Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kapo kapo hivi tabia zake hazipishani na za mende
Ninavyo elewa act ni ka Sacco's ka mwandiga
Kapo kapo hivi tabia zake hazipishani na za mende
naunga mkono hoja,
hicho ki-salum ni geresha tu kila mmoja wetu anajua hakina thamani.
naibu katibu mkuu zanzibar aliyeamua kuwa wa bara maana zanzibar kwenyewe hana chake.
baada ya kushindwa kuwapata wabunge wale 50 aliowasema yuda sasa mnamuomba Dr. Slaa eti eee! mchukueni alivyoondoka Zitto mlisema cdm imekufa lakin moto wake sasa unawapa jambajamba!!
Pole wewe mcheza disco la mbowe; sisi tunamhitaji daktari wa siasa nchini Tanzania; sio hilo zezeta lililonunua chama.
Ninavyo elewa act ni ka Sacco's ka mwandiga
Ni kweli; Zitto alichofanya ni kumwiga mzee mtei tu: si unaona saccos lake linavyomlipa sasa hivi; Mtei family wametoka kupiga 10billion,,na sasa bingo la uchaguzi linakuja; dr hayupo kumdhibiti Dj,,,patamu hapo:
baada ya kushindwa kuwapata wabunge wale 50 aliowasema yuda sasa mnamuomba Dr. Slaa eti eee! mchukueni alivyoondoka Zitto mlisema cdm imekufa lakin moto wake sasa unawapa jambajamba!!
Mtajinyea na kujiharishia sana ngiri nyie
poleni sana mazuzu ya lumumba
Unamtamani eee!! yule ni cdm dam na wala hawez kuwa msaliti kama yuda,ZITTO.
Moto wa gesi hata mrema alikuwa nao: Hilo robot lenu sijui lizezeta mwisho wake ni october. Kumfukuza Dr ni furaha kwetu sababu angejishushia heshima kubwa aliyonayo kuongozana na hao wahuni wa kaskazini
aaaaaah,,hata Zitto alisema atakuwa wa mwisho: Yule ni CDM mageuzi, sio hii ya sasa ya Lowassa,Salum mwalimu na mbowe
kijamaa kinaongozana na mtoto wa mjini dj,,,basi kinajiona kimwanasiasaa; kinanitia kichefuchefu mno:
Tamaa mbaya, huwezi amini mwenyekiti anavyo pretend kama mcha Mungu vile, kumbe ni msaidizi wa shetani duniani. Kala haramu ya takuku kauza chama.
Sasa hapo Lumumba inaingiaje?poleni sana mazuzu ya lumumba
Ha ha ha haaa! Dr.ameumizwa jaman kwa maamuz ya kindumilakuwili ingawa mabadiliko tunayataka lakin sio kwa staili hii
Kawaida ya ngiri huwa hatumii akili kama wewe