Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

katika katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania na kanuni za bunge kuna kifungu kinacho wakilishwa na mbunge bungeni cha kumtoa rais madarakani,na huwa wanajadili wabunge wote na wale wanaompinga wafikie asilimia 20%
 
unavyotamka bila kufikiria utadhani hulipi kodi.kama unalipa kodi then inabidi ujumuike ktk harakati maana kodi yako pia imo ktk mabilioni yanayotafunwa na hao dowans wasiojulikana hata walipo......"Daah jk raia 2mekukosea nini mpaka umefikia huko?"!!!

Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.

Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.
 
Hawezi kuzungumzia DOWANS kwasababu inamuhusu, ameamua kuzungumzia KATIBA MPYA, ili tusahau ya DOWANS walipane kimya kimya!
 
ndio maana jamaa kakaa kimyaa........nahuyu ndo mbaya wetu nchi hii.......hana nia ya dhat kabisa na anakera sana
 
Ni aibu kwa serikali kusema kuwa mumiliki wa dowans hafahamiki , wakati anafahamika , hii ni serikali ya usiri na ufisadi na ndiyo maana hawawezi kukubali katiba mpya.

Katika historia hakuna nchi iliyopata katiba mpya bila kuumwaga damu ,we angalia znz , wamemwaga damu ndipo wamepata katiba mpya
hapa kwetu rais anaogopa kumutaja mumiliki wa dowans na kagoda ., je atakubali katiba mpya itakayo pelekea yeye kuondolewa kinga ya kushitakiwa???
 
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.

Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.
Nyamaza maana naona umewakosea adabu watanzania kiasi kikubwa sana.
Unamaanisha mtatumia udikteta na matukio yenu ya assassination kama kawaida yenu kumnyamazisha Dk Slaa??
Nakuhakikishia mi sina chama ila siku Dr Slaa atakapoguswa kwa sababu za kisiasa ndo utakua mwisho wa amani ya Tanzania
Majambazi wakubwa nyie hamna hata haya. Siku zenu zahesabika nadhani 2015 mtakiona cha moto.
 
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.

Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.

Umebaki peke yako tu. Wenzako wote washachoka kubeba zigo la m.a.v.i
 
Huko kukusanya kodi ni baada ya maafisa wa TRA kupewa KPI kalikali na ni WAJIBU wao! They are paid to do it ! They were just sluggish ...

Back to business, can u ask me WHY JEYKEY hawajui wamiliki wa Dowans mpaka leo ??, kwanini JK anawafumbia na kuwaogopa mafisadi as per wikileaks ?

Now go back to the drawing board...and if anything happens to Dr Slaa....patachimbika! Eng Nsiande
 
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.

Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.

Mh ndugu huna ata machungu na nchi yako?au we ndo mkuu wa nchi mwenyewe ndani ya forum mana du!
 
Hatutakubali kuendelea kuukumbatia ufisadi kwa kisingizio cha amani, siku zinahesabika kila mtu atawajibishwa kulingana na ufisadi wake
 
am nt suprised,the Guy is a monster,n he gave birth to two gud mosters as well,hawa nao tuwaangalie sana!
 
kama Slaa kasema hili wazi huu ndio uanaume na ndio hawa tunaowataka nchi hii!!! PIGA KICHWA! yes siri ya kuua nyoka ni kupiga kichwa tu! Rostam Rostam .... my foot!!!! let our song be Kikwete, Kikwete, then he will feel right temperature in that hot seat in his forced palace

At least naanza kupata ahueni. Hongera mzee

Waberoya leo umenena, nimefarijika na mchango wako, huu ni uanaume na uzalendo halisi wa taifa letu pendwa Tz, Dk Slaa sio mbunge kwa sasa lakini mambo ayafanyayo ni makubwa. Bg up dk
 
Mh ndugu huna ata machungu na nchi yako?au we ndo mkuu wa nchi mwenyewe ndani ya forum mana du!

hawa ndiyo vibaraka wa mkuu wako humu kujua what is going on na kujaribu kutibua hoja kwa kuwa negative kwa hoja yoyote ile...:embarrassed:
 
Ndg zangu,
baadhi ya viongozi wetu wa serikali kama S.Sitta,Pinda,Mwakyembe na wengine wengi vigogo wa ccm na serikali wanaujua ukweli huu, sema kinachowasumbua ni ujasiri wa kutamka wazi kwamba mkulu ni muhusika wa haya mazingaombwe na madudu ya nchi yetu mf. Dowans,Iptl,Epa na meningine.
S.Sitta alilalamika kwamba hawa Dowans wasilipwe, so it means anaujua ukweli ila hana ujasiri wa kuwa wazi kuwamulika mabosi zake kwamba ni wezi wa resources zetu za taifa.
Mwakyembe (phd) alipokuwa chair wa kamati maalumu ya Bunge alisema kuna mambo hawawezi kuyaweka wazi kwa usalama wa taifa, ni yapi hayo kama sio ya kumuhusisha mkuu wa taifa na haya madili ya magendo kwa taifa?
Pinda kasema ni Dowans ni genge la watu wanojulikana, ni akinanani hao kama sio mabosi wake?
Ndg zangu wapendwa utapeli na magendo kwenye nchi hii wakubwa wanahusika, ila tu watu wanakosa ujasiri wa kutamka, asnte Dk Slaa kwa kuwa muwazi. Uchungu wa taifa hili kwako ni mkubwa.
sasa ni zamu yetu watanzania wote bila kujali itikadi zetu za vyama,dini au kabila lazima tupambane mpaka kieleweke kuhusu katiba mpya na kuwaondoa viongozi matapeli kwenye nchi hii.
 
Jk anamjua dk slaa na hapo kupinga hawezi maana hata kwenye list of shame alitajwa na dk slaaa lakini akakaa kimya kwa sababu anaujua ukweli kuwa alitenda

dr slaa mpaka anaongea ujue ana evidence zinazomtuhumu mtukufu rais jk
 
Back
Top Bottom