Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

alishindwa mtoto wa rais kwenda mahakamani watakuwa hao WADAU wasio hata na majina....labda kama ni WANYARWANDA
 
Hivi chenge ameshafungwa kwa lile kosa la ufisadi?

Ndugu yangu afungwe tena? ukistaajabu ya Mussa, yaani yeye ndo staa wa Magamba yote, kwani gamba liling'ang'ania na sasa kazawaidia kutunga katiba ya kifisadi kwa kwenda mbele! only in TZ
 
Habari hii haikuwa na maana yoyote kuletwa hapa. wanaoenda mahakamani la msingi ni kuenda huko siyo kututangazia hapa.

Mkuu mahakama yao iko hapa jf kupitia keyboard za lap top za msaada toka china wakiwa wamekaa pale Lumumba wewe subiri watakuja na hukumu muda si mrefu ili wawahi mgao wa buku 7 c unajua weekend inaanza
 
Waliufyata alipotajwa kwenye list of shame itakuwa hili? Hao ni wajinga wachache wanaoishi kwa kujikomba. Wanataka kusema wao wanauchungu kuliko mkewe au wanae. Hawana akili

Wadau wenyewe ndio hawa mkuu wanaomba posho ya kushinda nyuma ya key board pale lumumba wakitetea uozo na ufisadi wa viongozi wa ccm
 
Thread zingine bwana. Hii haina tofauti na mada inayojadiliwa kuhusu Dr. Slaa alimradi tu mtu kajisikia anaandika. Mnatujazia jukwaa na thread zisizo na tija.
 
Ukweli unaumaaaaah ona wanavyotapatapa sasa kama muongo nendeni mahakamani.
 

Habari ingekuwa ni kwamba mmefungua kesi na kutuwekea file no;ya kesi yenyewe.Vinginevyo ni vitisho tu.MTU MZIMA HATISHIWI NYAU.
 
kumbe bado unaexist? Mzima lakini? Manake wewe umekuwa kazi yako ni moja tu kuapmbana na dr slaa. Ila kwa muda haukuwepo hewani au ulikuwa unakuja kwa id tofauti. Au wewe ni nape?

alikuwa amekua ban huyu dogo.
 
Aroba una akili sawa na picha ya kwenye wall yako. That shows how your mind is set. Ridiculous!!! Jifunze ku-argue usijivunje kuropoka. Dr Slaa is another figure that no one can 'just try' to shake him. Kwanza hahitaji hata wakili. Mi nashangaa ooh wadau wamejipanga kwenda mahakamani sijui nini. Mhusika si aongee mnamwongelesha nini au ndio mnajikomba awape nafasi kabla ya kuondoka?
 
Wadau hao ni Nape, Kinana, Wasira., Mwandiwani, Ritz et al!
 

hao wadau ndio akina nani??
 
Tulia Hamida,acha kutuletea story za saluni,kwanza tunahamasishana kujiandikisha kwenya daftari la kudumu la wapiga kura,halafu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu,na kura ya maoni ya ile katiba yenu na Sitta mliyochakachua,baada ya hapo ndio urudi kubwabwaja.
 
1.Nani kapora mke mtu?.
2.Nani kashindwa upadri?
3.Nani kavunjwa mkono na demu wake?
Na mengineyo
Nani mwenye watoto wasiojua mama zao?
Nani amevunja ndoa za MADC watano?
Nani amemzuia mbunge viti maalum mwanza asiolewe?
Ni nani anayekimbia kubadilisha damu ughaibuni sababu ya ngoma?
Ni nani ambaye kodi zetu zinaishia kwa mahawara!
Ni nani mwenye ngoma anayeanguka majukwaani hovyo hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…