Dr Slaa jaribu UKWELI na UUNGWANA utakusaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa jaribu UKWELI na UUNGWANA utakusaidia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMARADE, Dec 18, 2010.

 1. K

  KAMARADE Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  [FONT=&quot]Wote tunajua kuwa moja ya sababu kubwa ya watanzania wengi hasa wale wenye upeo wa kiasi fulani kuhusu siasa zetu na historia ya harakati za demokrasia ya vyama vingi hadi sasa kushindwa kuamini katika ukombozi wa CHADEMA ni sura ya chama hicho inayowakilishwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

  Kwa mtazamoa wa wengi wajuvi wa siasa zetu lakini hata wale wengine wasio na kujua sana, Freeman Mbowe si mwanasiasa bali mjasiria mali ambaye kwake siasa ni mtaji wa biashara zake. Lakini zaidi biashara zake hasa lile danguro la Mbowe na baadae Bilicannas, ni mzigo mkubwa kwa Chadema katika jitihada zake za kujenga imani miongoni mwa watanzania wenye nia ya dhati ya kutaka kuona tunakuwa na MBADALA BORA utakaoweza kuondoa na kutufanya tusahau HISTORIA mbaya ambayo CCM imetupitisha katika miaka ya hivi karibuni.


  [/FONT] [FONT=&quot]Hata hivyo moja ya vitu vilivyokuwa vinatupa imani kwa kiasi na CHADEMA ni kuwepo kwa mtu kama Dr Slaa ambaye wengi tulikuwa tunadhani kuwa ni mtu muungwana na muadilifu na pia wa kiasi fulani hasa upande wa vijana ni umahiri wa wabunge wake vijana wakiongozwa na Zitto Kabwe.

  [/FONT] [FONT=&quot]Wote hawa walikuwa nguzo muhimu za imani ya watanzania kwa CHADEMA. Nasikitika kusema kuwa tangia uchaguzi uliopita kuanza, nguzo hizi zimeanza ama kuregea ama kubomoka kabisa.

  [/FONT] [FONT=&quot]Ukianzia baadhi ya matamshi ya Dr Slaa wakati uchaguzi, Sakata ama kashfa ya hawara ama mke wa mtu, ukaja hoja za kutomtambua rais bila ya kutoa ama kuonyesha ushahidi wa kutosha na sasa haya yanayoaandikwa kuhusu Zitto Kabwe kwa upande mmoja na kauli za Dr Slaa zinazojaribu kukwepa ukweli kuwa msimamo wa Kamati Kuu ya Chadema ni tofauti na ule waliouita msimamo wa chama hapo awali, yote haya yanaelekea kubomoa imani kiasi ambayo watanzania waliweka katika CHADEMA.

  [/FONT] [FONT=&quot]Hapa chini ni kile kinahodaiwa kuwa ndio msimamo wa CHADEMA uliotolewa na Dr Slaa kuelezea sakata hili la sasa la Msimamo wa Kamati Kuu Vs Msimamo wao ambao inaonyesha wazi kuwa Dr Slaa anakwepa kukubali kuwa msimamo wa awali ulikuwa tofauti na msimamo wa sasa ambao umetolewa na kamati kuu.[/FONT]


  [FONT=&quot]


  Itakuwa vizuri kama tutajikumbusha kauli hizi hapa chini ambazo zilitolewa hapa Jamiiforum kwa kutumia ID ya Dr Slaa...

  Ya kwanza ni hii ambayo ilitolewa siku ya pili baada ya wabunge wa CHADEMA kususia hotuba ya JK yaani tarehe 18/12/2010. Hi ilikuwa kama transcription ya taarifa ya Dr Slaa redioni jioni tu ya siku ile ya kumsusia JK.

  Ya pili, ni hii iliyotolewa tena katika ID ya Dr Slaa siku iliyofuata yaani tarehe 19/12/2010.  [/FONT][FONT=&quot]

  [/FONT]
  Jamani. Uungwana nao waweza kuwa mtaji mkubwa kisiasa. Jaribuni hili la kukubalia kuwa tulikosea na sasa tupo tayari kujisahihisha. Hapa sio Kabwe tu atakayekuwa mshindi, Chadema na haswa Dr Slaa atarudisha na kulinda heshima yake lakini sio huu mchezo unaofanyika sasa ambao ni tofauti na fikira zetu kuhusu Dr Slaa.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu be panoramic you have no justifications or what soever...... and if i will say and prove that your wife is a traitor..... would you write all this blatant propaganda
   
 3. W

  We can JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I can read your minds..... they can, at least based on these statements you have written be hardly trusted.
   
 4. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mkuu, waingereza husema 'You are trying too hard' Kwa kuweka post ndefu haina maana ndo ushawishi. Naomba utumie logical flow na kuquote sehemu za tamko unazotaka kutumia kama uthbitisho wa hoja yako.
  Vinginevyo machoni kwangu, nasoma tamko na sioni mabadiliko ktk msimamo, tofauti ni msamiati tu.
  Ni hayo tu!
   
 5. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thanks for this long post, I wish we could also track statements tata za wakuu wetu ambazo in one way or another zimetugharimu...for Dr Slaa,I never expected an angel out of him, even Obama was haunted by his various speeches he made some contradicting and all, the main point was none was at the expense za wapiga kura, so Dr Slaa pls come in and contribute to the thread..btw I still support him until when he loses my vote of confidence...
   
 6. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  :pray2: Napenda nisichangie chochote.. kwani ndio sitaeleweka kabisaa!!!
   
 7. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kamarade,
  Nikisema akili yako ina matatizo utanishangaa ?
   
 8. F

  Froida JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Watu wanavunjwa mbavu huko Arusha we unakuja na posti za kijinga kutaka kumsafisha mtu hujaona wajasirimali duniani wakawa wnasiasa mbona husemi Lowasa ,makamba JK,Rostam,Mramba Yona Chenge Abooud,Diallo ,Ridhiwani,salma,Bashe,beno na wengi wengi tu wote hao huwaoni ila Mbowe katufute glasi ya mvinyo ulale usingizi mnono usitusumbue hapa
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kamarade,

  Thank you for such a long and difficult post to follow!!!

  Binafsi sioni chochote kibaya au unafiki au kigeugeu cha dr. slaa... ninachoona ni ukweli na mambo yanavyoendelea with time. this is the person i still admire kwani kila usomacho hapo ni mwendelezo wa tukio fulani

  sitegemei slaa awe mpumbavu na chadema wawe wapumbavu wa kungangania kila walichosema tar 2 november; hayo yatakua si maisha na kwa ujumla jamii itakua jiwe

  ningependa kulinganisha ukomavu huu wa slaa na chadema na ule wa rais kikwete wa kusema kigoma itakua dubai, kuahidi uwanja wa ndege shinyanga na bila kuwa realistic na time bound kwenye ahadi na objectives zake za kusadikika

  given a chance, i would say JAKAYA, JARIBU UKWELI NA UUNGWANA, UTAKUASIDIA"
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Topiki ndefu, ngoja nipumzike nitarejea!
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ahsante sana..... Silvio bellusconi... Hariri`s of Lebanon... the kings of jordan..Tokyo Sikwelle of South Africa......
   
 12. A

  Aikaotana Senior Member

  #12
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usishangae huyo ndiye kiongozi makini kwa defn ya mashabiki mabubusa wa chadema
   
 13. D

  DENYO JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MKUU KAMARADE NI BORA KWANZA WEWE UANZE KUJARIBU KUWA MKWELI NA MUNGWANA KABLA YA KUATTACK WATU WENYE CREDIBILITY ZAO BILA KUWA TAFITI SAHIHI. SASA KABLA SIJAONGOLEA CHADEMA, MBOWE, SLAA NA ZITO NAOMBA NIKUPE USHAURI HUU.

  1. NI VEMA KUFANYA UTUMWA WAKO VIZURI BAADA YA KUWASAFISHA KWANZA WALIOKUTUMA-UKIZUNGUMZIA UCHAFU HAKUNA WACHAFU KAMA SISIEM UKIANZIA NA WAKUU WAKE AMBAO WANAVIMADA KILA KONA YA NCHI NA NJE YA NCHI, HAPO HATUONGELEI KASHFA ZA BABU SEYA, LIYUMBA NA WENGINE WENGI WANAOTAFUNA MALI ZA NCHI KWA SABABU TUU NI VIBURUDISHO VYA WALIOKUTUMA.

  2. NI VEMA KUFANYA UTUMWA WAKO KWA KUNAGALIA KWANZA JE KUNA MABEPARI WANGAPI NDANI YA SISIEM? ANZA NA LOWASA, MKWERE NA MAFISADI WOTE AMBAO WAMEPATA MALI ZAO KWA KUWANYONYA WATANZANIA-LAKINI BADO NI WANASISIASA NA WANAONGOZA NCHI -HIVI KUNA MTU MCHAFU NA MNYONYAJI WA MALI YA NCHI HII KAMA ROSTA? HEBU ANGALIA ILE CC YA SISIEM UTUAMBIE NANI SIYO BEBERU? UKIANZIA KINANNNNNNN SEMBSE MBOWE AMBAYE NI KWELI NI MJASILIAMALI HALALI BILA KUHUJUMU UCHUMI???

  3. CHADEMA NI TAASISI NA NI MWIBA KWA MASULTANI NA WATAWALA MADIKITETA ITAENDELEZA MOTTO WAKE. KWA SASA CHADEMA INAONGOZWA NA KAMATI KUU CHINI YA KIONGOZI FREEMAN MBOWE KAMA MWENYEKITI NA SLAA(PhD) KATIBU MKUU. HAWA NI VIONGOZI PIA BINADAMU WANAKASORO ZAO NI KWA KUELEWA HILO KAMATI KUU IPO, KATIBA YA CHAMA IPO NA KANUNI MBALIMBALI-HOJA ZAKO KWA INDIVIDUAL IS BASELESS KAJIPANGE UPYA.

  3. UKITAFUTA MKWELI NA MUNGWANA NCHI HII KWA WAKATI HUU HUTASITA KUMPATA SLAA(PhD) AKIONGOZA -AMEEPUSHA VURUGU KWA KUCHAKACHULIWA NA KUAMUA KUTUMIA NJIA SAHIHI -JE KUNA MUNGWNA ZAIDI YA HUYO??? MTAJE WEWE-NI MKWELI ALISEMA KUNA WIZI BOT -EPA IKATHIBITIKA, ALISEMA KUNA WIZI TANESCO=RICHMOND -IKATHIBITIKA, ALIWATAJA WEZI 11 MAPAPA WA WIZI WA MALI YA UMMA-HAKUNA ALIYEENDA MAHAKAMANI PAMOJA NA MWENYEKITI WA CCM, NA VIGOGO AMBAO WENGINE WAPO MAHAKAMNI, JE KUNA MKWELI ZAIDI YA HUYO??? MTAJE WEWE WALIMFUNGULIA KESI YA MKE WA MTU MPAKA LEO YUKO NAYE NA WAMENYWEA -HIVI UNATAKA MKWELI GANI????? ACHA UNAFIKI

  4. CHADEMA NI TAASISI NA SIYO YA MTU MMOJA -HAKUNA AMBAYE YUKO JUU YA SHERIA-ZITTO AMEKIKOSEA CHAMA NA WABUNGE WENZIE AMEKIUKA KANUNI ZA CHAMA KIONGOZI -AMESHUGULIKIWA KIKANUNI KWANINI TUTAFUTE MCHAWI??? KILA MTU ANAJUA KOSA LAKE NA HATA YEYE MWENYEWE ANAJUA -BORA UKAJIPANGE UPYA KAMARADE USIVAMIE HOVYOHOVYO UTAUMBUKA MAANA YAKE TUTASEMA KILE TUNACHOJUA KWA UKWELI BILA MSUKUMO WA FIKRA CHANYA SIYO HASI KAMA WAKO.

  PAMOJA TUTAIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI NA KUANZA UPYA.

  SASA NIKUJIBU HOJA ZAKO;
  1. SLAA (PhD) NA CHADEMA HAWAWAHI KUBADILI MSIMAMO WEWE NDIO UNAUBADILI -UWE GREAT THINKER, WANASEMA KURA ZILICHAKACHULIWA NA ILI KUTHIBITISHA HAYO SLAA AMETAJA WAHUSIKA MBONA HAWAJAMPLELEKA MAHAKAMNI KAMA ANASEMA UONGO -MANAKE ATAKUWA ANAVUNJA KATIBA, SLAA KAWAAMBIA NA AKAWAOMBA WAENDE MAHAKAMANI-CHADEMA INAAMNI NA INAUSHAHIDI KURA ZILICHACHACHULIWA NA KWA KUWA KATIBA IMEZUIA KUHOJA NJIA NYINGINE ILIKUWA NI KUFANYA KILE -
   
 14. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,205
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Hujaweza kuoainisha katika quotetion ulizonukuu tofauti za misimamo ya wabunge na cc ya chadema.
  Halafu kwa jinsi ulivyoanza na maelezo yalio ni mawazo yako inadhihirisha wewe kama sio kilaza wa ccm ni mwathirika wa kundi la kale la kina Kafulila ama mlamba viatu vya mh Zitto.
  Sioni haja ya great thinkers kujisumbua kufanyia kazi propaganda zilizo siasa za maji taka ulizotumbukiza hapa wakati huu wa amani (uchaguzi umekwisha mamisuli ya nini)?
  .
   
 15. D

  DENYO JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MKUU KAMARADE NI BORA KWANZA WEWE UANZE KUJARIBU KUWA MKWELI NA MUNGWANA KABLA YA KUATTACK WATU WENYE CREDIBILITY ZAO PASIPOKUWA NA TAFITI SAHIHI.

  SASA KABLA SIJAONGELEA CHADEMA, MBOWE, SLAA NA ZITO NAOMBA NIKUPE USHAURI HUU.

  1. NI VEMA KABLA YA KUFANYA UTUMWA WAKO VIZURI-HAKIKISHA KUWASAFISHA KWANZA WALIOKUTUMA-UKIZUNGUMZIA UCHAFU HAKUNA WACHAFU KAMA SISIEM UKIANZIA NA WAKUU WAKE AMBAO WANAVIMADA KILA KONA YA NCHI NA NJE YA NCHI, HAPO HATUJAONGELEA KASHFA ZA BABU SEYA, LIYUMBA,VIKY NA WENGINE WENGI WANAOTAFUNA MALI ZA NCHI KWA SABABU TUU NI VIBURUDISHO VYA WALIOKUTUMA.

  2. NI VEMA KABLA YA KUFANYA UTUMWA WAKO -KWANZA KUANGALIA JE KUNA MABEPARI WANGAPI WAPO NDANI YA SISIEM? ANZA NA LOWASA, MKWERE NA MAFISADI WOTE AMBAO WAMEPATA MALI ZAO KWA KUWANYONYA WATANZANIA-LAKINI BADO NI WANASISIASA NA WANAONGOZA NCHI -HIVI KUNA MTU MCHAFU NA MNYONYAJI WA MALI YA NCHI HII KAMA ROSTA? HEBU ANGALIA ILE CC YA SISIEM UTUAMBIE NANI SIYO BEBERU? UKIANZIA KINANNNNNNN NA ZANTEL,

  3. CHADEMA NI TAASISI NA NI MWIBA KWA MASULTANI NA WATAWALA MADIKITETA ITAENDELEZA MOTTO WAKE. KWA SASA CHADEMA INAONGOZWA NA KAMATI KUU CHINI YA KIONGOZI FREEMAN MBOWE KAMA MWENYEKITI NA SLAA(PhD) KATIBU MKUU. HAWA NI VIONGOZI PIA BINADAMU WANAKASORO ZAO NI KWA KUELEWA HILO KAMATI KUU IPO, KATIBA YA CHAMA IPO NA KANUNI MBALIMBALI-HOJA ZAKO KWA INDIVIDUAL IS BASELESS KAJIPANGE UPYA.

  3. UKITAFUTA MKWELI NA MUNGWANA NCHI HII KWA WAKATI HUU HUTASITA KUMPATA SLAA(PhD) AKIONGOZA -AMEEPUSHA VURUGU BAADA YA KUCHAKACHULIWA KWA MAPINDUZI YA NEC NA KUAMUA KUTUMIA NJIA SAHIHI -JE KUNA MUNGWNA ZAIDI YA HUYO??? MTAJE WEWE- DR SLAA NI MKWELI ALISEMA KUNA WIZI BOT -EPA IKATHIBITIKA, ALISEMA KUNA WIZI TANESCO=RICHMOND -IKATHIBITIKA, ALIWATAJA WEZI 11 MAPAPA WA WIZI WA MALI YA UMMA-HAKUNA ALIYEENDA MAHAKAMANI PAMOJA NA MWENYEKITI WA CCM, NA VIGOGO AMBAO WENGINE WAPO MAHAKAMNI, JE KUNA MKWELI ZAIDI YA HUYO??? MTAJE WEWE WALIMFUNGULIA KESI YA MKE WA MTU MPAKA LEO YUKO NAYE NA WAMENYWEA -HIVI UNATAKA MKWELI GANI????? ACHA UNAFIKI

  4. CHADEMA NI TAASISI NA SIYO YA MTU MMOJA -HAKUNA AMBAYE YUKO JUU YA SHERIA-ZITTO AMEKIKOSEA CHAMA NA WABUNGE WENZIE AMEKIUKA KANUNI ZA CHAMA KIONGOZI -AMESHUGULIKIWA KIKANUNI KWANINI TUTAFUTE MCHAWI??? KILA MTU ANAJUA KOSA LAKE NA HATA YEYE MWENYEWE ANAJUA -BORA UKAJIPANGE UPYA KAMARADE USIVAMIE HOVYOHOVYO UTAUMBUKA MAANA YAKE TUTASEMA KILE TUNACHOJUA KWA UKWELI KWA MSUKUMO WA FIKRA CHANYA SIYO HASI KAMA WAKO.

  PAMOJA TUTAIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI NA KUANZA UPYA.

  SASA NIKUJIBU HOJA ZAKO;
  1. SLAA (PhD) NA CHADEMA HAWAWAHI KUBADILI MSIMAMO WEWE NDIO UNAUBADILI -UWE GREAT THINKER, WANASEMA KURA ZILICHAKACHULIWA NA ILI KUTHIBITISHA HAYO SLAA AMETAJA WAHUSIKA MBONA HAWAJAMPLELEKA MAHAKAMNI KAMA ANASEMA UONGO -MANAKE ATAKUWA ANAVUNJA KATIBA, SLAA KAWAAMBIA NA AKAWAOMBA WAENDE MAHAKAMANI-CHADEMA INAAMNI NA INAUSHAHIDI KURA ZILICHACHACHULIWA NA KWA KUWA KATIBA IMEZUIA KUHOJA NJIA NYINGINE ILIKUWA NI KUFANYA KILE -
   
 16. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  non-sense...

  1. Hivi ukitaka kuwa mjasiriamali kwenye nchi hii utachagua nini kati ya CCM na CHADEMA??
  2. Kama Mbowe hafai je kukaa pembeni ili Slaa agombee uraisi na CHADEMA wapate wabunge wengi... weka ukinzani hapo??? Angalia CUF wanatoka kura 1.3mil kwenda laki 6... Who is the best hapa katika vyama vyoote nchini???
  3. Unasema SLaa ni geugeu.. Hivi kwwa akili yako unajua maana ya msimamo?? Huko si kubadili msimamo bali ni mtego kwa CCM na sasa wanaweweseka na katiba mpya na tume Huru... Huoni kama ni CHADEMA yooote hayo...
  4. Unasema Mbowe ana Bilicanas hivi unajua JK ana hoteli nchi ipi?? Mkapa jee? Lowassa Je?? Ridhiwani je?? Karamagi je?? Makamba je?? Rubantizigwa je??? Chenge je?? Sitta je?? wengine je?? Hvi unajua Anna Makinda alikopa sh ngapi benki na kazipeleka wapi??
  Hivi unajua pale serengeti kuna Hoteli ya mkuu imejengwa sehemu isiyoruhusiwa kabisa?? Hivi unafikiri TICTS wanapodai hawataki mpinzani kwenye biashar.. Jeuri wnaapata wapi?? Hivi unawajua wamiliki wa VODACOM tz???

  5. Mimi ngoja nikae pembeni tukuchekeeee weee mpaka tuchoke... Hivi unajua adhabu yakusaliti CCM kawauulize wenzako....

  hahhahahhahahhahhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaa mwehu mwehu ni mwehu tuu labda angeumbwa miguu mitatu tumjue huku mitaaani
   
 17. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kazi kubuuuubwa
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kamarade, umeeleza vizuri na kinaga ubaga. Anaejifanya hajakuelewa huyo hataki tu kukuelewa.

  Uliyoandika ni ukweli mtupu na anaepinga ni kwa jazba tu na kwa kuwa hataki kuamini kuwa at the end ukweli ndio siku zote una prevail.
   
 19. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Siwezi kukubali mpuuzi akimshauri mweledi. Unamwambia ajaribu ujinga unaosema kwako ni Uungwana wakati wewe unatumia maneno ya matusi kwa wakuu. Kumbuka ho ndo viongozi wako wa gov.2015. Acha matusi waheshimu wakubwa!
   
 20. K

  Kiwete JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2010
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Hata Dikteta Hitler alikuwa ni kiongozi,pia Iddi Amin.Kwa hilo hata JK ni kiongozi
   
Loading...