Dr.Slaa: Kichwa kimoja sawa na vichwa vyote CCM

Jamaa ninoma,Jana kasema hamlaumu sana JK b'coz elimu ya JK ipo kwenye certificate.

Dr. Slaa is genius, CCM wote hata hawamfikii, kashajua JK kilaza long time, pia alisema
wanafunzi wa vyuo vikuu eti wanaambiwa wasijiingize kwenye siasa kwanini basi
political science inafundishwa chuoni? kasema huu ndio upuuzi wa viongozi wapotoshaji
jamaa noma
 
alihoji kama Udom imeisha fikia wakati wa kutoa phd tangu imeanzishwa!!! sasa hiyo doctorate waliyomhonga JK ili asiwabugudhi wanapoendelea kuchakachua uendeshaji wa chuo, waliitoa wapi? baraza la chuo hicho litakuwa limempa doctorate feki!
 
Mtu yeyote anaechekacheka tu mara kwa mara na kuleta matani katika serious issues ni anajaribu kuficha ujinga wake.
 
Cha msingi ni kwa Slaa kukubali kwenda Milembe!

Amekubali mbona. Anapimwa akili nyingi siyo upungufu wa akili. Lakini amewataka hao vijana wakapime ili matokeo yote yawekwe hadharani. Natumaini na wewe utapima utupe matokeo. Mimi nitajipima na matokeo yenu maana kuna baadhi kama wewe siwaelewi kabisa
 
Sasa Quinine hiyo avatar yako ndo inafanyaje?Imenipa raha J2 hii. Mi nadhan ccm vipo kama vya Slaa sema vimefungwa navyo vimefungika. Either kulinda maslahi binafsi au uwoga au uzumbukuku. Aibu sana basi tu.
 
Slaa happened to be priest lost for shamefull deeds against church, went to politics via ccm lost, went via cdm become MP for several years, wanted to be a president backed by church denominations lost!

Yes vey genius for cdm funs (average people) except zitto and co. but for most informed people dude is fake, radical and irrelevant.
 
Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!
Nimeipenda hii.dr wa ukweli anajiamini ndio maana tunamkubali
 
Slaa happened to be priest lost for shamefull deeds against church, went to politics via ccm lost, went via cdm become MP for several years, wanted to be a president backed by church denominations lost!

Yes vey genius for cdm funs (average people) except zitto and co. but for most informed people dude is fake, radical and irrelevant.
Crap!!!
 
Nafikiri unahitaji kumuomba RADHI Dr. Slaa kwa kumfananisha na vichwa vilivyoko CCM. Wengi walioko CCM si kwamba ni bongo lala kama JK ila wabadhirifu, wezi, wabinafsi, wahujumu uchumi na bendera fuata upepo. Vichwa hivyo huwezi kulinganisha na kichwa cha Dr wa UKWELI. Mmmh kweli akutukanaye akuchaguli................
 
Dah! Hii nilikuwa sijaipata! Kama Dr amewapa hiyo lazima wamenywea! We mtu uwe huna akili halafu unaongea lugha nane kwa kujifunza mchezo? Hajapewa Honorary udoctor kama wengine, ameandika thesis akatunukiwa! Sasa UVCCM wanatuambia nini? Martin Shigela ni Dr? Benno Malisa ana degree ngapi? Pass au? Hebu waache kuchokonoa haya mambo ya elimu! Itakuwa aibu!
 
Slaa happened to be priest lost for shamefull deeds against church, went to politics via ccm lost, went via cdm become MP for several years, wanted to be a president backed by church denominations lost!

Yes vey genius for cdm funs (average people) except zitto and co. but for most informed people dude is fake, radical and irrelevant.

He never lost for any of those issues you raised; unless your concept of "loss" is different from others...because your brain is blocked from seeing reality; I truly pity you if you think you are also among those who are informed; what have you or those who cheer lead done for the society? Yes he is genius because he is striving to improve the welfare of this nation; yes he is genius because he went to school and earned degrees and not awarded like those you follow blinded; if you are not careful, you a blind follower and your follower will end up into the pit
 
Mbona hakushinda uchaguzi? Wabunge kapata 20 out of 200! Hiyo ni akili au matope!

Hao 200 wengi wamechakachua kwani wewe hujui au ni ushabiki tu. Ndio Dr wa ukweli hakushinda ila uchakachuaji ulikuwa mwingia hata kama ameshindwa ni kwa asilimia kidogo.
 
lets wait hiyo 2015 na ikipita hiyp tutasema tena lets wait 2020..............wabongo kwa kusahau na kukata tamaa ndio wenyewe jamani safari asubuhi kama ushindi uanze kuandaliwa sasa wa 2015
 
Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!

Na kweli anahitajika apimwe akili aisee, kwani level yake ya kuchanganyikiwa inazidi (CHADEMAZ= A GROUP OF INSANE PEOPLE IN JUDA)
 
Hao 200 wengi wamechakachua kwani wewe hujui au ni ushabiki tu. Ndio Dr wa ukweli hakushinda ila uchakachuaji ulikuwa mwingia hata kama ameshindwa ni kwa asilimia kidogo.

Slaa hakushinda hata chembe, yeye alidhani watu kumbeba na kukusanyika wengi ndio kura. Aligaragazwa na kuchanyikiwa hapo hapo. Hivi sasa kimyaaa, pamoja na wafusi wake ( CHADEMAZ = A GROUP OF INSANE PEOPLE IN JUDA)
 
Back
Top Bottom