Dr. Slaa kumjibu askofu Gwajima

Dr. Slaa kumjibu askofu Gwajima

Status
Not open for further replies.
usimzibe mdomo mkuu hiyo siyo demokrasia...hata kama wewe hutakubaliana nae kuna watu bado tunaamini falsafa zake licha ya kutuita majina yanayowapendeza nyie
Hakuna mtu anayemziba mdomo ila nampa tahadhari tu Tanzania ya leo siyo ya 2010.
 
Dr. Slaa asiwe tu kapewa shinikizo na mkewe. Atumie akili yake maana inaonekana kama ameiazimisha siku zinavyokwenda.

Unachezea......wewe,kakutana na mtoto wa mjini kapewa vitu hadi akili kaiweka rehani.
 
Sasa ule mshiko aliopokea kule kwa Jacob Zuma's land si ndo utabumbuluka kwa public?
 
tuondoe ushabiki wala nini gwajima aliongoa nini ujinga mtupu na aliishia kuifokea TISS
 
usimzibe mdomo mkuu hiyo siyo demokrasia...hata kama wewe hutakubaliana nae kuna watu bado tunaamini falsafa zake licha ya kutuita majina yanayowapendeza nyie
Sasa kwanza tujiulize hao CCM walishakataa kwenye Katiba yetu ya nchi tusiwe na wagonbea binafsi.

Tulimsikia Dr Mihogo kwenye kikao chake cha Serena Hotel akiutamkia Umma wa watanzania kuwa siyo tu amejiuzulu Ukatibu Mkuu wa Chadema, bali pia na uanachama.wa chama hicho. Lakini pia akasisitiza kuwa amejiuzulu kabisa shughuli zote za siasa na akaeleza pia msimamo wake kuwa hatarajii kujiunga na chama chochote.

Sasa kama mkakati wa CCM ni kuzunguka naye huyo Dr Mihogo nchi nzima kwa mkakati wa yeye kumshambulia Lowassa kwa lengo la kutaka kunusuru jahazi lao ambalo dalili zote zinaonyesha linazama.

Swali la msingi la kujiuliza ni kuwa atawezaje Dr Mihogo kujihusisha na mambo ya siasa wakati yeye mwenyewe alishatamka waziwazi kuwa amestaafu kabisa siasa na hatarajii kujiunga na chama chochote cha siasa?

Hapo ndipo maccm watatambua kuwa kuigomea Rasimu ya Tume ya Warioba ambayo iliruhusu mgombea binafsi ndiyo imeanza kubackfire kwao kwa mtu wao Dr Mihogo hatoweza tena kujihusisha na mambo ya siasa kwa matakwa ya Katiba tuliyonayo.
 
Sasa ule mshiko aliopokea kule kwa Jacob Zuma's land si ndo utabumbuluka kwa public?

kama kweli dr slaa anajiamini, atoke hadharani aseme neno moja tu halafu gwajima ammalize kabisa.
 
Wazungu VS Wachina watatuvuluga sana mwaka huu wasio elewa hili ndo wataangaika
 
Hoja mfu za Gwajoo zina ushahidi wa kutosha?? Hahahah

kama una akili za MAITI utatambuaje huo ushahidi?

na kama unadhani ushahidi alioutoa dr gwajima bado haujitoshelezi mwambie dr mihogo ajitokeze hadharani halafu gwajima aje na ushahidi wa kufa mtu ndipo mtajua maana ya ushahidi. unajua nyie maCCM sijui akili zenu zikoje.
 
Kuna tetesi kuwa huenda Dr Slaa akaibuka wiki ijayo kumjibu askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Dr Slaa anamtuhumu mtumishi huyo wa Mungu kumleta Laigwanan Lowassa ndani ya UKAWA hivyo kumnyima fursa ya kugombea urais kupitia muungano huo wa vyama vya siasa.

Majibu ya Dr Slaa yanakuja baada ya kimya cha muda mrefu tangu askofu Gwajima alipoanika hadharani ukweli kuhusu Dr Slaa kustaafu siasa. Inadaiwa kwamba Dr Slaa amechukua muda mrefu kwa kuwa kwanza alikuwa akitafuta bomu kali la kuja kulipua.

Kwa sasa Dr Slaa yupo nchini Marekani akipumzika na mchumba wake Josephine Mushumbushi.

Awali askofu Gwajima alitahadhalisha kwamba atalipua bomu kali sana endapo Dr Slaa atajitokeza hadharani kumjibu. Haifahamiki mwanasiasa huyo mstaafu amejiandaa kiasi gani kupangua hoja za Gwajima ambazo zina ushahidi wa kutosha. Ni suala la kusubiri na kuona jinsi alivyojiandaa kujibu hoja.

MAONI YANGU
Naomba watanzania wenzangu tutulize mawazo yetu kwenye kampeni; tusiyumbishwe kamwe.

:yield:

aje na majibu ya DNA ya junior kwanza... maana kashikishwa pembe sasa keshajisahau
 
mi,nadhan ukwel watanzania tunaujua na mwiz kwetu hana nafas
Dr slaa kaz ashafanya kilichobaki maamuz
 
Kumbe hawa wanaendaga na marekani kula bata kweli nimeamini ugali kwa muhogo hauwausu hawa
 
usimzibe mdomo mkuu hiyo siyo demokrasia...hata kama wewe hutakubaliana nae kuna watu bado tunaamini falsafa zake licha ya kutuita majina yanayowapendeza nyie

Mkuu. Hawa jamaa wamejawa hofu na fisadi lao . Dr alishaondoka, dhamira zao zinawashitaki ndio maana hawakomi kumuota.
 
Kuna tetesi kuwa huenda Dr Slaa akaibuka wiki ijayo kumjibu askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Dr Slaa anamtuhumu mtumishi huyo wa Mungu kumleta Laigwanan Lowassa ndani ya UKAWA hivyo kumnyima fursa ya kugombea urais kupitia muungano huo wa vyama vya siasa.

Majibu ya Dr Slaa yanakuja baada ya kimya cha muda mrefu tangu askofu Gwajima alipoanika hadharani ukweli kuhusu Dr Slaa kustaafu siasa. Inadaiwa kwamba Dr Slaa amechukua muda mrefu kwa kuwa kwanza alikuwa akitafuta bomu kali la kuja kulipua.

Kwa sasa Dr Slaa yupo nchini Marekani akipumzika na mchumba wake Josephine Mushumbushi.

Awali askofu Gwajima alitahadhalisha kwamba atalipua bomu kali sana endapo Dr Slaa atajitokeza hadharani kumjibu. Haifahamiki mwanasiasa huyo mstaafu amejiandaa kiasi gani kupangua hoja za Gwajima ambazo zina ushahidi wa kutosha. Ni suala la kusubiri na kuona jinsi alivyojiandaa kujibu hoja.

MAONI YANGU
Naomba watanzania wenzangu tutulize mawazo yetu kwenye kampeni; tusiyumbishwe kamwe.

:yield:

acheni ajibu ili Gwawajima atupe ukweli zaidi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom