William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
unapoamua kutoona kwa makusudi kabisa ni lazima hutoona
wenzako wanavyoviona. hivyo msaada ni bora ufungue macho uone
vinginevyo utabaki kutoona japo uwezo wa kuona unao. ni hilo tuu.
- Ninachoona ni kwamba CCM ina wabunge wengi waliochaguliwa na wanachi wengi, politically maana yake ni kwamba wataendelea kuwa na the upperhand kwenye maamuzi yote muhimu ya taifa bungeni, including marekebisho ya katiba kama yatakuwepo na kupitia bungeni kwa their approval, sihitaji PhD kuelewa hili, infact Dr. Slaa na Chadema wangekua wawazi from now on kwamba chances za kupata katiba mpya yenye mawazo yake tu na Chadema ni zero, ili tusije mbele ya safari tukasikia maneno ya kuchakachua, wakati ukweli uko very clear kwamba uwezekano ni zero!
William.