Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

Watu wenye chama chao washachukua kilicho chao, Dr Slaa hana lake tena chadema.Kama anahitaji kuwa katika medali za siasa nchini ni vema akaomba usajili katika chama tawala.
 
Act ni saccoss ya wazungumza KIHA

Sijui umeingiaje kwenye Jukwaa La Siasa kwa maana sio size yako! Matatizo ya Chadema unataka kuyaleta ACT. ACT Wazalendo ni chama cha watanzania wote tofauti na Chadema chama cha watu wa kaskazini akizungumza Mbowe na baba mkwe wake Mtei, viongozi na wanachama wote kimyaaa ndio maana mkaitwa wapumbavu na malofa!
 
Baada ya uchaguzi mwaka huu, sisiemu kama wakishinda, ACT ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani, mark my words!

Na Ukawa wakishinda pia tuambie itakuwaje? CCM na ACT kipi kitakua chama kikuu cha upinzani? Hapa naona ni mahaba niue
 
Sijui umeingiaje kwenye Jukwaa La Siasa kwa maana sio size yako! Matatizo ya Chadema unataka kuyaleta ACT. ACT Wazalendo ni chama cha watanzania wote tofauti na Chadema chama cha watu wa kaskazini akizungumza Mbowe na baba mkwe wake Mtei, viongozi na wanachama wote kimyaaa ndio maana mkaitwa wapumbavu na malofa!

Act ni chama cha waha,na Sacco's ya mwandiga,hupendi kanywe sumu
 
Watu wenye chama chao washachukua kilicho chao, Dr Slaa hana lake tena chadema.Kama anahitaji kuwa katika medali za siasa nchini ni vema akaomba usajili katika chama tawala.

Mwaka huu utaijua cdm hadi ujifungue pre mature
 
Mwache mzee apumzike. Aachane na siasa maji taka za chadema
 
Mtaongea kila point lkn adhab yenu iko palepale kuwa ccm na mawakala wao lazima mfungishwe vilago
itakuwa jambo jema japo sina uhakika. maana nyote nyie ukawa (ccm B) na ccm (ccm A) nawaona walewale tu.
 
wanaosema A.C.T cha waha mimi ni mkinga niko ACT na hata halmashauri kuu ya taifa kuna wakinga wawili Godlove Fungo na Geofrey Sanga so wawe wanasema na wakinga tofauti na chadema eti mjumbe kamati kuu toka Mbeya ni mchaga anaitwa Hugho Kimalio.
 
Hicho chama kina miezi miwili tu ya kusurvive baada ya hapo wajiandae kupiga mihayo tu mtaani
 
act ni chama cha kupambana na wapinzani. mungu wao anaitwa zitto kabwe....
 
Back
Top Bottom