Dr. Slaa kawasaidie wana Igunga!

Kuna habari isiyo rasmi kwamba Dr slaa atagombania jimbo la Igunga. JE ANASIFA ZA KUSHINDA

Rejea chanzo chako cha habari ujue kama kinaaminika ndipo uweke bandiko hapa JF; kubandika hisia zako binafsi au mambo ya kufikirika haipendezi. Kajipime, ufikirie na ujipange upya.
 
Napenda kuuliza

Lyatonga Mrema sia aliweza kugombea Majimbo 2(TEMEKE/VUNJO) tofauti ndani ya nchi hii na akashinda na karudia jimbo lake la kwao na kashinda iweje Dr. Slaa asiweze??
 
Nimekufatilia sana, tatizo lako umetumwa! Unaharibu maudhui ya thread za wenzio. Magamba wewe!

unifuatilie usinifuatili is up to you. Kama mtu amepost ujinga lazima nimwambie sio kila aliyemo humu ni great thinker wengine ni vilaza wanaleta mawazo ya ukilaza na nyie mnawadekeza
 
unifuatilie usinifuatili is up to you. Kama mtu amepost ujinga lazima nimwambie sio kila aliyemo humu ni great thinker wengine ni vilaza wanaleta mawazo ya ukilaza na nyie mnawadekeza
Go to hell MAGAMBA!
 
kama sio dr slaa nani mwingine anayeweza kuuzwa na cdm akauzika kwa wananchi. Ccm wanamweka kubenea au bashe
 
Rejea chanzo chako cha habari ujue kama kinaaminika ndipo uweke bandiko hapa JF; kubandika hisia zako binafsi au mambo ya kufikirika haipendezi. Kajipime, ufikirie na ujipange upya.

mama mdogo wewe ni mweshimiwa kula mjengoni,una kasauti ka upole kwelikweli,wamesemaje kuhusu umeme?
 
Hili swala la Ubunge wa Igunga sijui linasumbua nini maana kila mtu analifungulia mada kila dakika kwanini lisijadiliwe chini ya kichwa kimoja badala ya kufungua mada mpya kwa hoja ile ile kila wakati!

Huku zingine zikiwa ni za hisia za watu tu!
 
hata akiwekwa bashe au mwingine yeyote, akishindanishwa na kuku wa cdm hakika mi nikohapa ntampa kuku... walahi naapa.
kama sio dr slaa nani mwingine anayeweza kuuzwa na cdm akauzika kwa wananchi. Ccm wanamweka kubenea au bashe
 
Acha dharau we mtoa maada, Dr slaa alishavuka kiwango ubunge, naamini unataka kuonyesha uwezo wa kubuni tu. Tuna mgoja 2015 akabidhiwe nchi.
 
Kuna habari isiyo rasmi kwamba Dr slaa atagombania jimbo la Igunga. JE ANASIFA ZA KUSHINDA

Uwezekano ni kugombea na wala sio kugombania maana yeye sio mgomvi. Hata hivyo itakua ni sawa na Koffi Annan kugombea urais wa Ghana.
 
Back
Top Bottom