Slaa yupo katika kundi lile la asilimia 70 ambalo bila shaka nawe pia umo!Ina maana mshamsahau Dr.wa ukweli?kama mmemsahau mtamjua vyema 2015 na ndo mtajua kumbe yeye ni kibaraka wa watanzania maskini wa nchi hii,ni bora ukawa kibaraka wa watu wako kuliko kuwa kibaraka wa Ghaddafi eti kisa alijenga msikiti pale Dom..J.K type!
Slaa ni Santuri
Slaa anasimamia anachokiamini.Siku zote ukweli ni gharama kwa anaeusikia.tumewazoea wote mnaopinga mwazo yake yatupasa kuheshimu na kutambua kile mtu anachosimamia,tulumbane kwa hoja.tuambieni Gadafi tutamkumbuka kwa lipi?kununua (aridhi yetu bure?kumiliki mahoteli yetu bure? Kutoa maamuzi juu ya nini kifanyike kwa viongozi wetu wasio na macho na midomo?TUAMBIENINimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
Hamjui Slaa kuwa ni mroho wa madaraka. Lazma ashibikie wahuni wenzake wa Libya.
pole sana maana huo ndiyo mwisho wako wa kufikiri. kinachonichekesha hujatueleza ni kibaraka wa nani, umejuaje, Hisia za kifo cha Gaddaf ni multdimensional umeshindwa kulitambua hilo.Umeshindwa kujua kuwa hao Mafisadi leo Bwana mdogo Nape anaowasisitiza wajivue Gamba ni product ya kazi Ya Dr.Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...