni kuwapa ujiko. Tukizi puuza watakosa la kuzusha na kuandika.

Tafadhali Mkuu, tunaomba utupatie yaliyo makini na ya kujenga chama. Mengine acha "WAFU WAZIKE WAFU WAO".
 
kwa sasa hakuna mwanasiasa anaemkaribia Dr.slaa, huyu ndo rais wa awamu ya 4 ambae hajaapishwa.
ila awamu ya 5 tutamuapisha kwa lazima....
 
Nimefanikiwa kuongea na wana Same wawili watatu na kuna kila dalili kuwa hili suala la uchimbaji madini lina mkono wa mtu mzito sana serekalini. Kwa taarifa nilizozipata ni kwamba mwanzoni Mkuu wa wilaya pamoja na mbunge walikua wakali sana na walitoa mchango mkubwa sana hadi uchimbaji huo kusitishwa. Baada ya mchimbaji kuruhusiwa tena, si mkuu wa wilaya wala mbunge ambaye amethubutu tena kunyanyua mdomo wake, wanaonekana wameingia woga! wametulia tuliii!!

Anyway tukiachana na hilo la uharibifu wa mazingira, naamini kabisa kuwa wakati umefika sasa kwa ndugu zangu wapare wa Mwanga na Same kufanya mabadiliko. Mkoa mzima wa Kilimanjaro hizi ndizo wilaya pekee ambazo zimegoma kuitupa CCM lakini madhara yake yanaonekana wazi kwa kuwa ndizo zinazoshika mkia kwa maendeleo mkoani humo. Shule zao ndo zinashika mkia kila mwaka, wao ndio wana njaa kila mwaka, wagonjwa wanapelekwa wilaya nyingine kutibiwa, hakuna ajira, shida kubwa ya maji na barabara zisizopitika kipindi cha mvua japo zina umuhimu mkubwa.

Wana Same mna option ya kuacha mambo kama yalivyo muendelee kudidimia kwenye umaskini au kuamua kufanya mabadiliko na kuboresha maisha yenu ya kila siku.
 
Hivi nani anachagua Kiongozi Mkuu wa Upinzani? Hivi vyeo vinatoka wapi? Kama kuna Kiongozi Mkuu wa Upinzani je naweza kuruhusiwa kusema Kiongozi Mkuu wa Utawala ambaye ni Rais wa Jamuhuri anatembelea China?
 
hakuna kulala mpaka kieleweke, amsha amsha kwa kwenda mbele. Hawa "jamaa" wametunyonya vya kutosha sasa tuseme ccm basi tena, let it perish completely.
 
Hivi nani anachagua Kiongozi Mkuu wa Upinzani? Hivi vyeo vinatoka wapi? Kama kuna Kiongozi Mkuu wa Upinzani je naweza kuruhusiwa kusema Kiongozi Mkuu wa Utawala ambaye ni Rais wa Jamuhuri anatembelea China?

Kama imekuuma mkuu wangu kanywe mataputapu ulale
 
Kama imekuuma mkuu wangu kanywe mataputapu ulale

Dr. Slaa hawezi kuwa na cheo cha kufikirika (imaginary). Hakuna cheo au nafasi inayoitwa KIONGOZI MKUU WA UPINZANI. Vilevile Same Jumanne ni jina la mtu.
 
Hali sio nzuri hospitali ya wilaya, hapo ni maternity ward kina mama wanalala mzungu wa nne kwenye single bed.
 
Dr. Slaa hawezi kuwa na cheo cha kufikirika (imaginary). Hakuna cheo au nafasi inayoitwa KIONGOZI MKUU WA UPINZANI. Vilevile Same Jumanne ni jina la mtu.

Usikasirike sana mkuu wangu Zakumi unaweza kupata BP bure..! Relax man...!
 
Last edited by a moderator:
Kanundu; Hapo unapopita na kunitenga usirudie tena!

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…