Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Bora kutotumia akili, sasa wewe mfu ndo tatizo zaidi.
Ngiri @ works
Bora kutotumia akili, sasa wewe mfu ndo tatizo zaidi.
Ma ccm yamechanganyikiwa hadi sasa yameamua kutukana matusi kwa watanzania
Ngiri @ works
Hapa kazi tu maigizo tumewaachia nyie na Mr.Ben wenu
Mkuu nape bado yupo mgongoni kwako?Pole wewe mcheza disco la mbowe; sisi tunamhitaji daktari wa siasa nchini Tanzania; sio hilo zezeta lililonunua chama.
Dead body in the grave
kingemjua huyo mbowe kuwa ni born town wala kisingemsogelea. kingerudi kwao haraka kwenda kula urojokijamaa kinaongozana na mtoto wa mjini dj,,,basi kinajiona kimwanasiasaa; kinanitia kichefuchefu mno:
Hivi act ndio mdudu gani kwenye siasa za Tanzania?
Tulia utamjua tu. Simmeyataka mwenyewe.
ACT mnawezajee kumpokeaa m2 aloshinikizaa ninyi mwende mahakamani
kingemjua huyo mbowe kuwa ni born town wala kisingemsogelea. kingerudi kwao haraka kwenda kula urojo
Akina Mnyika wameamua kuonesha misimamo yao hata kwa kukaa kimya inatosha ..mbowe kala bingo
Hivi mnajua njia zilizotumika hadi Zitto akaacha jimbo la kigoma kaskazini na sasa mgombea wa jimbo hilo ni Peter J Serukamba wa CCM?