Dr. Slaa is officially jobless

Dr. Slaa is officially jobless

Basi mkuu waulize wakatoliki yupo wapi yule Askofu Mtega? Wakikujibu utaielewa 'kazi' ya Padre Slaa na sanaa inayoambatana nayo!

Hata hivyo ingependeza iwapo wafuasi wake wanefanya jambo kuashiria kuwa naye pamoja. Ile kauli kuwa Slaa kaachwa na muda na mawimbi lazima imuumize moyo, sasa kuwa naye kungemfariji na kumpa nguvu mpya.
 
Mbowe awe amepewa bilioni kumi au awe hajapewa Mimi hainihusu, Linalonihusu mimi ni nani wa kumpa kura. ni "fisadi" lowasa wa chama cha mafisadi CHADEMA au "mtakatifu" magufuli wa chama cha wasafi CCM?

Biashara imefanyika mmachame kauza chama mmpango mzima mzee wa hapa kazi...
 
Mwacheni Mzee wa watu apumzike.Tena mtuachie kabisa Mzee wetu apumzike ameijenga CDM mpaka leo tunafaidi matunda ya kazi yake.

Mkuu, ni kweli kuwa amekijenga chama. Ila ni muhimu kujiuliza, je alikijenga chama ili mwenyekiti akiuze kwa mroho wa madaraka? Je, apumzike kwa vile amechoka au kwa vile ameachwa na muda na mawimbi?
 
Mbinu ya lipumba imekwaa kisiki, mmebakia kusubiria ya slaa, dah kila jaribio linagonga mwamba
 
du au mzee nae anapatana sehemu yake ndio arudi!!!???
 
Mbinu ya lipumba imekwaa kisiki, mmebakia kusubiria ya slaa, dah kila jaribio linagonga mwamba

Hakuna mbinu. Slaa anakomolewa kwa kunyimwa posho na mshahara. Kama unamjali stand up and do something..
 
Pole. Utaakuja kuamka tu

ImageUploadedByJamiiForums1440141774.647431.jpg Kati yangu na huyu nani amelala
 
Susuviri Tukiangalia msafi ndio agombee basi kwa Tanzania Hakuna aliye msafi hata wewe sio msafi.
Mkuu JK ni mtuhumiwa kwa miaka 8 sasa, na tuhuma zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku lkn kaendelea kukaa ikulu huku akitetewa.
 
Last edited by a moderator:
ni heshima kwa mungu kumzomea fisadi kama lowassa by Godbless lemah

Am not Team Lowassa lakini kama ufisadi hata Magufuli ni yale yale,Mwenyekiti wenu ni yaleyale!!!!!!!!!!!!!!Mko busy kumnanga Lowassa kwa sasa mlitakiwa mjitahidi kujisafisha ili tuweze kuprove myaongeayo.

Lakini mko busy Lowassa anapenda MADARAKA ,wakati humo ndani ya TEAM yenu ya ushindi 90% wametoa rushwa ili kupata nafasi za kugombea,hawana hata moral authority ya kumnyooshea vidole Lowassa.

Mngekuwa na chembe ya akili mngejitahidi kumnadi Huyo Mwizi/Fisadi mwingine kwa jina la Magufuli muone kama anauzika????

In short CCM=CDM wote mmetuletea WACHAFU.
 
Mmeshaambiwa yuko kwenye mapumziko kwa vile pamoja na kufanya kazi nyingi sana hajapumzika kwa muda mrefu. Kimsingi mtu ambaye hajapumzika kwa muda mrefu anaweza hata kufanya maamuzi yasiyo sahihi kutokana na uchovu.

Tatizo la wengi humu hawamjui Dr Slaa kuwa hata kama yuko mapumzikoni anatumia muda huo kujisomea mambo mbali mbali.

Sijui hawa ccm walitaka akiwa mapumziko basi ajishirikishe na mambo ya kitoto kitoto? Haya yana mwenyewe bwana!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1440142148.447174.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1440142148.447174.jpg
    17.6 KB · Views: 283
  • ImageUploadedByJamiiForums1440142169.721316.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1440142169.721316.jpg
    17 KB · Views: 279
Mbona mlipomhujumu kura zake za uraisi 2010 hukujitokeza kumtetea??

Wakati mnam persecute na kumfanyia kilema cha maisha hamkujua kwamba alikuwa anatetea misimamo ya kweli kwa manufaa ya taifa mliloliangamiza? Leo kipi kimetokea hadi mnaona Dr. Slaa ni mzuri sana na anatakiwa kuenziwwa kwa msimamo na mchango wake kwa ukombozi aw taifa? Ccm ni mapunguwani!.

Mnamuenzi vipi Dr. Slaa kwa anayoyaamini na kuyasimamia kama siyo unafiki?

Dr. Slaa anachukia sana unanafiki na ufisadi.
Mmefanya nini dhidi ya mafisadi yaliyokithiri ccm yanayoendelea kufasidi nchi kwa mifumo mbali mbali kuanzia Richmond, Epa, Meremeta, Kagoda, Dowans, Escrow, REA, Mtambo wa Gas, ujenzi wa mabarabara nk?


Dr. Slaa anaamini katika rasimu ya katiba ya Judge Warioba, mnamuenzi vipi katika hili kama kweli mnaukweli ndani yenu?

Dr. Slaa anaamini katika ukombozi kwa njia ya mabadiliko, mnaenzi vipi mabadiliko wanayoyata Watanzania zaidi ya kujiapiza kuongoza nchi kwa udictator na mauaji ya Watanzania wasio na hatia?

Kama unamasikio ya kusikia na macho ya kuona, bila shaka utakumbuka siku ulipozaliwa na siku utakapokufa na hivyo mara moja ninategemea utaanza kuwa binadamu.




Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.

Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.

Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.

Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.

Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.

Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.

Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?

Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
 
Mkuu, ni kweli kuwa amekijenga chama. Ila ni muhimu kujiuliza, je alikijenga chama ili mwenyekiti akiuze kwa mroho wa madaraka? Je, apumzike kwa vile amechoka au kwa vile ameachwa na muda na mawimbi?

Una FACTS na EVIDENCE kama kimeuzwa???If not KEEP QUITE

Kama uroho wa madaraka,mbona hamuachi kugombea nafasi hizo mkaziacha ili UPINZANI uzichukue???KAma hamuwezi kuacha kugombea nafasi za uongozi basi hata nyie ni WAROHO wa MADARAKA over 50years mmetawala Tanzania,Nchi ni afadhali wakati wa MJERUMANI leo mnakuja kutuambia nini?

Acheni hizo hakuna mwanasiasa asiyetaka kutawala.Ila Acheni propoganda zenu chafu,na pia mwambieni mwenyekiti wenu a-mind lugha zake zina ukakasi.

Huyo Magufuli tunajua UCHAFU wake kuliko mnavyofikiri.

Muuzaji wa nyumba za Serikali na nyingine kahonga mahawara.

Mnunuaji wa Meli ya mwaka 1978 kwa bilioni 8,wakati Azam kanunua meli ya mwaka 2015 yenye Capacity kubwa kuliko ya huyo Makomeo wenu mnayemuita msafi kwa bilioni 6 tu.

Mlipaji wa wakandarasi hewa bilioni 258,zilienda wapi??? atueleze nani alilipa na nani aliruhusu zilipwe.

Huyu ambaye barabara zake zote ziko chini ya kiwango,mvua moja tu barabara zote mpya hazipitiki!!!!!!!!!!!!Shame on you CCM pamoja na Magufuli wenu.

Msitufanye watanzania wajinga.Kajidanganyeni nyie huko.

Watoto wa watu wazito ndiyo mnaopewa vyeo na Ubunge,hebu check,Mtoto wa Bulembo,Tarishi,Masaburi,Makamba,Kikwete...Mko busy kuwanyooshea upinzani safisheni choo chenu kwanza ndiyo muangalie choo cha wapinzani.
 
Am not Team Lowassa lakini kama ufisadi hata Magufuli ni yale yale,Mwenyekiti wenu ni yaleyale!!!!!!!!!!!!!!Mko busy kumnanga Lowassa kwa sasa mlitakiwa mjitahidi kujisafisha ili tuweze kuprove myaongeayo.

Lakini mko busy Lowassa anapenda MADARAKA ,wakati humo ndani ya TEAM yenu ya ushindi 90% wametoa rushwa ili kupata nafasi za kugombea,hawana hata moral authority ya kumnyooshea vidole Lowassa.

Mngekuwa na chembe ya akili mngejitahidi kumnadi Huyo Mwizi/Fisadi mwingine kwa jina la Magufuli muone kama anauzika????

In short CCM=CDM wote mmetuletea WACHAFU.

Kwa hiyo?
 
Ni Tanzania tu siasa ndo ajira lakini kiukweli siasa inatakiwa isiwe ajira ili pindi unapopigwa chin unarudi kwenye shughuli zako za awali
 
Unataka kusema dokta hakua hata na viakiba au vitega uchumi

Heb tafta gia nyngne ya kuingilia na hakika marcopolo ina gia nyng tu
 
Back
Top Bottom