Matamanio: Tunasubiri kwa hamu Dr. slaa apite kwenye mstali uliochorwa na baba mch. Gwajima

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
2,093
725
Mpaka sasa hivi ninapozungumza Dr. Slaa bado hajapita kwenye mstari uliochorwa na baba askofu mch. Gwajima. Kama mtakumbuka vizuri wakati baba Askofu mch. Gwajima anamjibu Dr. Slaa kwa kumuita mshenga aliahidi kuwa endapo Dr. Slaa atajitokeza na kukanusha aliyosema basi angeweka hadharani mambo yote ya Dr. Slaa na mchumba wake. wananchi wanamuomba baba Askofu mch. Gwajima aweke tu hadharani mambo hayo kwa sababu inaonekana wazi kuwa Dr. Slaa hawezi kuvuka ule mstari.
 
Ooh boy
Sasa sisi mambo ya mtu binafsi yanatuhusu nini
Huyo mchugaji anakosa hata busara ndogo kutofautisha hilo. Ni akili yakawaida sana kwamba mambo ya ku attack mtu kwa familia yako kwa public ni ujinga. Na kwanza huko nikukosa sababu za msingi za kupinga alichosema Slaa
 
Huna lolote bwegee wewe!!!!!
Tunamshukuru kwa kutujuza ukwel kua kaacha siasa kinafiki sio lowassa chanzo bali ni mamlaka toka kwa mchumbq mushumbus™™™

bila hivyo angeonekana mzalendo sana lkn ukwel umewekwa waz

Ahsante gwajima
 
Huo ndio ukweli ambao wananchi tulitqka kuujua kuwa aliacha siasa kwa shinikizo la wife
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom