Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
Susuviri Tukiangalia msafi ndio agombee basi kwa Tanzania Hakuna aliye msafi hata wewe sio msafi.
Mkuu mimi ni msafi kisiasa sina shaka kabisa. Hata hongo la traffic silipi, nalipa kodi zangu zote. Kisiasa tunachoangalia ni je unafuata sheria na utaratibu wa nchi. Mi sijajilimbikizia mali na ardhi.
Usitake kututukana watanzania eti hakuna msafi. Kwa hiyo unataka kusema watanzania wote ni wezi, mafisadi na wanadhulumu? Basi hakuna haja kuing'oa CCM kwa mantiki hiyo!
Hii si hoja! Wenye akili tunajua mnataka ku-dilute tu morality and values na hamtafanikiwa kamwe!
Last edited by a moderator: