Dr. Slaa kumjibu askofu Gwajima

Dr. Slaa kumjibu askofu Gwajima

Status
Not open for further replies.
Dr Slaa anajisumbua bule kamwe haturudi nyuma namuomba kama hizi taarifa ni sahihi bac atulie tu aendelee kula bata na mchumba wake MUSHUMBUS
 
Sasa kwanza tujiulize hao CCM walishakataa kwenye Katiba yetu ya nchi tusiwe na wagonbea binafsi.

Tulimsikia Dr Mihogo kwenye kikao chake cha Serena Hotel akiutamkia Umma wa watanzania kuwa siyo tu amejiuzulu Ukatibu Mkuu wa Chadema, bali pia na uanachama.wa chama hicho. Lakini pia akasisitiza kuwa amejiuzulu kabisa shughuli zote za siasa na akaeleza pia msimamo wake kuwa hatarajii kujiunga na chama chochote.

Sasa kama mkakati wa CCM ni kuzunguka naye huyo Dr Mihogo nchi nzima kwa mkakati wa yeye kumshambulia Lowassa kwa lengo la kutaka kunusuru jahazi lao ambalo dalili zote zinaonyesha linazama.

Swali la msingi la kujiuliza ni kuwa atawezaje Dr Mihogo kujihusisha na mambo ya siasa wakati yeye mwenyewe alishatamka waziwazi kuwa amestaafu kabisa siasa na hatarajii kujiunga na chama chochote cha siasa?

Hapo ndipo maccm watatambua kuwa kuigomea Rasimu ya Tume ya Warioba ambayo iliruhusu mgombea binafsi ndiyo imeanza kubackfire kwao kwa mtu wao Dr Mihogo hatoweza tena kujihusisha na mambo ya siasa kwa matakwa ya Katiba tuliyonayo.

Hujui hali ilivyo. CCM kwa Sasa hali mbaya sana. Hali mbaya Mno . Wanawaza pa kutokea. Kila mtu anasema Slaa aje kama nani? CCM kwa Sasa ni kama machizi wamechanganyikiwa.
 
Gwajima alimtahadharisha Kama akija tena ataeleza pesa alizopewa na sisiemu,Lini na bank gani ziliingia.

Naamini Slaa kumjibu Gwajima haina tija hata kwa waliomtuma Slaa kufanya upuuzi alioufanya.
 
Slaa kama ameamua kustaa siasa bora anyamaze kimya ili atunze heshima yake kidogo iliyobaki
 
Hujui hali ilivyo. CCM kwa Sasa hali mbaya sana. Hali mbaya Mno . Wanawaza pa kutokea. Kila mtu anasema Slaa aje kama nani? CCM kwa Sasa ni kama machizi wamechanganyikiwa.

Siyo kama, hao kitambo tu wako hivyo.
 
Maskini atamuua Gwajima, mtu mwenyewe ndo hivyo Tanesco wanamdai 9bn kwa hasara ya umeme wao hapo hapo alikohamia anaambiwa ahame tena akatafute kwingine ..atakufa huyu Gwajima make amejifanya kushindana na serikali, watamyonya mavi
 
Kwa sasa Dr Slaa yupo nchini Marekani akipumzika na mchumba wake Josephine Mushumbushi.


:yield:[/QUOTE]

Hongera Mchumbaa!
 
Kuna tetesi kuwa huenda Dr Slaa akaibuka wiki ijayo kumjibu askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Dr Slaa anamtuhumu mtumishi huyo wa Mungu kumleta Laigwanan Lowassa ndani ya UKAWA hivyo kumnyima fursa ya kugombea urais kupitia muungano huo wa vyama vya siasa.

Majibu ya Dr Slaa yanakuja baada ya kimya cha muda mrefu tangu askofu Gwajima alipoanika hadharani ukweli kuhusu Dr Slaa kustaafu siasa. Inadaiwa kwamba Dr Slaa amechukua muda mrefu kwa kuwa kwanza alikuwa akitafuta bomu kali la kuja kulipua.

Kwa sasa Dr Slaa yupo nchini Marekani akipumzika na mchumba wake Josephine Mushumbushi.

Awali askofu Gwajima alitahadhalisha kwamba atalipua bomu kali sana endapo Dr Slaa atajitokeza hadharani kumjibu. Haifahamiki mwanasiasa huyo mstaafu amejiandaa kiasi gani kupangua hoja za Gwajima ambazo zina ushahidi wa kutosha. Ni suala la kusubiri na kuona jinsi alivyojiandaa kujibu hoja.

MAONI YANGU
Naomba watanzania wenzangu tutulize mawazo yetu kwenye kampeni; tusiyumbishwe kamwe.

:yield:

Wasituchoshe hawa..hizo gharama si wasaidie madawat???
 
tuondoe ushabiki wala nini gwajima aliongoa nini ujinga mtupu na aliishia kuifokea TISS
gwajima alituonesha namna slaa alivyoachana na kanisa na kuamua kuzaa akiwa bado padri....na kuamua kuishi na hawara mke wa mtu...kwa hiyo slaa hana hofu ya mungu
 
kama kweli dr slaa ni jasiri na aibuke kutoka huko porini anakokula mihogo aje aseme hata neno moja tu halafu aone kilichomtoa kanga manyoya. ukitaka kuona nyeti za kuku, subiri upepo mkali uvume.
 
dr slaa anazungumza point gwajima anaeleza matatizo ya kifamilia ndio dini za kisasa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom