Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Kazi kweli....Ndiyo maana hamjui hata idadi ya Viwanda vinavyofungiliwa kutwa mko busy kuleta mijadala ya kipuuzi
hahaha . badala ya kutreat maji ya kunywa kwa watu wote kabla hayajafika kwa mlaji wewe unajivunia kutengeneza maji ya kunywa? manake watu wako wengi wanakunywa maji machafu.? kama mnazindua viwanda mnaagiza mafita ya ninini? zilongwa mbali, zitendwa mbali. mliuza vya nyerere kwa bei cheeeeeeeee
 
Mkandala Kasema
Screenshot_2018-09-20-11-15-45.jpg
Screenshot_2018-09-20-10-50-32.jpg
Screenshot_2018-09-20-12-08-13.jpg
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.
Mbona hatujaona huo uchambuzi wako? Kumheshimu au kutomheshimu ni uamuzi wako binafsi kamanda
 
Back
Top Bottom