Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Yakobo 1
26 Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Hawatakuelewa .
 
Sasa mkuu
Sisi hlo kama upinzan linatukera nn
Linatuzuia vp kuendeleza ndoto zetu za kushika dola
Au lengo n kumtoa thaman kwa umma wa watanzania
Otherwise u hv to tell me kuwa jamaa anatuumiza kichwa bado
Otherwise u hb to tel m kuwa dkt. Slaa amekuwa threat kwa mustakabal wa ustaw wa upinzan

Lkn je hana hata jema moja alilofanya kwa upinzani tz

Je kwann tusmpuuze kwa alilojikwaa nalo na tumpe thaman kwa mema alotufanyia

One quiz
Hebu soma mchezo wa ccm kwa Kingunge hadi anaingia kaburin

Lets read our enemy's political tactics kdg plz
Adui wa Watanzania ni yeyote yule anayeunga mkono ccm , chama kilichofanya kila aina ya dhuluma na madhila yote pamoja na kuleta kila aina ya dhiki za nchi hii , hatutajali aliifanya nini huko nyuma .

Labda kwa manufaa yako na wengine wa aina yako ni kwamba , Dr Slaa kabla ya kuja Chadema alikuwa mwanaccm hai na mwaminifu aliyegombea ubunge Jimbo la Karatu , baada ya kushinda kura za maoni aliondolewa na vikao vya juu , ndipo akakaribishwa chadema akapewa shavu na kushinda ubunge , Hii maana yake ni kwamba kumbe chadema ilikuwepo kabla ya Slaa kuomba hifadhi , na tayari chadema ilishakuwa na mtandao wa kutosha , hili lichukue na uwaeleze na waliokutuma .
 
Adui wa Watanzania ni yeyote yule anayeunga mkono ccm , chama kilichofanya kila aina ya dhuluma na madhila yote pamoja na kuleta kila aina ya dhiki za nchi hii , hatutajali aliifanya nini huko nyuma .

Labda kwa kumbukumbu zako Dr Slaa kabla ya kuja Chadema alikuwa mwanaccm aliyegombea ubunge Karatu , baada ya kushinda kura za maoni aliondolewa na vikao vya juu , ndipo akakaribishwa chadema akapewa shavu na kushinda ubunge , kumbe chadema ilikuwepo kabla ya Slaa , hili lichukue na uwaeleze na waliokutuma .
Nmeiona roho ya chuki,visasi, kujikweza ,majivuno, na ufinyu wa neutrality ktk kujadili siasa

Unataka watz wote wawe chadema au
Hiv ukishika dola ww hvyo vyama vingi vitakuwepo kwel kama unaona vyama vingne n maadui zako???

Mnatofautiana nn na "washamba" wenzenu waliopo madarakan???

Na ndo mana huwa nasema bora mshamba wa zaman kuliko mshamba mpya.

Nataka mshamba aondoke madarakan ila sio kwa kuwapa hatam washamba wengine wenye roho na uono wa chuki wa upinzani kama mshamba 'ccm'

"SIASA SIO UADUI"

Otherwise nenda msitun kawe muasi uwatoe wachumia tumbo wenzio kwa mtutu
 
Panic ! Nilijua ndio utakapofika , lakini ukweli umeufahamu , kila la heri .
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.
Kweli kabisa, Padre mwovu kabisa yule!
 
huyu baba alisaliti yule mama rose kamili
akasaliti upadre
akasaliti chadema ....... wachaneni naye ni laana inamtafuna
Embu jitazameni,halafu mtuambie ninyi na yeye nani anatembea na laana..

Hamtamaniki hata sura mmechoka akili mpaka mwili
 
Ni Slaa huyu huyu ambae polisi wamepindisha mkono wake kwa kipigo cha uonevu, leo amesimamia upande wao.
Nadhani waneun'goa kabisa ingekuwa sawa zaidi!
Hapana, sio polisi usiwasingizie, huyu jamaa, alianguka bafuni akiwa Mwanza. Yawezekana ilikuwa mzinga toka kwa RIP shehe Yahaya , Sio kipigo cha polisi.
 
naona mnachanganyikiwa siasa ni maisha huwezi kuacha siasa, siasa alizoacha ni zile za kupanda majukwaani na kunadi sera.
huwezi kuacha siasa kama unalipa kodi, unalipa maji, umeme na pia inabidi upate huduma kutokana na kodi unayolipa
 
Slaa ni mwanasiasa mwaminifu, namwamiani sana huyu mzee, mm ni mmojawapo ya watu waliohama chadema sababu yeye aliondoka. Huwa hana siasa za uwongo
 
Slaa ni mwanasiasa mwaminifu, namwamiani sana huyu mzee, mm ni mmojawapo ya watu waliohama chadema sababu yeye aliondoka. Huwa hana siasa za uwongo
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu , mwenzio kahongwa ubalozi wewe umepata nini ?
 
Tumsamee bure huyu mzee, hata tunasema tusichague kazi mmmmh!!. Kutoka mgombea urais wa Tanzania mpaka shopkeeper wa super market inahitaji ujasiri wa hali ya juu!! Then ghafla balozi!!!
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.
Hakuna wa kupambana na dkt. Slaa kwny majukwaa
Hakuna wa kupambana na dkt. Slaa kwa hoja
Hakuna mchambuz labda ikiwa kuchambua n kutukana,kufedhehesha,kudhihaki basi hapo kwa ufinyu wa upeo wa the so called upinzan tz mtabwata bwata tu
 
watanzania slaa hajasema kaacha siasa sikiliza tena mahojiano ujue kaacha siasa za aina gani mbona kuelewa hatuhitaji kushikiwa bunduki
 
Back
Top Bottom