Dr.Slaa: Kichwa kimoja sawa na vichwa vyote CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Slaa: Kichwa kimoja sawa na vichwa vyote CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kagarara, Jan 23, 2011.

 1. k

  kagarara Senior Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!
   
 2. W

  We can JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbavu sina!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  wanataka(ccm) wapime akili zake kwa sababu hata yeye(slaa) anahisi ziko maili 100 mbele zaidi ya watu wa CCM.

  jamaa kichwa kama mourinho.

  kila kijembe anachotupiwa lazima akitolee jibu on the spot bila kuangalizia
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jamaa ninoma,Jana kasema hamlaumu sana JK b'coz elimu ya JK ipo kwenye certificate.
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa anawaendesha sana yaani kila mtu anapayuka kule CCM karibia watu wote CCM wanagombana na mtu mmoja tu kuanzia mwenyekiti wao hadi wanachama
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tatizo la sisi wanaccm hatukubali kushindwa so tunatumia nguvu nyingi na hii ni kutokana na mbegu mbaya tulizopanda tangu awali sasa zimeshindwa kumea so tunavuna tulicho panda,nadhani mabadiliko ni muhimu tumechoka wanaccm kuongozwa kwa matukio ya mzee makamba

  mapinduziiii daimaaaaaa:A S-fire1::kev:
   
 7. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  DR slaa ni machine ya kusaga na kukoboa . CCM hawana ubavu wa ku simama naye . Refer to the last election . CCM bado wanatibu majeraha na sijui kama watapona . You wait and see what will come with Dowans . I hope Utawala wa JK utakwisha kabla ya 2015.
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Na majeraha waliyonayo ni makubwa sema wanajitahidi kuyafichaficha
   
 9. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama samson alivyowahangaisha wafilisi!
   
 10. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  na mficha maradhi kilio humuumbua!!!!

  Amani yetu inatumiwa vibaya.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusha mbali
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuuu
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  UVCCM wameona hiki kichwa si cha kawaida lazima kipimwe maana ni sawa na CC nzima ya CCM, hata Newton kwa waliosoma Physics watu wa enzi yake walitaka apimwe akili kwa vile alikuwa si wa kawaida.
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nina wasi wasi na akili za Alhaji shekhe mufti dr Mkwere!
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe umepata wangapi.
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Kaambiwa na PhD wa ukweli kuwa akili zake ziko kwenye certificates akiona ukuta umejaa vyeti anafikiri ndiyo akili nyingi, ha ha haaa.
   
 17. I

  IronLady Member

  #17
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimelipenda jibu zuri la Dr Slaa.Kwa jibu hili imejidhihirisha wazi kuwa the guy ni kichwa cha kuotea mbali..
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Cha msingi ni kwa Slaa kukubali kwenda Milembe!
   
 19. R

  Radi Member

  #19
  Jan 23, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuuu kamuzu hapo nafikiri umewastahi kidogo maana kilio kinaweza kuwa kwa sababu ya maumivu, ilitakiwa kuwa mficha maradhi kifo humuumbua!!!!
   
 20. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Atawatesa sana, mnahangaika na mtu mmoja huku viongozi wengine wa CDM wakiendelea na makongamano.
   
Loading...