Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

wanaosema A.C.T cha waha mimi ni mkinga niko ACT na hata halmashauri kuu ya taifa kuna wakinga wawili Godlove Fungo na Geofrey Sanga so wawe wanasema na wakinga tofauti na chadema eti mjumbe kamati kuu toka Mbeya ni mchaga anaitwa Hugho Kimalio.
Umejipendekeza tu kwani hata CDm wapo kina Lisu ni Mnyaturu,Prof Safari sio mchaga,Patrobas msukuma. Nanukuu maneno ya mwenye chama Zitto alipohutubi uwanja wa Kiganamo,Kasulu alisema nani kawaambia Mwanamke wa Kiha hawezi kuzaa mtoto akawa kiongozi wa chama hivyo Waha wakisema Act Wazalendo ni chama chenu semeni ndio na mtembee kifua mbele kujivunia chama cheenu.nilimsikia mwenyewe akisema hayo we jitoe ufahamu tu
 
Katika kujenga chama tunaitaji mtu anayefaham dhamira ya chama. Waweza kuja ACT [MENTION][/MENTION]kama unafaham dhamira ya ACT. Hiki ni chama makini na chenye mipango endelevu.
 
Yaani nazichukia siasa za matusi na ushabiki usiotoa mwanya wa kufikiri!!!!!!!
 
Bora sheria ya mtandao ianze mapema.hamna kauli za kuwaambia wanyonge na vijana wenye degree na wako jobless nchii.kila siku chama kimeuzwa mara slaa sijui kafanya nini.hayo yanawahusu nini.hii ni aibu tunahitaji baji ya namna tunafaidi wote gas. Madini. Samaki. Ardhi yenye rutuba na aibu sana sana. Kutuletea hapa kila saa habari zisizo wahusu.ole ni wawachache wanaocheza na akili za wengi wasio na elimu wanawapotosha kwa maneno ya uongo na ulaghai
 
Kwako Dr,

Nchii hii bado inakuhitaji sana. Ni dhahiri hao Chagadema hawakuhitaji tena; Zezeta lenye pesa zake limeshanunua sio tu chagadema bali ukawa yote; nacheka kila siku nikikiona hicho ki salum mwalimu kikijifanya kuvaa viatu vyako.

Hakina uzoefu wowote wa kuratibu siasa hasa za kipindi cha uchaguzi; hakina elimu na upeo wa kutosha; hakika kitavuruga uchaguzi huu kila kona, na Chagadema kama chama hakitapata wabunge wengi kama kinavyodhani.


Ni kijibaraka cha Mbowe; Na hakimjui born town Freeman vizuri mzee wa Mega deals, na baada tu ya uchaguzi mkuu; kitasahaulika kabisa kabisa kisiasa. Bora Mnyika alivyoamua kukaa kimya.

Karibu ACT Dr, tangaza mali zako; njoo tukijenge chama kwa ajili ya upinzani wa ukweli baada ya october 2015.

Tena mstue na Professor Lipumba mje wote( wazee wa Ukawa asili).

Wasalaaam;

Mkonozi.

nilikuw najua ACT ni wasaliti wa CHAMA FULUNI KUMBE NINYI NI WASALITI WA WANANCHI, HAIWEZEKANI SISI WANANCHI TUMEBADILIKA TUNATAKA MABADILIKO NINYI MNANUNULIWA NA CHAMA TAWALA ILI KUUWA MABADILIKO ATI MNASIMAMISHA MGOMBEA URAIS ILI KUPUNGUZA KURA ZA UPINZANI
NIWAELEZENI MWAKA HUU YAWEZEKANA MSIPATE MBUNGE HATA MMOJA, NA BAADA YA UCHAGUZI CHAMA HIKI KITAVUNJIKA KWA SABABU SOURCE YA FEDHA HAITAKUWEPO.

HALAFU MUACHE KUTUDANGANYA WANANCHI ATI MNASEMA MIIKO YA UONGOZI, KUSEMA MALI ZAKO HADHARANI SAWA KABISA.
TUNAOMBA MTUELEZE NINYI KAMA CHAMA KICHANGA MMEPATA WAPI HIZO FEDHA ZA KUJENGA OFFICE KILA SEHEMU YA NDANI YA NCHI? MMEPATA WAPI FEDHA ZA CAMPAIGN?
KAMA MMECHANGIWA SAWA LAKINI MMESEMA KILA KINACHOPATIKANA MTAKUWA WAZI JE NANI KAWACHANGIA? TUELEZENI KWANZA HAYO NDIO MJE MTUOMBE KURA LA SIVYO HUO UTAKUWA NI UTAPELI WA HALI YA JUU NA KUWAHADAA WANANCHI.
 
Du. Hivi ni kweli Docta katumika kama mpira wa kiume, mm c amini.
 
Back
Top Bottom