Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Alisema ameacha siasa ya vyama vya kisiasa, lakini hakuacha siasa ya nchi.

Siasa inamgusa mwananchi yoyote , NA kila mtu anazungumzia siasa. Dr Slaa kwa maoni yangu amewacha siasa za kishabiki, lakini bado anaendela NA siasa za kisayansi.
Ni balozi gani mwingine umemsikia akipiga siasa kama Dr Slaa aliyetangaza kuacha siasa , mbona wenzie hawakutangaza na hawazifanyi kama yeye aliyetangaza ?
 
Kwenda kumuona Lissu ni uwezo NA muda ukikuruhusu, sidhani kama wewe NA wanachama wa chama cha Lissu wengi walifadhilika kwenda kumuona.

NA zaidi ya hayo, mbona Lissu alipokuwa akitumika, kumvua nguo NA kumtukana Slaa, hamkumkemea kutofanya hivyo NA kumshauri atumie lugha nzuri ya kisiasa kuponda maamuzi aliyoyachukua Slaa wakati huo.
Utetezi wako ni duni sana ! Umelishwa nini mkuu ?
 
Kinachonishangaza ni kwa slaa kama kweli atadhubutu kuvaa nguo za kijani. Kweli wanasiasa matumbo tu.
 
Ni balozi gani mwingine umemsikia akipiga siasa kama Dr Slaa aliyetangaza kuacha siasa , mbona wenzie hawakutangaza na hawazifanyi kama yeye aliyetangaza ?
We jamaa bana ...hakuna watu wanaiharibu taswira ya Chadema mitandaoni kama nyie. Nyie ni pure copy and paste ya Lumumba Fc a.k.a buku 7 tuliokuwa tunawanyoosha kwa facts hadi wanapoteana. Kwani Nyerere alivyostaafu alikuwa hatoi maoni yake?

Hivi unategemea mtu kama Dr Slaa asitafutwe na waandishi kutoa maoni yake kuhusu hali ya kisiasa nchini? Hivi kwa harakati za upinzani alizosimamia Dr Slaa kwa zaidi ya miaka 20 unategemea awe sawa na mabalozi wengine?

Akiiponda serikali najua hamtafungua thread kuwa anapiga siasa. Badilikeni bana siasa si zile tena.
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.
Kwanza hata mimi najiuliza alikuwa alikuwa Askofu halafu akastaafu au aligeuka jiwe?
 
Kazi kweli....Ndiyo maana hamjui hata idadi ya Viwanda vinavyofungiliwa kutwa mko busy kuleta mijadala ya kipuuzi
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.
dr .slaa alishachoka ni mnafiki hawezi kuwa na amani tena nakuhakikishia ndugu yangu
 
Hivyo viwanda vinatengeneza bidhaa gani na zinauzwa wapi ?
 
Hivyo ndo umemchambua kisiasa? au unamtegemea nani amchambue kisiasa?
Unaweza shangaa nae akajiita msomi mchambuzi kumbe ni seti tupu tu hii.uchambuzi gani huu hauno kiuno wala miguu. Hovyoo.
 
Usaliti ni laana .
Nyie ndio mmelaanika,ulishawi nukuliwa humu kuwa Lowassa akisisima kwenye uchaguzi kwa tiketi ya Chadema utajitoa Ukawa. Ajabu ni kuwa Slaa aliyesimamia msimamo wake was awali anaonekana msaliti na nyie mliogeuziwa gia angani na kubadili misimamo yenu ya kuwa Lowassa fisadi eti ndio wazalendo.
 
Hv kati ya mbowe na slaa nani kawasaliti watanzania?mbowe na baba mkwe wake wanauza chama afu mnakuja kulialia hapa.ukweli ni chadema imekosa dira chadema ndyo hvyo tna wanamageuzi weng tumekosa imani na chadema.nilijiunga na chadema 1995 tukapigania kwa garama zote ikiwemo kuchangi chama ili iwe na nguvu lakini leo wanakuja kuuza chama kwa mtu wa hovyo asiyejua maana ya upinzani.sitaki uvyama tna ni bora kuangalia maslahi ya taifa kuliko hao wanaokuchezeshea ngoma leo sindimba kesho ni'ima keshokutwa ngoma ya kimasai.NI UPUUZI
 
dr .slaa alishachoka ni mnafiki hawezi kuwa na amani tena nakuhakikishia ndugu yangu

Amani aliyonayo hailezeki
Anakula na kulala bila hofu.
Anacheka kicheko kisicho na unafiki...

Ninyi hata usingizi hamuupati,kutwa kuwaza kesho yenu
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.

Unalipi,geni la kumshughulikia?
Bado Subiri uchaguzi serikali za mitaa is loding.....Salam mtazipata
 
kwa uelewa wa uelewa wako unadhhani amani ya nafsi inatokana na kula na kunywa na kulala tu? hujiulizi mbona hata matajiri wanapata msongo wa mawazo?

Back
Top Bottom