Dr Slaa jaribu UKWELI na UUNGWANA utakusaidia

Kamarade, unasema eti Dr Slaa na Josephine!

Ninajua unaelewa namna picha ya kumtuhumu Dr Slaa kuwa na mke wa mtu ilivyochezwa. Sihitaji kueleza hapa ila kama wewe ni muungwana anzisha thread uwaeleze wana jf uhalisia wa hizo tuhuma za Josephine.

Hivi tanzania kuna mtu anayemzidi mkwere kwa uchafuzi wa anga? Usitake watu tuanze kusema mengi. Kama wewe ni mwungwana waambie wana jf ni wapi aliko mlinzi wa nyumbani kwa Batilda na kwa nini alikuwa repatriated!. Tafadhari bwana, kama ni usafi wa maisha, anza kwanza kuwafundisha viongozi wa chama chako cha sisiem na umwache Dr Slaa tafadha.

WE DO NOT NEED YOUR MANIPULATIVE, MALICIOUS AND ILOGICAL ENTRANCES PLEASE!
 
hii ni aibu.

wanaume kumuonea wivu mwanamke(Josephine).

Kweli dunia imekwisha.
 
Is this an issue of WIVU ama Personal Ethics and Moral Integrity? Kama wote tumeoza haina maana haiwezekani kutokuwa na anayetuongoza ambaye hajaoza......Yes we can kama tunaondoa ushabiki na ukada pofu na kuweka mbele umakini...Kuanzia katika hoja hadi uchaguzi wetu
 
Wote tunajua kuwa moja ya sababu kubwa ya watanzania wengi hasa wale wenye upeo wa kiasi fulani kuhusu siasa zetu na historia ya harakati za demokrasia ya vyama vingi hadi sasa kushindwa kuamini katika ukombozi wa CHADEMA ni sura ya chama hicho inayowakilishwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Kwa mtazamoa wa wengi wajuvi wa siasa zetu lakini hata wale wengine wasio na kujua sana, Freeman Mbowe si mwanasiasa bali mjasiria mali ambaye kwake siasa ni mtaji wa biashara zake. Lakini zaidi biashara zake hasa lile danguro la Mbowe na baadae Bilicannas, ni mzigo mkubwa kwa Chadema katika jitihada zake za kujenga imani miongoni mwa watanzania wenye nia ya dhati ya kutaka kuona tunakuwa na MBADALA BORA utakaoweza kuondoa na kutufanya tusahau HISTORIA mbaya ambayo CCM imetupitisha katika miaka ya hivi karibuni.

Hata hivyo moja ya vitu vilivyokuwa vinatupa imani kwa kiasi na CHADEMA ni kuwepo kwa mtu kama Dr Slaa ambaye wengi tulikuwa tunadhani kuwa ni mtu muungwana na muadilifu na pia wa kiasi fulani hasa upande wa vijana ni umahiri wa wabunge wake vijana wakiongozwa na Zitto Kabwe.

Wote hawa walikuwa nguzo muhimu za imani ya watanzania kwa CHADEMA. Nasikitika kusema kuwa tangia uchaguzi uliopita kuanza, nguzo hizi zimeanza ama kuregea ama kubomoka kabisa.

Ukianzia baadhi ya matamshi ya Dr Slaa wakati uchaguzi, Sakata ama kashfa ya hawara ama mke wa mtu, ukaja hoja za kutomtambua rais bila ya kutoa ama kuonyesha ushahidi wa kutosha na sasa haya yanayoaandikwa kuhusu Zitto Kabwe kwa upande mmoja na kauli za Dr Slaa zinazojaribu kukwepa ukweli kuwa msimamo wa Kamati Kuu ya Chadema ni tofauti na ule waliouita msimamo wa chama hapo awali, yote haya yanaelekea kubomoa imani kiasi ambayo watanzania waliweka katika CHADEMA.

Hapa chini ni kile kinahodaiwa kuwa ndio msimamo wa CHADEMA uliotolewa na Dr Slaa kuelezea sakata hili la sasa la Msimamo wa Kamati Kuu Vs Msimamo wao ambao inaonyesha wazi kuwa Dr Slaa anakwepa kukubali kuwa msimamo wa awali ulikuwa tofauti na msimamo wa sasa ambao umetolewa na kamati kuu.

Itakuwa vizuri kama tutajikumbusha kauli hizi hapa chini ambazo zilitolewa hapa Jamiiforum kwa kutumia ID ya Dr Slaa...

Ya kwanza ni hii ambayo ilitolewa siku ya pili baada ya wabunge wa CHADEMA kususia hotuba ya JK yaani tarehe 18/12/2010. Hi ilikuwa kama transcription ya taarifa ya Dr Slaa redioni jioni tu ya siku ile ya kumsusia JK.

Ya pili, ni hii iliyotolewa tena katika ID ya Dr Slaa siku iliyofuata yaani tarehe 19/12/2010.

Jamani. Uungwana nao waweza kuwa mtaji mkubwa kisiasa. Jaribuni hili la kukubalia kuwa tulikosea na sasa tupo tayari kujisahihisha. Hapa sio Kabwe tu atakayekuwa mshindi, Chadema na haswa Dr Slaa atarudisha na kulinda heshima yake lakini sio huu mchezo unaofanyika sasa ambao ni tofauti na fikira zetu kuhusu Dr Slaa.

mama yako anajuza humo kwenye danguro au?acha dharau mtoto
 
Ukweli ni kuwa viongozi wengi wa Chadema wameanza kuchoka kubeba hii tabia ya Dr Slaa kujiona kuwa yeye ndiye muhimu kuliko kitu chochote katika chama kwa sasa. Hata yale maamuzi ya mwanzo kuhusu kususia hotuba ya Kikwete ilikuwa ni kujaribu kumuaccomodate kutokana na kuelewa uchungu wa kushindwa aliokuwa nao. Na hata alipotoa msimamo tofauti na ule aliokubaliana na viongozi wenzake akiwemo Prf Baregu na Freeman Mbowe kuhusu kutotambua Urais wa Kikwete tofauti na makubaliano ya kufanya hivyo baada ya kamati kuu kuridhia bado wengi tuliendelea kumvumilia. Lakini hili la sasa la kuchakachua tamko la Kamati Kuu ambayo ilikuwa wazi kabisa katika maamuzi yake ya kumtambua Kikwete na kuwashurutisha wabunge na viongozi wa chama kushiriki katika shughuli zote za kitaifa baada ya kuhoji ushahidi wa uchakachuaji na kukosa majibu, hili limefanya wengi tuanza kukosa uvumilivu na Kiongozi wetu huyu ambaye wengi tunamthamini mno. Tunashukuru kuwa ingawa Mwenyekiti ana mambo yake mengi tunayoshindwa kuyaelewa lakini katika hili alisimama kidete kuhoji upotoshaji wa Dr Slaa katika Kamati Kuu ingawa alijuwa kuwa msimamo tofauti na ule wa mwanzo ungemnasua Zitto katika mtego ulioelekea kufanikiwa wakati huo kama kusingekuwa na mabadiliko ya msimamo wa chama.
 
pole umefanya kazi nzito isiyo na manufaa, umedesa vizuri ila hitimisho linaonyesha akili yako ilpoishia hivyo sikulaumu sana Kamrade
 
Ukweli ni kuwa viongozi wengi wa Chadema wameanza kuchoka kubeba hii tabia ya Dr Slaa kujiona kuwa yeye ndiye muhimu kuliko kitu chochote katika chama kwa sasa. Hata yale maamuzi ya mwanzo kuhusu kususia hotuba ya Kikwete ilikuwa ni kujaribu kumuaccomodate kutokana na kuelewa uchungu wa kushindwa aliokuwa nao. Na hata alipotoa msimamo tofauti na ule aliokubaliana na viongozi wenzake akiwemo Prf Baregu na Freeman Mbowe kuhusu kutotambua Urais wa Kikwete tofauti na makubaliano ya kufanya hivyo baada ya kamati kuu kuridhia bado wengi tuliendelea kumvumilia. Lakini hili la sasa la kuchakachua tamko la Kamati Kuu ambayo ilikuwa wazi kabisa katika maamuzi yake ya kumtambua Kikwete na kuwashurutisha wabunge na viongozi wa chama kushiriki katika shughuli zote za kitaifa baada ya kuhoji ushahidi wa uchakachuaji na kukosa majibu, hili limefanya wengi tuanza kukosa uvumilivu na Kiongozi wetu huyu ambaye wengi tunamthamini mno. Tunashukuru kuwa ingawa Mwenyekiti ana mambo yake mengi tunayoshindwa kuyaelewa lakini katika hili alisimama kidete kuhoji upotoshaji wa Dr Slaa katika Kamati Kuu ingawa alijuwa kuwa msimamo tofauti na ule wa mwanzo ungemnasua Zitto katika mtego ulioelekea kufanikiwa wakati huo kama kusingekuwa na mabadiliko ya msimamo wa chama.
ungetutajia hao viongozi tungekulewa zaidi vinginevyo tunajua umejiandikisha humu karibuni ili kuja kumsafisha Zitto mwambie Zitto akubali makosa aendeleze chama aache kuja kuwatuma kwa kusingizia Dr Slaa amechokwa na viongozi wenzake maneno yako hayana tija hata ukitoka UWT
 
Hi tabia ya wapenzi wa CDM kukwepa ukweli wa hali ya mbambo ndani ya chama kwa kusingizia maadui wenu wa ndani ama wa nje sio tu itadumaza mafanikio ya CDM lakini kuna hatari ya chama hiki kubeba haya mapungufu hadi hapo watanzania waliochoka na matatizo ya CCM kuamua kuwapa nchi na hivyo Tanzania kuwa chini ya utawala uliojaa mapungufu ambayo yanaweza kuwa na athari kuliko hata haya mapungufu ya CCM ambayo wengi tumeanza kuyazoea na kuyakubalia kama sehemu ya utaifa wetu.

Niliamua kuandika hii posti ili kujaribu kumfungua macho Dr Slaa na timu nzima ya uongozi wa Chadema kwa faidaa ya chama lakini zaidi kwa faida ya nchi yetu. Lakini inaelekea kuwa itachukua muda kwao kuweza kufungua macho sasa kwani inaonyesha wameazimia kuwa ni siasa za ujanjaujanja tu ndio zenye mtaji wa kuaminika katika jitihada zao kisiasa ingawa nijuavyo huo ni mtaji wa muda tu.

Wanachadema lazima muamuke katika usingizi huu wa ushindi na mtambue kuwa kamwe watanzania hawataendelea kuamini katika siasa za kutupia lawama wengine kila mnapokosea kwani kama mnavyodai, watanzania sio watu wa kudanganyika milele amina. Hata huyo Julius Nyerere hatujawahi kumuamini milele amina.
 
mama yako anajuza humo kwenye danguro au?acha dharau mtoto

Yawezekana nikawa na umri kuliko wa wazazi wako. Sidhani kama mtoto anaweza kung'amua mapungufu kama haya niliyonyesha hapo juu. Kumbuka kuwa sio kila mtu anachukulia siasa kishabiki hivyo kuacha kuona contradictions za wanasiasa wetu haswa wale mapungufu yao yanaweza kutishia mustakabali wa nchi yetu.
 
kamarade

kuna usemi usemao kama mtu hataki muache, kwa hili majority ya waliochangia hawataki ushauri wako... kwahiyo wewe tulia shika hamsini zako uangalie ustaarabu mwingine
 
[SIZE="2" said:
Hivyo kilichotokea Bungeni ni utekelezaji wa maamuzi ya Chama hadi pale ngazi za juu za Chama zitakapobariki au kubadilisha msimamo huo[/SIZE]

Hivi huyu hata hii kauli hakuisoma? au ana lake jambo?
 
Hata Dikteta Hitler alikuwa ni kiongozi,pia Iddi Amin.Kwa hilo hata JK ni kiongozi
 
Kama watu mmekosa cha kujadili kalimeni...Mnaacha kuzungumzia issue critical kama za umeme nk mnaendeleza udaku????????
 
Hi tabia ya wapenzi wa CDM kukwepa ukweli wa hali ya mbambo ndani ya chama kwa kusingizia maadui wenu wa ndani ama wa nje sio tu itadumaza mafanikio ya CDM lakini kuna hatari ya chama hiki kubeba haya mapungufu hadi hapo watanzania waliochoka na matatizo ya CCM kuamua kuwapa nchi na hivyo Tanzania kuwa chini ya utawala uliojaa mapungufu ambayo yanaweza kuwa na athari kuliko hata haya mapungufu ya CCM ambayo wengi tumeanza kuyazoea na kuyakubalia kama sehemu ya utaifa wetu.

Niliamua kuandika hii posti ili kujaribu kumfungua macho Dr Slaa na timu nzima ya uongozi wa Chadema kwa faidaa ya chama lakini zaidi kwa faida ya nchi yetu. Lakini inaelekea kuwa itachukua muda kwao kuweza kufungua macho sasa kwani inaonyesha wameazimia kuwa ni siasa za ujanjaujanja tu ndio zenye mtaji wa kuaminika katika jitihada zao kisiasa ingawa nijuavyo huo ni mtaji wa muda tu.

Wanachadema lazima muamuke katika usingizi huu wa ushindi na mtambue kuwa kamwe watanzania hawataendelea kuamini katika siasa za kutupia lawama wengine kila mnapokosea kwani kama mnavyodai, watanzania sio watu wa kudanganyika milele amina. Hata huyo Julius Nyerere hatujawahi kumuamini milele amina.
Mbona interest yako iko kwa Chadema tuu na Dr Slaa,kwa nini utake kuwafumbua macho wafuasi wa Chadema ,kwenye mambo ambayo wao wanayafahamu vyama vingapi vimeandikishwa ndio maana tunakuona wewe ni mzandiki mwenye mawazo finyu unayedhani watu kuwa na itikadi nyingine za vyama vya siasa sio wananchi wa Tanganyika,mawazo potofu munapotaka watu wakafanyie siasa msituni tupingane kwa hoja lakini sio kwa personalities za watu ,sisi wafuasi wa Chadema na viongozi pia bado tuna imani na DR Slaa daktari wa kweli
 
DENYO YOU ARE VERY RIGHT, PEOPLE LIKE KAMARADE HAWATUFAI.
KAMARADE JARIBU KUJIFAFANUA ZAIDI WATU WAKUELEWE.ULICHOKIANZISHA MBONA UNASHINDWA HATA KUKIFAFANUA KWA MAPANA YAKE ?????:teeth::teeth:
 
Back
Top Bottom