Dr. Slaa is officially jobless

Dr. Slaa is officially jobless

Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.

Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.

Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.

Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.

Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.

Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.

Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?

Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.

Acha unafiki mkuu,huyo jamaa si mkurugenzi wa hospitali fulani kubwa hapa jijijni?
 
naipenda jamii forum sana wazo la kuchangiwa pia ni muhimu ndugu yangu chama now hakina katibu mkuu kwa sasa na mbowe kasimamisha mishahara yote:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Aje mwenyewe Dr. W. Slaa aseme mwenyewe sio kumsemea.
 
Mbona mlipomhujumu kura zake za uraisi 2010 hukujitokeza kumtetea??

Wakati mnam persecute na kumfanyia kilema cha maisha hamkujua kwamba alikuwa anatetea misimamo ya kweli kwa manufaa ya taifa mliloliangamiza? Leo kipi kimetokea hadi mnaona Dr. Slaa ni mzuri sana na anatakiwa kuenziwwa kwa msimamo na mchango wake kwa ukombozi aw taifa? Ccm ni mapunguwani!.

Mnamuenzi vipi Dr. Slaa kwa anayoyaamini na kuyasimamia kama siyo unafiki?

Dr. Slaa anachukia sana unanafiki na ufisadi.
Mmefanya nini dhidi ya mafisadi yaliyokithiri ccm yanayoendelea kufasidi nchi kwa mifumo mbali mbali kuanzia Richmond, Epa, Meremeta, Kagoda, Dowans, Escrow, REA, Mtambo wa Gas, ujenzi wa mabarabara nk?

Dr. Slaa anaamini katika rasimu ya katiba ya Judge Warioba, mnamuenzi vipi katika hili kama kweli mnaukweli ndani yenu?

Dr. Slaa anaamini katika ukombozi kwa njia ya mabadiliko, mnaenzi vipi mabadiliko wanayoyata Watanzania zaidi ya kujiapiza kuongoza nchi kwa udictator na mauaji ya Watanzania wasio na hatia?

Kama unamasikio ya kusikia na macho ya kuona, bila shaka utakumbuka siku ulipozaliwa na siku utakapokufa na hivyo mara moja ninategemea utaanza kuwa binadamu.

Mkuu, haya ni mambo ambayo wewe unayemkubali Dr. Slaa ulipaswa kusimamia kidete kuhakikisha hadhalilishwi kwa kuendelea kuyapigania. Lugha ile ya Dr. Slaa usikubali ipotee na pia usikubali Dr. Slaa adhalilishwe kwa sababu ya malipo ya posho.

You need to stand up and "fight" for what you believe in. Usikubali kupelekeshwa na waliouza Chama...
 
Hata wewe Iblisi, unaweza kusema hivyo. Kuna mbea zaidi yako, au umesahau ulivyo adhirishwa Na Dr Slaa juu ya umbea wako kumhusu yeye. Ama kweli wewe huna haya wala aibu. Stone face
Hakuna haja yoyote ya kuitana ibilisi. Siasa sio chuki ndg.
 
Huyu mzee huu ni wakati hatari sana ambao kajitengenezea mwenyewe
Akirukia upande wa pili kama Lipumba atajipoteza
Akiteleza na kuanguka ndio haamki tena
Money comes money goes
Pia wanawake ni mama zetu but trust no one toka bustan ya Eden kwa Eva hadi Samson na Delila
 
Dr. Slaa kawasemea watanzania kwa muda mrefu, kwanini uone uzito kumsemea pale anapokuwa muhitaji?

Tusimsemee ya uzushi. Kwa sababu hajasema kama kafukuzwa au kaachia ngazi. Kaamua yeye mwenyewe kwa utashi wake kukaa kimya. Hivyo tumuache na maamuzi yake.
 
Hivi hatuoni hata aibu kumzungumzia mtu mzima ambaye kaamua mwenyewe kukaa kimya? Watanzania tuache siasa za kimajungu na umbea. Ukimwona kobe kainama ujue anatunga sheria. Hivyo Dr. Aachwe kusemwa semwa kwa uzushi hadi mwenyewe atakapo amua kutoa misimamo yake. Na tutaheshimu maamuzi na msimamo wake.
 
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.

Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.

Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.

Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.

Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.

Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.

Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?

Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Sometimes unapoandika jambo "USHIRIKISHE UBONGO".
 
Tusimsemee ya uzushi. Kwa sababu hajasema kama kafukuzwa au kaachia ngazi. Kaamua yeye mwenyewe kwa utashi wake kukaa kimya. Hivyo tumuache na maamuzi yake.

Mkuu inaelekea wewe hukusikia alichosema Mbowe.

Kifupi Mbowe kasema Slaa ameachwa na muda na mawimbi. Mtu anayeachwa na muda na mawimbi unaweza kusema kaamua kupumzika? Jamii yetu ijifunze kutokuwa wezi wa fadhila. Mroho wa madaraka anatumia infrasructure aliyojenga Slaa kuhadaa watanzania. Slaa mwenyewe kapigwa kikumbo...
 
Dr kakaa sana kimya bana, aje azungumze tumwelewe!
 
Unaonekana hujaelewa lengo la thread hii. Hatujadili matukio, lengo ni kuhamasisha watu wanaoamini kwenye uwezo wa Dr. Slaa kumpa nguvu ya kunyanyuka. Anyanyuke kwenda wapi? hilo litajibiwa na maarifa na ujuzi wake.

Slaa is defeated. Ameshakubali defeat. Hata hivyo lazima tujiulize, je waliomuunga mkono nao wamekubali defeat? Kama hawajakubali basi waonyeshe kwa vitendo kwa kumnyanyua Slaa aliyeangushwa.

Hili jambo mbona liko wazi? Watu wanajali Tanzania/taifa zaidi kuliko mtu. Walimmuunga mkono Slaa katika msimamo wake kwa maana kwamba kwa pamoja watauondoa mfumo wa serikali iliyodumu madarakani kwa muda mrefu pasi na maslahi mapana kwa wananchi wake.

Walipoona amekuwa na msimamo mwingine ambao wananchi wanahisi hautawafikisha katika malengo yao, ikabidi wamheshimu na kumwacha na kuendelea na harakati zao.
 
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.

Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.

Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.

Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.

Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.

Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.

Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?

Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Katika upinzani wa ukweli, mimi namwamini sana Dr Slaa.
Hanaunafiki wala kumung'uya maneno
He calls a spade a spade.

Hata hivyo afanye uamuzi mgumu, mitandao ya mafisadi anaijua na anajua iliko.
Dr Slaa sema neno awe utaeleweka.
 
kwa umr wake slaa anakula pensheni we nadhan hujui umr wa mtu kuwa jobless'upo darasa la ngapi ze maeco.polo?
 
wanafalsa fa wote maudhui yao huwa kama ya Dr Slaa hakuna kukurupuka basi hulinda kile wanachoamini Dr Slaa alijua kabisa hajaridhishwa na anapaswa kujitafakari lakini kwa werevu na kupenda nchi na wananchi wake ametoa Baraka za yanayoendelea ndani ya ukawa, kwa jinsi alivyo na nguvu kama angelifungua mdomo angelichanganya wafuasi wao na wananchama wao na wananchi kwa ujumla

Sasa kiwavi cha C bada y kupewa bando umerudi hapa ukitegemeaDrSlaaanaymbishwa n miandao TISSwamemwya utakuwa wewe

Haijapata kutoke Mwana siasa anajiaminina naye amnika na jamii ya Tanzaniakama Dr Slaa kukaa kwake kimya kumemjenea heshima iliyotukuka Bravo Dr Slaa
 
Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,

Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!
Naona hausikii Dr.Slaa alishakukataza usimuhusishe na mambo ya Chadema ukome, naona umerudia tena.
 
Mkuu, haya ni mambo ambayo wewe unayemkubali Dr. Slaa ulipaswa kusimamia kidete kuhakikisha hadhalilishwi kwa kuendelea kuyapigania. Lugha ile ya Dr. Slaa usikubali ipotee na pia usikubali Dr. Slaa adhalilishwe kwa sababu ya malipo ya posho.

You need to stand up and "fight" for what you believe in. Usikubali kupelekeshwa na waliouza Chama...

Kwa hiyo wewe ungeona CHADEMA kinaimarika kama kisingekuwa kinapata wageni wa aina mbali mbali?

Nini maana ya mabadiliko kama CHADEMA itakuwa inawakataa watu wanaobadilika kutoka uccm na kujiunga na jeshi la ukombozi wa taifa chini ya UKaWA?

Kitu gani katika misingi ya CHADEMA na UKAWA ambacho wewe unakiona kimekuwa compromised hadi ukaona CHADEMA ina mdhalilisha Dr. Slaa?
 
Kiongozi wetu mshahara anapata na posho kama kawaida we kaa tu na miccm yako nchi inaondoka hii
 
Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,

Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!
Si atakuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni eeh?? Njoo Dr Slaa unogeshe fukuto la siasa nchini.
 
Back
Top Bottom