Dr. Slaa is officially jobless

Dr. Slaa is officially jobless

Kiongozi acha mzaha. Katibu kashatoswa. Hukusikia kauli ya mwenyekiti?
Kama katoswa shida yako nini. Hujui jana peke yake mamilion kadhaa ya watanzania mijini na vijijini wamelala njaa? je CCM imefanya jitihada gani kuhakikisha kila mtanzania anapata angalau milo mitatu? je dr aliekuwa anapata mshahara wa kibunge unamhurumia je wananchi mimilion ambao hata leo hawajui watakula nini unafanya jitihada gani kuwasaidia?!!. Acheni propoganda kama mngetekeleza ahadi yenu ya mwaka 2005 maisha bora kwa kila mtanzania na kila mzee apate pensheni hili unalosema lisingempata Dr Slaa.
 
Kajitakia mwenyewe.

He needs to read between the Lines atajua kwanini Lowasa kakaribishwa UKAWA kugombea uraisi pamoja na Mapungufu yote aliyo nayo.

Hata tunaomshabikia tunajua sio Msafi ila tunajipa moyo hakuna ushahidi.

Unamaanisha alipaswa kukubaliana na hali kuwa Mbowe kauza chama kwa 10bn ?
 
Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,

Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!

Ulijifanya msemaji wa bwana yule mwenye misimamo mwanaume pekee aliyebakia baada ya yesu, hakika subra ina malipo kwa dr slaah
 
Vipi mbona hujaonekana kwenye ile mada ya picha za mikutano mitano ya Lowasa/UKAWA ni za kuchora?
Au nawe ni mmoja wa wale wazee,waliokuwepo pale ukumbini jana?

ImageUploadedByJamiiForums1440136684.634276.jpg angalia yasiwakute haya kweli dr ni wa kufanyiwa hivi daah maskini...!!
 
Kama katoswa shida yako nini. Hujui jana peke yake mamilion kadhaa ya watanzania mijini na vijijini wamelala njaa? je CCM imefanya jitihada gani kuhakikisha kila mtanzania anapata angalau milo mitatu? je dr aliekuwa anapata mshahara wa kibunge unamhurumia je wananchi mimilion ambao hata leo hawajui watakula nini unafanya jitihada gani kuwasaidia?!!. Acheni propoganda kama mngetekeleza ahadi yenu ya mwaka 2005 maisha bora kwa kila mtanzania na kila mzee apate pensheni hili unalosema lisingempata Dr Slaa.

Jana mimi na wajukuu wangu tumekula unaupotosha umma..!
 
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.

Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.

Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.

Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.

Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.

Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.

Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?

Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.

Taarifa hii ya mwaka 2013 hatimaye imetimia...

Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...

View attachment 278656 angalia yasiwakute haya kweli dr ni wa kufanyiwa hivi daah maskini...!!

Wewe wasemaje! Zile picha za mafuriko ya Lowasa/UKAWA ni halisi au zimenakshiwa?
 
Unamaanisha alipaswa kukubaliana na hali kuwa Mbowe kauza chama kwa 10bn ?

Mbowe awe amepewa bilioni kumi au awe hajapewa Mimi hainihusu, Linalonihusu mimi ni nani wa kumpa kura. ni "fisadi" lowasa wa chama cha mafisadi CHADEMA au "mtakatifu" magufuli wa chama cha wasafi CCM?
 
Aliyekwambia secretary general wa CHADEMA ni ombaomba nani wewe?

Sometimes mnajitia aibu na thread zenu za ajabu kama hii.

Eti achangiwe!!
Eti ni jobless!!
Fanya yako achana na Katibu wetu.

naipenda jamii forum sana wazo la kuchangiwa pia ni muhimu ndugu yangu chama now hakina katibu mkuu kwa sasa na mbowe kasimamisha mishahara yote:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Atakuwaje jobless wakati yeye ni Padre? Huku siasani alikuja kama shushu wa Roma na kwakuwa unabii wa mwenyeheri Nyerere unaenda kutimia kuhusu mabadiliko, hana kazi tena soon utamsikia yuko Vatican anakula bata kama mstaafu! Au unahadaika na uchumba wa Josephine?! Pole yako!!!!
 
Hamna huruma wala nn, Ulisikia huwa hajiwekei akiba kwa miaka yote ya ubunge na ukatibu?? Mnachotaka ni kuanza movement ili kuvuruga umoja ndani ya ukawa na chadema kwa manufaa yenu, lakini kamwe hamtofanikiwa.Wapenda mabadiliko wenzangu tuwapuuze hawa mamluki wanaojidai wema ili watuvuruge kwa manufaa ya ccm.

Mkuu,
hili jambo limetokea ghafla. Slaa hakuanaliwakiaikolji kuwa atapigwa kikumbo.
Bahati ya Slaa ni kwamba ana mke mpiganaji. Hata hivyo ni jambo jema kwa walioamini anaopigania Slaa kutokumuacha peke yake katika kipindi hiki.
 
Atakuwaje jobless wakati yeye ni Padre? Huku siasani alikuja kama shushu wa Roma na kwakuwa unabii wa mwenyeheri Nyerere unaenda kutimia kuhusu mabadiliko, hana kazi tena soon utamsikia yuko Vatican anakula bata kama mstaafu! Au unahadaika na uchumba wa Josephine?! Pole yako!!!!
Sijui taratibu za kanisa lakini sidhani kama anaweza kurudi ghafla ghafla. Watanzania inabidi tujifunze kutokuwasaliti watu wanaopigania mambo tunayoyaamini...
 
kwamba moyo unakuuma sana kwa yasiyo kuhusu au ndo moyo na fikra zako zinakutuma upiganie kisicho kuhusu?pole sana ndg endelea kubeba maji kwenye chujio la chai!
 
Mkuu mimi ni msafi kisiasa sina shaka kabisa. Hata hongo la traffic silipi, nalipa kodi zangu zote. Kisiasa tunachoangalia ni je unafuata sheria na utaratibu wa nchi. Mi sijajilimbikizia mali na ardhi.
Usitake kututukana watanzania eti hakuna msafi. Kwa hiyo unataka kusema watanzania wote ni wezi, mafisadi na wanadhulumu? Basi hakuna haja kuing'oa CCM kwa mantiki hiyo!
Hii si hoja! Wenye akili tunajua mnataka ku-dilute tu morality and values na hamtafanikiwa kamwe!

Ni kweli hutoi hongo kwa traffic...na kwa vimada vyako pia hutoi hongo?
 
Sijui taratibu za kanisa lakini sidhani kama anaweza kurudi ghafla ghafla. Watanzania inabidi tujifunze kutokuwasaliti watu wanaopigania mambo tunayoyaamini...
Basi mkuu waulize wakatoliki yupo wapi yule Askofu Mtega? Wakikujibu utaielewa 'kazi' ya Padre Slaa na sanaa inayoambatana nayo!
 
Back
Top Bottom