Karibu act wazalendo,kwaheri chadema/ukawa

njundelekajo

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
310
227
Wiki iliyopita mmoja wa manguli wa siasa za upinzani Zanzibar ,na aliyekua katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharifu Hamad alihamia chama cha Act wazalendo .

Maalim Seif alihamia chama hiko baada ya mahakama kumpa ushindi hasimu wake Prof Ibrahimu Haruna Lipumba na kuhitimisha mgogoro wa muda mrefu baina yake na swahiba wake huyo wa zamani.

Ni vigumu sana kusema ujio wa Maalim Seif ndani ya Act Wazalendo hauna maana yoyote.Act yenye maalim na wafuasi wake ni imara kuliko Act yoyote iliyowahi kutokea tangu ianzishwe kwake.Ni imara kuliko Act iliyokua na Prof Kitila Mkumbo,Anna Mghirwa na Samson Mwigamba waliohamia CCM.

Lakini uimara wa Act Wazalendo ni hatari kwa Chadema pamoja na Ukawa kwa ujumla wake.Hii inatokana na kariba ya Zitto ambaye ndiye kiongozi mkuu wa chama cha ACT.

Ujio wa maalim utaifanya Act Wazalendo iwe imara maradufu zaidi kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kuliko vyama vyote vya upinzani kikiwemo Chadema.

Kuanzia sasa na kuendelea itegemewe kuona wabunge na watu mashuhuri wa ccm wakihamia Act na sio tena Chadema kama ilivyozoeleka.Kuanzia sasa na kuendelea itegemewe watu na viongozi mashuhuri wa Chadema wakihamia Act Wazalendo sio tena CCM..Act itakua kimbilio la wanasiasa wa vyama vyote viwili(CCM na Chadema) kwa wanasiasa wengi.

Kabla na baada ya kupilizwa kipyenga cha uchaguzi mkuu 2015,Act wazalendo kitasheheni majina makubwa ya wanasiasa ama waliohama kwa sababu zao au wale wasioridhika baada ya kukatwa majina yao .Nguvu ya Act kisiasa itawiana au kuishinda Chadema kwa wakati huo.

Kuwiana kwa nguvu hiyo ya kisiasa kwa vyama hivyo viwili kutaathiri pia zoezi la kumpata mgombea wa nafasi ya urais atakayesimama kuviwakilisha vyama vyote vya upinzani.Hakuna sababu yoyote ile iliyosababisha Chadema kutoa mgombea wa urais 2015 zaidi ya udogo wa vyama vingine.

Ikumbukwe pia kura za nafasi ya urais zinaamua ruzuku na idadi ya wabunge wa viti maalumu.Act wazalendo iliyo hai haitoweza kukubali Chadema itoe mgombea urais wakati huohuo iweke wagombea wengi wa nafasi ya ubunge kuliko vyama vingine kama ilivyofanya uchaguzi uliopita.Haitegemewi pia Chadema kufanya tofauti na ilivyofanya kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kukubali isisimamishe mgombea urais ama kutoa wagombea wachache katika nafasi ya ubunge.

Na kwakua Zitto sio muumini wa Muungano wa aina yoyote ile wa vyama vya upinzani.Ndio maana aliwahi kuuita umoja wa vyama vya upinzani matapeli na walaghai wa kisiasa akiufananisha umoja huo na wasaka tonge halitakua jambo gumu kwake kuamua "kila mmoja afe na lwake".

Si tu Zitto haonekani kama mtu aliyesahau yote aliyofanyiwa Chadema mpaka kufukuzwa kwake,kama hivyo ndivyo haitegemewi Act kuingia kwenye umoja wa aina ya UKAWA ikitokea baadhi ya watu wanaotajwa kuutaka urais ndani ya CCM wakihamia Act.

Lakini kimsingi UKAWA ni umoja wenye kuijenga Chadema zaidi kuliko vyama vingine vilivyomo kwenye umoja huo.Act yenye kujitegemea haitokubali kuwa ngazi ya Chadema.

Unaweza kuona namna UKAWA ilivyoinufaisha zaidi Chadema kuliko vyama vingine,mathalani kwenye mgawanyo wa majimbo ndani ya UKAWA mwaka 2015,Chadema ilipewa majimbo 138 sawa na asilimia 73 ya majimbo yote huku vyama vilivyobaki vikigawana asilimia 27 iliyobaki.

Mgawanyo wa aina hii kwa uchaguzi ujao wa mwaka 2020 Act wazalendo yenye uhakika wa kuvuna majimbo mengi Zanzibar hasa Pemba haitakubali kama ilivyokubali CUF.

Hakuna namna ambavyo ACT inaweza kuishi kwenye udhaifu wa CUF.Chadema ya Freeman Mbowe sio chama cha upinzani chenye utamaduni wa kuvipa nafasi ya kukua vyama vingine vya upinzani.

Utamaduni huu wa Chadema wa kushindwa kutoa "relief" kwa vyama vingine vya upinzani uliathiri sana UKAWA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.Mfano pamoja na kupewa nafasi ya kusimisha wagombea katika majimbo 138 kati ya majimbo 265,bado chama hiko kilisimamisha wagombea hata kwenye majimbo ya vyama vingine.

Act haiwezi kufany makosa ya vyama vilivyo tengeneza UKAWA mwaka 2015 CUF, NCCR Mageuzi, NLD, vilivyokubali kupoteza viti vya maalum vya ubunge vyote vikaenda Chadema ambao walikuwa wamesimamisha mgombea urais.

Lakini pia kama Chadema watatoa asilimia 73 ya wagombea ubunge wa Ukawa kama uchaguzi uliopita, Chadema watazidi kufaidika na ruzuku.Sioni namna ambavyo jambo hili litakua rahisi kukubaliwa na Zitto mwenye majeraha ya kufukuzwa Chadema.

Maalim Seif anafahamu namna alivyotumika kutengeneza ruzuku ya Chadema,anafahamu hata mgogoro wake na Lipumba msingi wake ni Chadema iliyomkaribisha Edward Lowassa,anafahamu kwamba Act Wazalendo nje ya Ukawa itapata faida nyingi kuliko ikiwa ndani ya umoja huo.Hata katika ndoto sioni pahala popote pale atakavyoanza kumshauri Zitto waungane na Chadema.

Hivyo basi ,kwakua UKAWA ni Chadema na Chadema ni UKAWA,mafanikio ya kisiasa yanayotarajiwa kwenda Act Wazalendo ni kaburi rasmi la Chadema na Ukawa.

Na kupotea kwa Chadema katika siasa baada ya hayo yote kutokea sababu kubwa itakua dhaifu wa katibu mkuu wa ChademaDr Vicent Mashinji .Udhaifu wake una faida sana kwa Act na CCM kuliko Chadema.

Dr Mashinji ameeelemewa na uzito wa nafasi ya ukatibu mkuu.Ndio maana mara nyingi wabunge wa kama Godbless Lema wa Arusha mjini na Mchungaji Peter Msigwa wamekua wakijitokeza mara nyingi "kukiokoa" chama katika mashambulizi mengi.Hata hili la kuvuliwa ubunge kwa Nassari ni matokeo ya udhaifu wa katibu mkuu.Kwa namna gani chama kinaruhusu uholela hata mbunge akawa mtoro wa kiwango kile.

Chama kinamruhusu vipi mbunge wake asimame mbele ya waandishi wa habari kusema alikua kliniki Marekani .Usemaje ulikua kliniki Marekani kwa wapiga kura wasiokua na uhakika wa milo mitatu?.Kuonesha udhaifu ,Nassari alikimbia maswali ya waandishi wa habari.

Kwa uhakika naweza kusema kama Dr Slaa mpaka leo angekua katibu wa Chadema basi Maalimu Seifu angehamia Chadema na mpaka sasa Nassari angekua mbunge.

Tusisahu pia ubabe wa Chadema dhidi ya vyama shirika ndani ya UKAWA.Ubabe wa Chadema ndani ya UKAWA unathibitishwa na matukio mengi ikiwemo kusimamaisha wagombea hata kwenye majimbo yaliyokubaliwa kusimamisha wagombea wa vyama vingine.

Katika mazingira haya vyama vilivyoungana na Chadema mwaka 2015, kwakua vishaumwa na nyoka havitasubiri hata ujani uviguse vitaunda "UKAWA" yao nyingine kwa kushirikiana na ACT Wazalendo.

Ikumbukwe katika uchaguzi wa mwaka 2015 vyama vingi vilivyounda UKAWA hasa CUF vililalamika kuchezewa rafu na Chadema.Mfano katika jimbo la Segerea ambalo Ccm ilishinda kwa hila za Chadema dhidi ya aliyekua mgombea wa Cuf Julius Mtatiro.Kulikua na dalili zote kuwa Anatropia aliendelea kufanya kampeni za chinichini zilizogawa kura za Mtatiro na kusababisha Bonna Kalua wa CCM kushinda.

Zitto anaijua Chadema,Zitto hajasahau alivyodhalilishwa na chama hiko,Zitto anafahamu namna Mbowe alivyo na mjanja na mlaghai kama alivyowahi kumuita huko nyuma,hatokubali kuwa ndani ya umoja wa aina hii huku akiwa na uhakika ana uwezo wa kufanya vizuri hata akiwa nje ya UKAWA.

Haya mambo ni mepesi sana kuyagundua kwa kuanza na namna Maalim alivyohamia Act Wazalendo.Hakukua na mwakilishi yeyote wa Chadema siku hiyo Maalum anakaribishwa rasmi kwenye chama cha Act Wazalendo zaidi ya mwenyekiti wa Chauma ,Hashimu Spunda Rungwe.

Katika dhana ya mashirikiano tukio la Chadema kukosa kushiriki kwenye tukio kama like iwe kwa sababu yoyote ile ujumbe ambao unaweza kupatikana ni zaidi ya vile ambavyo unaweza sema Zitto ameanza kuwaringishia Chadema alivyo na akili za siasa.Lakini pia ni kuwambia Chadema sasa tunauwezo wa kufanya mambo yetu wenyewe.

Mpaka sasa Act sio sehemu ya UKAWA ispokua Zitto kama mbunge wa Act anamashirikiano binafsi na UKAWA.Mara ACT itakapoalikwa rasmi ndani ya umoja huo lazima "demands" zao za kujiunga ziwe ngumu mno kutekelezeka na vyamaHivyo vingine vilivyomo ndani ya umoja huo hasa Chadema,muda huo ACT hakitakua chama chenye kuitaji UKAWA zaidi ya UKAWA kuiitaji ACT kutokana na mafanikio yake

Noel Nguzo.
23/3/2019
 
UPUUZI MTUPU!

Umeandika maandishi meeengiiii yasiyo na maana. Kwa akili zako unaonekana unakereka na CHADEMA. Tatizo siyo CDM. Tatizo ni upinzani. Upinzani siyo jina la chama ni mawazo ya ukinzani. Sijui hata kama unaelewa.
 
Adui yake ACT siyo Cdm bali CCM . Ikielekeza mapambano dhidi ya Cdm na si ccm, itakuwa imeshindwa kabla ya vita vyenyewe.

ACT inabidi ifanye kazi ya ziada hasa huku bara ambako haina mizizi imara. Kwa Zanzibar imerahisishiwa kazi kwa kurithi mitandao imara ya CUF , je huku bara ?!

Pili Cdm imekuwa ikifanya vizuri hata pale zilipokuwapo hivyo vyama vingine. Pia subiri dola ije ianze mapambano na ACT jambo ambalo hawakulizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom