Dr. Slaa is officially jobless

Dr. Slaa is officially jobless

Mkuu, sidhani kama binadamu mwenye moyo anaweza kuacha kuguswa na kinachomsibu Dr. Slaa. Kama tulivyomhurumia Zitto hatuwezi kuacha kumhurumia Slaa. Lakini huruma pekeyake haitoshi, something more than just huruma needs to be done...

Ubinadamu kwa Slaa kutoka magamba umepatikana lini? Si ndo nyie mlokuwa mnasema Slaa hana sifa ya kuwa rais coz alifukuzwa Upadre? Sasa leo umepatikana vipi ubinadamu au karudi Altareni?
 
Dr slaa alipewa dola million 2.5 na Membe ili wakimbie lowasa lakini baada ya slaa kubaini ile pesa aliyopewa ni pesa haramu ya marehemu Gadafi na balozi alikufa kifo cha utata ili kuficha ushahidi wa mali na mapesa ya marehemu Gadaf.sasa anawaza jinsi ya kufanya, Chadema wamejua kuwa ana pesa nyingi za kununliwa ndiyo maana wamekata mshahara wake.
 
Chukua account namba yake ya benki... peleka kwa mwajiri wako ili mshahara wako uende kwake moja kwa moja...!!
Imekaa vipi hilo wazo...??

Account yake ipo full mapesa ya marehemu Gadafi toka kwa membe ambaye kamnunua ili aweze kumkomoa lowasa.
 
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.

Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.

Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.

Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.

Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.

Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.

Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?

Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
[/

Yuko vizuri, wala hana shida na msaada wa mtu!
 
Am not Team Lowassa lakini kama ufisadi hata Magufuli ni yale yale,Mwenyekiti wenu ni yaleyale!!!!!!!!!!!!!!Mko busy kumnanga Lowassa kwa sasa mlitakiwa mjitahidi kujisafisha ili tuweze kuprove myaongeayo.

Lakini mko busy Lowassa anapenda MADARAKA ,wakati humo ndani ya TEAM yenu ya ushindi 90% wametoa rushwa ili kupata nafasi za kugombea,hawana hata moral authority ya kumnyooshea vidole Lowassa.

Mngekuwa na chembe ya akili mngejitahidi kumnadi Huyo Mwizi/Fisadi mwingine kwa jina la Magufuli muone kama anauzika????

In short CCM=CDM wote mmetuletea WACHAFU.

thread nzima wewe umeonekana ndo mtu wengine nazi tuh! wapi kitufe cha like!
 
Kajitakia mwenyewe.

He needs to read between the Lines atajua kwanini Lowasa kakaribishwa UKAWA kugombea uraisi pamoja na Mapungufu yote aliyo nayo.

Hata tunaomshabikia tunajua sio Msafi ila tunajipa moyo hakuna ushahidi.

Yani mkuu nimefurahi sana jinsi ulivyokuwa honest
 
Back
Top Bottom